Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PROF. MARK MWANDOSYA AONGOZA MAADHIMISHO YA 20 YA MAUAJI YA KIMBARI YALIYOTOKEA NCHINI RWANDA JIJINI DAR

Mgeni Rasmi Mh. Profesa Mark J. Mwandosya Waziri Ofisi ya Rais akipokea Mwenge Maalum wa Kumbukumbu ya Miaka 20 ya Mauaji ya Rwanda kutoka kwa Mustapha Issa wa kwanza kutoka upande wa kushoto pamoja na Amina Mtegeti. Baadhi ya Wanafunzi pamoja na watu wengine mbalimbali wakiwa wameshika mabango mbalimbali yanayoelezea siku ya kumbukumbu ya Mauaji… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Mh. Mwandosya aongoza maadhimisho ya 20 ya mauaji ya Kimbari yaliyotokea nchini Rwanda jijini Dar

 Maandamano yakiwa yameanza kuelekea ukumbi wa Mlimani City

 Mmoja ya Waandamaji wa siku ya kumbukumbu ya mauaji ya Rwanda ikiwa imetimia Miaka 20 akiwa amebeba Mwenge Maalum kwa ajili ya Maadhimisho.

 Maandamano ya Kumbukumbu ya miaka 20 ya Mauaji ya Kimbari yaliyotokea mwaka 1994 yakiendelea kuelekea Ukumbi wa Mlimani City kwa ajili ya Maadhimisho hayo.

 Baadhi ya Wanafunzi pamoja na watu wengine mbalimbali wakiwa wameshika mabango mbalimbali yanayo elezea siku ya kumbukumbu ya Mauaji...

 

11 years ago

Michuzi

MH. MWANDOSYA MGENI RASMI KWENYE MAADHIMISHO YA KUMBUKUMBU YA MIAKA 20 YA MAUAJI YA KIMBARI YA RWANDA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais asie na Wizara Maalum,Mh. Prof. Mark Mwandosya (katikati) akiwa pamoja na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania,Dkt. Ben Rugangazi (kushoto) na Bw.Bongani Majura,Mrajisi wa ICTR,Mahakama ya Kimataifa ya Mauaji ya Rwanda,wakiwa wameshika Mwenge wa kumbukumbu ya mauaji ya kimbari ya Watutsi,nchini Rwanda yaliyotokea mwaka 1994.Kumbukumbu hii imefanyika kwenye ukumbi wa Mlimani city jijini Dar es Salaam. Maandamano ya vijana wakiwa na mwenge wa Kwibuka katika...

 

10 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. Bilal afungua mkutano wa maadhimisho ya miaka 20 ya mahakama ya mauaji ya Kimbari ya Rwanda ICTR Jijini Arusha

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia kwenye Maadhimisho ya miaka 20 ya Mahakama ya Mauaji ya  Kimbari ya Rwanda (ICTR), ulioanza leo Novemba 8, 2014 kwenye Ukumbi wa AICC  Jijini Arusha. (Picha na OMR). 3 5 Baadhi ya washiriki waliohudhuria mkutano huo wakimsikiliza makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati akihutubia. 6 7 4

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib  Bilal, akitazama baadhi ya picha za kumbukumbu...

 

11 years ago

Michuzi

KINANA AHUDHURIA MAADHIMISHO YA KUMBUKUMBU YA MAUAJI YA KIMBARI YA RWANDA

 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, akiwa na mwenyeji wake Katibu Mkuu wa Chama Cha RPF-INKOTANYI, Francois Ngarambe baada ya kuwasili mjini Kigali, Rwanda kwenye tafrija ya viongozi wa vyama tawala barani Afrka. Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, akiwa na mwenyeji wake Katibu Mkuu wa Chama Cha RPF-INKOTANYI, Francois Ngarambe baada ya kuwasili mjini Kigali, Rwanda kwenye tafrija ya viongozi wa vyama tawala barani Afrka. Kulia ni Mjumbe wa NEC, Balozi Ali Karume.  Katibu Mkuu wa...

 

11 years ago

Michuzi

Mhe. Prof. Mark Mwandosya afanya ziara katika Mamlaka Za Udhibiti Nchini

Waziri katika Ofisi ya Rais Kazi Maalum, Mheshimiwa Prof. Mark Mwandosya alifanya ziara ya kutembelea Mamlaka za Udhibiti wa huduma za umma na shughuli zingine za kiuchumi kwa nia ya kufahamu utendaji, mafanikio na changamoto zinazowakabili katika kutekeleza majukumu waliyokabidhiwa na Serikali kuyafanya. Ziara hiyo ambayo ilianza tarehe 21 hadi 23 Julai, 2014 ilihusisha Mamlaka za udhibiti za SUMATRA, EWURA, TCAA, TCRA, TIRA na SSRA.
Katika ziara yake hiyo Waziri Prof. Mwandosya alieleza...

 

11 years ago

Habarileo

Mwandosya ataka somo la mauaji ya kimbari shuleni

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalum), Profesa Mark Mwandosya amesema Tanzania haina budi kuanzisha somo la mauaji ya kimbari kuanzia shule za awali, msingi hadi vyuo vikuu. Alisema kitendo hicho kitasaidia kuelimisha kizazi kijacho madhara ya yaliyotokea kwa majirani zetu na namna ya kuepukana nayo.

 

10 years ago

Michuzi

Hepi Besdei Mh. Prof. Mark Mwandosya

Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais (Kazi Maalum),Mh. Prof. Mark Mwandosya akiwa kwenye picha ya pamoja na wajukuu zake wakati wa kusherehekea kutimiza miaka 65 ya kuzaliwa kwake,aliyoiadhimisha jana huko kijijini kwake Lufilyo, Busokelo, Wilayani Rungwe.
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais (Kazi Maalum),Mh. Prof. Mark Mwandosya akikata keki sambamba na wajukuu zake wakati wa kusherehekea kutimiza miaka 65 ya kuzaliwa kwake,aliyoiadhimisha jana huko kijijini kwake Lufilyo, Busokelo, Wilayani Rungwe.Waziri...

 

10 years ago

Michuzi

Maadhimisho ya Miaka 21 ya kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari

Mgeni rasmi Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dr. Harrison Mwakyembe na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Eugene Kayihura pamoja na meza kuu wakiwa wamesimama kimya kuwakumbuka raia waliouwawa katika mauaji ya Kimbari. Mgeni rasmi Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dr. Harrison Mwakyembe na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Eugene Kayihura pamoja na meza kuu wakiwa wamesimama kimya kuwakumbuka raia waliouwawa katika mauaji ya Kimbari.
Mgeni rasmi Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dr. Harrison Mwakyembe na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Eugene Kayihura wakiwasha mishumaa maalumu kuwakumbuka raia waliouwawa katika mauaji ya Kimbari.Mgeni rasmi Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dr. Harrison Mwakyembe na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Eugene Kayihura wakiwasha mishumaa maalumu kuwakumbuka raia waliouwawa katika mauaji ya Kimbari.
Mratibu Mkazi wa UN, Alvaro Rodriguez akizungumza katika Maazimisho ya Miaka 21 ya kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari. Maadhimisho hayo yaliyoandaliwa na Umoja wa Mataifa kwa kushirikiana na Ubalozi wa Rwanda nchini Tanzania yamefanyika leo ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.Mratibu Mkazi wa UN, Alvaro Rodriguez akizungumza katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani