Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


IPTL yavuruga wabunge CCM

SAKATA la fedha zinazodaiwa kuchotwa kwenye Akaunti ya Baraza la Usuluhishi la Migogoro ya Kibiashara (Escrow) ya Benki Kuu (BoT) limewavuruga wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Daima limebaini....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

IPTL yazamisha mawaziri, AG, wabunge

Bunge limehitimisha mjadala wa Kashfa ya Akaunti ya Tegeta Escrow kwa kupitisha maazimio manane, likiwamo la kuwawajibisha Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka.

 

11 years ago

Mwananchi

Sakata IPTL lazidi kuwavuruga wabunge

>Sakata la fedha za IPTL limechukua sura mpya baada ya baadhi ya wabunge kudai kurubuniwa na wenzao kwa fedha ili wakwamishe Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini, wakidai balozi mmoja yuko nyuma ya mpango huo.

 

10 years ago

Michuzi

VYAMA VITANO VYA SIASA VISIVYO NA WABUNGE VYAOMBA SAKATA LA IPTL LIMALIZWE

Na Dotto Mwaibale 
 MAKATIBU wakuu wa vyama vitano vya kisiasa visivyo na wabunge bungeni wameomba suala la utata wa ufisadi zaidi ya sh.bilioni 300 zilizowekwa katika akaunti ya Tegeta Escrow zilizokuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) limalizwe ili kuendelea kwa mambo mengine ya kitaifa.
 Katika hatua nyingine makatibu hao wamepinga hatua ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini (Takukuru) kukabidhi ripoti ya uchunguzi kwa Waziri Mkuu na kudai ipelekwe kwa Mkurugenzi wa Mashtaka nchini...

 

11 years ago

Tanzania Daima

IPTL mwiba CCM

KITENDO cha wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuamua kuzima hoja ya kutaka kuunda Kamati Teule ya Bunge, kuchunguza kashfa ya ukwapuaji wa fedha katika akaunti ya Escrow iliyofunguliwa Benki...

 

10 years ago

IPPmedia

CCM: We'll to discipline those involved in IPTL scam


IPPmedia
CCM: We'll to discipline those involved in IPTL scam
IPPmedia
CCM's Central Committee has ordered the party's ethics committee to take action against members whose engagement in the Tegeta escrow account (IPTL) scandal has been proven. The party's Secretary - Ideology and Publicity, Nape Nnauye issued the ...

 

10 years ago

Mwananchi

Ripoti ya Hoseah yavuruga Bunge

Sakata la uchotaji wa Dola za Marekani 200 milioni katika akaunti ya Tegeta Escrow limeendelea kuibuka kwa sura mbalimbali bungeni.

 

9 years ago

Habarileo

Matamko ya Rais yavuruga mkutano

MKUTANO Mkuu wa Chama cha Wauguzi nchini (TANNA) umeahirisha ghafla kwa kile kinachoelezwa kuwa ni sababu za kiusalama kufuatia baadhi ya wajumbe wa mkutano huo kutofautiana kuhusiana na kauli iliyotolewa na Rais wa Chama hicho Paul Magesa kuwa chama hicho kinaunga mkono vuguvugu la mabadiliko kuelekea uchaguzi mkuu ujao.

 

9 years ago

Mwananchi

Majimbo matano yavuruga Ukawa

Siku chache baada ya vyama vinavyounda Ukawa kutangaza mgawanyo wa majimbo, baadhi ya majimbo hayo yamekumbwa na sintofahamu baada ya wanachama kutokubaliana na uamuzi ya viongozi wa kuachiana majimbo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vita ya Sitta, Chenge yavuruga Bunge

HARAKATI za Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta na Mwanasheria Mkuu wa zamani wa Serikali, Andrew Chenge kutaka kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, zimeelezwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani