Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chadema kumpinga Zitto Mahakama ya Rufani

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kiko katika harakati za kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, uliompa ushindi aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Zitto Kabwe.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

JK aapisha jaji mmoja wa mahakama ya rufani na 13 wa mahakama kuu Ikulu jijini Dar es salaam

Rais Jakaya Mrisho kikwete akiwa na Waziri wa Sheria na Katiba Dkt Asha-Rose Migiro, Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman, Jaji Kiongozi Mhe Shaaban Ally Lilla na Katibu Mkuu kiongozi katika picha ya pamoja na Majaji wa Mahakama Kuu 13 na Jaji wa Mahakama ya Rufaa mmoja aliowaapisha Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 5, 2015.Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete ateua wasajili wapya Bi. Katarina Revocati Mahakama ya Rufani na Rugalema Kahyoza Mahakama kuu

Ikulu-tz

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bi. Katarina Tengia Revocati kuwa Msajili wa Mahakama ya Rufani kuanzia tarehe 5 Desemba, 2014.  Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Desemba 11, 2014 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Y. Sefue, imesema kabla ya uteuzi huo, Bi. Revocati alikuwa Msajili wa Mahakama Kuu, Divisheni ya Biashara.

Vilevile katika Taarifa hiyo, Rais Kikwete pia amemteua Bwana Rugalema J. Kahyoza kuwa Msajili wa Mahakama...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Zitto, CHADEMA ngoma nzito Mahakama Kuu

WAKILI wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, Albert Msando na Tundu Lissu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), jana walichuana vikali katika kesi namba 1/2014 iliyofunguliwa na Zito...

 

11 years ago

Habarileo

Chadema yaomba Mahakama kutupa kesi ya Zitto

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeomba Mahakama kutupilia mbali kesi ya madai, iliyofunguliwa na aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Zitto Kabwe dhidi yao kwa kuwa haina msingi kisheria. Walidai hayo katika pingamizi la awali, walilowasilisha juzi katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, kupitia kwa mawakili wao, Peter Kibatala na Tundu Lissu.

 

11 years ago

Mwananchi

Kesi ya Zitto dhidi ya Chadema kutajwa leo Mahakama Kuu Dar

Kesi ya aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Zitto Kabwe dhidi ya chama chake hicho inatarajiwa kuanza kutajwa leo katika Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam.

 

10 years ago

Vijimambo

MSAJILI WA MAHAKAMA YA RUFANI APONGEZWA BAADA YA KUAPISHWA

Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Hussein Kattanga akimkabidhi shada la ua Mhe. Katarina Revocatti, Msajili Mteule wa Mahakama ya Rufani mara baada ya kuapishwa na Mhe. Rais mapema siku ya Alhamisi tar. 08.01.2015.Msajili Mkuu Mahakama ya Tanzania, Mhe. Ignas P. Kitusi akimpongeza Mhe. Katarina Revocatti kwa kuteuliwa kwake kuwa Msajili wa Mahakama ya Rufani (T).Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Hussein Kattanga, (kulia), Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Ignas...

 

10 years ago

Michuzi

JUST IN: MAHAKAMA KUU imeifutilia mbali kesi ya Zitto Kabwe dhidi ya Kamati Kuu ya Chadema

Na Mwene Said wa Blogu ya Jamii

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam,  imeifutilia mbali kesi iliyofunguliwa na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe dhidi ya Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), baada ya kukubali mapingamizi yaliwasilishwa na chama hicho.
Uamuzi huo umetolewa na Jaji Richard Mziray baada ya kupitia hoja za pande zote mbili kuhusu mapingamizi ya Chadema.
Mapema Saa 3:20 asubuhi Jaji Mziray alisoma uamuzi huo mbele ya wanaodaiwa kuwa wanachama huku upande...

 

10 years ago

Michuzi

MSAJILI WA MAHAKAMA YA RUFANI APONGEZWA BAADA YA KUAPISHWA LEO

Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Hussein Kattanga akimkabidhi shada la ua Mhe. Katarina Revocatti, Msajili Mteule wa Mahakama ya Rufani mara baada ya kuapishwa na Mhe. Rais mapema leo tar. 08.01.2015. Msajili Mkuu Mahakama ya Tanzania, Mhe. Ignas P. Kitusi akimpongeza Mhe. Katarina Revocatti kwa kuteuliwa kwake kuwa Msajili wa Mahakama ya Rufani (T). Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Hussein Kattanga, (kulia), Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Ignas P....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani