Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwandosya ataka somo la mauaji ya kimbari shuleni

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalum), Profesa Mark Mwandosya amesema Tanzania haina budi kuanzisha somo la mauaji ya kimbari kuanzia shule za awali, msingi hadi vyuo vikuu. Alisema kitendo hicho kitasaidia kuelimisha kizazi kijacho madhara ya yaliyotokea kwa majirani zetu na namna ya kuepukana nayo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Mh. Mwandosya aongoza maadhimisho ya 20 ya mauaji ya Kimbari yaliyotokea nchini Rwanda jijini Dar

 Maandamano yakiwa yameanza kuelekea ukumbi wa Mlimani City

 Mmoja ya Waandamaji wa siku ya kumbukumbu ya mauaji ya Rwanda ikiwa imetimia Miaka 20 akiwa amebeba Mwenge Maalum kwa ajili ya Maadhimisho.

 Maandamano ya Kumbukumbu ya miaka 20 ya Mauaji ya Kimbari yaliyotokea mwaka 1994 yakiendelea kuelekea Ukumbi wa Mlimani City kwa ajili ya Maadhimisho hayo.

 Baadhi ya Wanafunzi pamoja na watu wengine mbalimbali wakiwa wameshika mabango mbalimbali yanayo elezea siku ya kumbukumbu ya Mauaji...

 

11 years ago

Michuzi

MH. MWANDOSYA MGENI RASMI KWENYE MAADHIMISHO YA KUMBUKUMBU YA MIAKA 20 YA MAUAJI YA KIMBARI YA RWANDA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais asie na Wizara Maalum,Mh. Prof. Mark Mwandosya (katikati) akiwa pamoja na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania,Dkt. Ben Rugangazi (kushoto) na Bw.Bongani Majura,Mrajisi wa ICTR,Mahakama ya Kimataifa ya Mauaji ya Rwanda,wakiwa wameshika Mwenge wa kumbukumbu ya mauaji ya kimbari ya Watutsi,nchini Rwanda yaliyotokea mwaka 1994.Kumbukumbu hii imefanyika kwenye ukumbi wa Mlimani city jijini Dar es Salaam. Maandamano ya vijana wakiwa na mwenge wa Kwibuka katika...

 

11 years ago

GPL

PROF. MARK MWANDOSYA AONGOZA MAADHIMISHO YA 20 YA MAUAJI YA KIMBARI YALIYOTOKEA NCHINI RWANDA JIJINI DAR

Mgeni Rasmi Mh. Profesa Mark J. Mwandosya Waziri Ofisi ya Rais akipokea Mwenge Maalum wa Kumbukumbu ya Miaka 20 ya Mauaji ya Rwanda kutoka kwa Mustapha Issa wa kwanza kutoka upande wa kushoto pamoja na Amina Mtegeti. Baadhi ya Wanafunzi pamoja na watu wengine mbalimbali wakiwa wameshika mabango mbalimbali yanayoelezea siku ya kumbukumbu ya Mauaji… ...

 

11 years ago

BBCSwahili

Rwanda yakumbuka mauaji ya Kimbari

Watu nchini Rwanda wanaadhimisha miaka 20 tangu kutokea mauaji ya kimbari mwaka 1994 kwa kuwakumbuka maelfu waliouawa

 

11 years ago

BBCSwahili

Hofu ya mauaji ya kimbari CAR

Kuna wasi wasi huenda machafuko ya sasa katika Jamuhuri ya Afrika ya Kati yakageuka na kua mauaji ya kimbari.

 

11 years ago

BBCSwahili

Makovu ya mauaji ya Kimbari Rwanda

Imekuwa ni miaka 20 sasa tangu mauaji ya kimbari yasababishe vifo vya watu zaidi ya laki nane nchini Rwanda.

 

11 years ago

BBCSwahili

Miaka 20 ya mauaji ya kimbari Rwanda

Kumbukumbu ya mauaji ya kimbari Rwanda

 

10 years ago

Vijimambo

Maazimisho ya Miaka 21 ya kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari

Mgeni rasmi Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dr. Harrison Mwakyembe na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Eugene Kayihura wakiwasha mishumaa maalumu kuwakumbuka raia waliouwawa katika mauaji ya Kimbari. Mgeni rasmi Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dr. Harrison Mwakyembe na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Eugene Kayihura wakiwasha mishumaa maalumu kuwakumbuka raia waliouwawa katika mauaji ya Kimbari.Mratibu Mkazi wa UN, Alvaro Rodriguez akizungumza katika Maazimisho ya Miaka 21 ya kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari. Maadhimisho hayo yaliyoandaliwa na Umoja wa Mataifa kwa kushirikiana na Ubalozi wa Rwanda nchini Tanzania yamefanyika leo ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Mratibu Mkazi wa UN, Alvaro Rodriguez akizungumza katika Maazimisho ya Miaka 21 ya kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari. Maadhimisho hayo yaliyoandaliwa na Umoja wa Mataifa kwa kushirikiana na Ubalozi wa Rwanda nchini Tanzania yamefanyika leo ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.Mgeni rasmi Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dr. Harrison Mwakyembe (wa pili kulia) akipata maelezo juu ya mwenendo wa mashauri toka ICTR mara baada ya kuwasili kwenye Maadhimisho hayo yaliyoandaliwa na Umoja wa Mataifa kwa kushirikiana na Ubalozi wa Rwanda nchini Tanzania yamefanyika leo ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam wakiwa pichani....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani