Sitta awapa somo Viongozi wanaojiita UKAWA
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akiongoza bunge hilo.
Na Benedict Liwenga, MAELEZO-Dodoma.
MWENYEKITI wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta amewaadaa baadhi ya viongozi wanaojiita UKAWA kwa taarifa yao ya kutaka kumfikisha Mahakama ya Uhalifu wa Kimataifa kwa kuendeleza mchakato huo wa Katiba.
Kauli hiyo imetolewa leo 12 Septemba, 2014 mjini Dodoma na Mhe. Sitta kufuatia baadhi ya viongozi hao, kudai kuwa watampeleka katika mahakama hiyo.
Mhe. Sitta ameeleza...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Uhuru Newspaper
Prof. Mwandosya awapa somo viongozi wa dini
Na Rhoda Ezekiel, Kigoma
MAASKOFU na viongozi wengine wa dini wametakiwa kusoma na kuelewa kipengele kinachohusu haki na uhuru wa kuabudu katika Katiba Inayopendekezwa.
Kufanya hivyo kutawawezesha kuwafahamisha waumini wao haki na uhuru huo kama inavyopendekezwa katika Katiba hiyo pasipo kuingiliwa na mtu yeyote.

Kauli hiyo ilitolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Profesa Mark Mwandosya, katika sherehe ya kumsimika askofu wa nne wa Jimbo la Kigoma, Askofu Joseph Mlolwa.
Alisema katika...
11 years ago
Michuzi.jpg)
CHIKAWE AWAPA SOMO VIONGOZI WA CCM NACHINGWEA LEO
.jpg)
9 years ago
Michuzi
11 years ago
Mwananchi26 Aug
Pinda awapa somo viongozi wa Mbeya kurudisha heshima ya elimu
11 years ago
Dewji Blog04 Sep
“Taarifa zinazotolewa na wanaojiita viongozi wa Machinga Complex zipuuzwe”- Jerry Silaa
Halmasahuri ya Manispaa ya Ilala imesikitishwa sana na habari za upotoshwaji zilizofanywa na wanaojiita viongozi wa soko la Machinga complex zikimlenga Mstahiki Meya wa Halmashauri Mhe.Jerry Silaa.
Ieleweke wazi soko la Machinga Complex linamilikiwa na Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam na lina Bodi na Manejimenti ya Soko, kikundi cha watu wanaojita viongozi hawako kisheria lakini ndio walewale waliochangisha fedha kwa wafanyabiashara kinyume cha sheria na kujenga mabanda kuzunguka soko...
11 years ago
Uhuru Newspaper06 Aug
Kikwete awapa somo Wamarekani
Na mwandishi wetu
RAIS Jakaya Kikwete ameitaka sekta binafsi na wafanyabiashara wa Marekani kujifunza kutoka kwa wenzao wa Bara la Asia, ambao wameongeza uwekezaji barani Afrika.
Amesema hatua hiyo inatokana na kuwa wawekezaji hao wanapata taarifa sahihi na za ukweli kupitia vyombo mbalimbali.
Aidha, Rais Kikwete amesema pingamizi kubwa la kufanya biashara kati ya Marekani na Afrika sio tena Bahari ya Atlantic ama umbali, bali ni maono hasi yanayojengwa na vyombo vya habari vya Marekani kuhusu...
11 years ago
Dewji Blog21 Aug
Mwigulu awapa somo wafanyabiashara
Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba akifungua semina ya wafanyabiashara iliyoandaliwa na Benki ya Maendeleo ya Biashara Mashariki na Kusini mwa Afrika (PTA) leo jijini Dar es salaam.
Na Mwandishi wetu
Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi, Mwigulu Nchemba, amewataka wafanyabiasha nchini, kutengeneza miradi ambayo inatambulika ili iwe rahisi kukopeshwa fedha.
Aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam, wakati wa kufungua semina ya wafanyabiashara iliyoandaliwa na Benki ya Maendeleo Mashariki na...
11 years ago
Tanzania Daima10 Apr
Dk. Lyamuya awapa somo wanahabari
WAANDISHI wa habari nchini wametakiwa kujua maadili ya utumishi wa umma na sera za afya, ili watoe taarifa zisizo na ukinzani baina ya jamii na sekta hiyo. Wito huo ulitolewa...
10 years ago
Habarileo30 Dec
Mbunge awapa somo wazazi
MBUNGE wa Morogoro Mjini, Aziz Abood ametoa mwito kwa wananchi kuhakikisha kuwa wanatenga fedha za mahitaji ya watoto wao na kuacha tabia ya kutumia fedha bila uangalifu.