Wabunge wanne CCM wakatwa
Na Bakari Kimwanga, Dodoma
KAMATI Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CC), imepitisha majina ya wagombea ubunge wa majimbo pamoja na viti maalumu, huku baadhi ya wabunge wakongwe wakijikuta wakitupwa nje.
Katika kikao hicho kilichoanza juzi na kumalizika jana mjini hapa, chini ya uenyekiti wa Rais Jakaya Kikwete, waliokatwa ni Mbunge wa Babati Mjini anayemaliza muda wake, Kisyeri Chambiri na mwenzake wa Babati Vijijini, Virajilal Jituson.
Wengine walioangukiwa na rungu la Kamati...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo17 Aug
Manji, Abuu Juma`wakatwa’ CCM
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam jana kimetangaza majina ya wagombea udiwani katika majimbo 10 ya uchaguzi huku ikiwaengua, Yussuf Manji na Diwani wa Kata ya Jangwani Abuu Jumaa.
5 years ago
Michuzi
KIMENUKA CHADEMA... WABUNGE WANNE WAFUTWA UANACHAMA, WENGINE NAO WATAKIWA KUJIELEZA

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetangaza kuwafukuza uanachama Mbunge wake Anthony Komu pamoja na Joseph Selani kwa madai licha ya kujipotezea sifa ya uanachama wameendelea kutoa maneno ya kejeli na dharau dhidi ya Chama na viongozi wake.
Pia Chama hicho kimetangaza kuwafuta unachama Mbunge David Silinde na Mbunge Wilfred Rwakatare kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ya kuonekana kwenye vyombo vya habari na njia nyingine za mawasiliano kutoa...
11 years ago
Mwananchi08 Jan
Sita wakatwa mishahara Yanga
10 years ago
Mwananchi24 Oct
Hali si shwari Tarime, Sita wakatwa mapanga
10 years ago
Vijimambo
WANNE WASHINDWA KURUDISHA FOMU ZA URAIS CCM

Hatimaye zoezi la kuchukua na kurudisha fomu kwa makada wa chama cha mapinduzi ccm wanaowania kuchaguliwa kugombea urais limemalizika ambapo makada 38 wamerudisha fomu baada ya kutimiza masharti ya kutafuta wadhamini,
Hatiamaye zoezi la kuchukua na kurudisha fomu kwa makada wa chama cha mapinduzi ccm wanaowania kuchaguliwa kugombea urais limemalizika ambapo makada 38 wamerudisha fomu baada ya kutimiza masharti ya kutafuta wadhamini, huku...
10 years ago
Mwananchi04 Jun
Wanne wafungua pazia la fomu za urais CCM
11 years ago
Tanzania Daima01 Jan
Wabunge CCM wamvaa JK
WAKATI Rais Jakaya Kikwete akisubiriwa kwa shauku kubwa kuteua mawaziri wanne kuziba pengo la wale aliotengua uteuzi wao baada ya sakata la Operesheni Tokomeza Ujangili, wabunge wawili machachari wamemtaka awatimue kazi mawaziri wengine waliotajwa kuwa ‘mizigo’....
11 years ago
Mwananchi28 Feb
Wabunge CCM wajilipua
10 years ago
Mtanzania14 Aug
Panga pangua ya wabunge CCM
Na Bakari Kimwanga, Dodoma
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimekamilisha uteuzi wa wagombea ubunge wa majimbo na viti maalumu, huku baadhi ya wagombea walioshinda kwenye kura za maoni wakiachwa na kuchukuliwa walioshika nafasi ya pili na ya tatu.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana, Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, alisema kukamilika kwa kazi hiyo kunatoa fursa kwa wana CCM kujipanga na kuhakikisha wanarudisha umoja na mshikamano ili chama kiweze kushinda uchaguzi...