Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Matamko ya Rais yavuruga mkutano

MKUTANO Mkuu wa Chama cha Wauguzi nchini (TANNA) umeahirisha ghafla kwa kile kinachoelezwa kuwa ni sababu za kiusalama kufuatia baadhi ya wajumbe wa mkutano huo kutofautiana kuhusiana na kauli iliyotolewa na Rais wa Chama hicho Paul Magesa kuwa chama hicho kinaunga mkono vuguvugu la mabadiliko kuelekea uchaguzi mkuu ujao.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

CCM Blog

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE, KWENYE MKUTANO WA TANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA NA CHINA, JIJINI JOHANNESBURG, AHUTUBIA LEO MKUTANO WA MWISHO


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais Mstaafu wa awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, wakati walipokutana kwenye Mkutano wa Tano wa Wakuu wa Nchi za Afrika na China, wakati wakitembelea Mabanda ya maonesho ya mkutano huo uliofanyika Jijini Johannesburg Afrika ya Kusini jana Dec 4, 2015. ambapo Dkt. Jakaya Kikwete alihudhuria mkutano huo kama Rais Mstaafu mwalikwa. Mkutano huo unamalizika leo Dec 5, 2015. Picha na OMR
 
Makamu wa...

 

10 years ago

Mwananchi

JK: Maaskofu walitoa matamko ya hasira

Wakati Rais Jakaya Kikwete akisema msimamo wa Jukwaa la Wakristo Tanzania (TCF) wa kuwataka waumini wao kuipigia kura ya hapana Katiba Inayopendekezwa ni wa hasira pia usiokuwa na tija kwa maendeleo ya Taifa, baadhi ya maaskofu wameshikilia msimamo huo.

 

9 years ago

Mwananchi

Tutawapima kwa ahadi na matamko yenu

Tangu Baraza la Mawaziri la Serikali ya Awamu ya Tano liapishwe, kumekuwapo na matamko mengi kutoka kwa mawaziri, yakiashiria kuwa wameridhika kuwa nchi ilikuwa ikiendeshwa kwa mazoea na sasa wanataka waongoze mabadiliko yatakayowaneemesha wananchi.

 

9 years ago

Mwananchi

Tamasha la kuombea amani lisiruhusu matamko ya kisiasa

Tamasha la kuombea amani linafanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa likishirikisha vikundi mbalimbali vya muziki wa injili, wachungaji na maaskofu.

 

9 years ago

Mwananchi

Majimbo matano yavuruga Ukawa

Siku chache baada ya vyama vinavyounda Ukawa kutangaza mgawanyo wa majimbo, baadhi ya majimbo hayo yamekumbwa na sintofahamu baada ya wanachama kutokubaliana na uamuzi ya viongozi wa kuachiana majimbo.

 

10 years ago

Mwananchi

Ripoti ya Hoseah yavuruga Bunge

Sakata la uchotaji wa Dola za Marekani 200 milioni katika akaunti ya Tegeta Escrow limeendelea kuibuka kwa sura mbalimbali bungeni.

 

11 years ago

Tanzania Daima

IPTL yavuruga wabunge CCM

SAKATA la fedha zinazodaiwa kuchotwa kwenye Akaunti ya Baraza la Usuluhishi la Migogoro ya Kibiashara (Escrow) ya Benki Kuu (BoT) limewavuruga wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Daima limebaini....

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Membe awaonya waangalizi wa uchaguzi kutoa matamko kabla ya NEC

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe. Na Peter Elias – Mwananchi Alhamisi, Septemba 10, 2015 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amesema waangalizi wa uchaguzi hawatakiwi […]

The post Membe awaonya waangalizi wa uchaguzi kutoa matamko kabla ya NEC appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Mwananchi

Membe awaonya waangalizi wa uchaguzi kutotoa matamko kabla ya NEC

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amesema waangalizi wa uchaguzi hawatakiwi kutoa tamko lolote linalohusu uchaguzi au kampeni kabla Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) haijatangaza matokeo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani