Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zitto, CHADEMA ngoma nzito Mahakama Kuu

WAKILI wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, Albert Msando na Tundu Lissu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), jana walichuana vikali katika kesi namba 1/2014 iliyofunguliwa na Zito...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

JUST IN: MAHAKAMA KUU imeifutilia mbali kesi ya Zitto Kabwe dhidi ya Kamati Kuu ya Chadema

Na Mwene Said wa Blogu ya Jamii

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam,  imeifutilia mbali kesi iliyofunguliwa na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe dhidi ya Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), baada ya kukubali mapingamizi yaliwasilishwa na chama hicho.
Uamuzi huo umetolewa na Jaji Richard Mziray baada ya kupitia hoja za pande zote mbili kuhusu mapingamizi ya Chadema.
Mapema Saa 3:20 asubuhi Jaji Mziray alisoma uamuzi huo mbele ya wanaodaiwa kuwa wanachama huku upande...

 

11 years ago

Mwananchi

Kesi ya Zitto dhidi ya Chadema kutajwa leo Mahakama Kuu Dar

Kesi ya aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Zitto Kabwe dhidi ya chama chake hicho inatarajiwa kuanza kutajwa leo katika Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam.

 

10 years ago

GPL

ZITTO,UKAWA NGOMA NZITO

Homa ya uchaguzi inazidi kupanda kuelekea uchaguzi mkuu wa madiwani, wabunge na rais unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu huku habari kubwa ikiwa ni jeuri ya fedha iliyooneshwa na chama kipya cha Zitto Kabwe, Alliance for Change and Transparency (ACT- Tanzania) kufanya uzinduzi wa kihistoria uliogharimu mamilioni ya fedha. ...

 

10 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA ngoma nzito

MAKAO Makuu ya Jeshi la Polisi nchini jana yaligeuka uwanja wa mapambano kati ya askari na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), waliomfuata Mwenyekiti wao, Freeman Mbowe, aliyekwenda...

 

11 years ago

Mwananchi

Chadema ngoma nzito,wafuasi watwangana makonde mahakamani

>Vurugu za aina yake zimezuka katika Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam, baada ya watu wanaodhaniwa kuwa wanachama wa Chadema  kumzomea aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama hicho,  Zitto Kabwe.

 

11 years ago

GPL

KUTOKA MAHAKAMA KUU BAADA YA HUKUMU YA PINGAMIZI LA ZITTO KUAIRISHWA

Baadhi ya wanachama wa Chadema wakitoa maoni yao baada ya hukumu ya pingamizi la Zitto Kabwe kuairishwa katika Mahakama Kuu jijini Dar mpaka kesho saa nane mchana. (Video na Jelard Lucas / GPL)

 

11 years ago

Mwananchi

Chadema kumpinga Zitto Mahakama ya Rufani

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kiko katika harakati za kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, uliompa ushindi aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Zitto Kabwe.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani