Chadema yaomba Mahakama kutupa kesi ya Zitto
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeomba Mahakama kutupilia mbali kesi ya madai, iliyofunguliwa na aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Zitto Kabwe dhidi yao kwa kuwa haina msingi kisheria. Walidai hayo katika pingamizi la awali, walilowasilisha juzi katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, kupitia kwa mawakili wao, Peter Kibatala na Tundu Lissu.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi13 Feb
Kesi ya Zitto dhidi ya Chadema kutajwa leo Mahakama Kuu Dar
9 years ago
Habarileo22 Oct
Mahakama Kuu yaombwa kutupa ‘kesi ya meta 200’
MW A N A S H E R I A Mkuu wa Serikali (AG) ameiomba Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, kutupilia mbali kesi ya kikatiba kuhusu haki ya wananchi kukaa meta 200 kutoka katika kituo cha kupigia kura. Kesi hiyo ilianza kusikilizwa jana mbele ya jopo la majaji Sakieti Kihiyo, Aloysius Mujulizi na Lugano Mwandambo.
10 years ago
MichuziJUST IN: MAHAKAMA KUU imeifutilia mbali kesi ya Zitto Kabwe dhidi ya Kamati Kuu ya Chadema
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imeifutilia mbali kesi iliyofunguliwa na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe dhidi ya Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), baada ya kukubali mapingamizi yaliwasilishwa na chama hicho.
Uamuzi huo umetolewa na Jaji Richard Mziray baada ya kupitia hoja za pande zote mbili kuhusu mapingamizi ya Chadema.
Mapema Saa 3:20 asubuhi Jaji Mziray alisoma uamuzi huo mbele ya wanaodaiwa kuwa wanachama huku upande...
5 years ago
BBCSwahili18 Feb
Zitto Kabwe: Mahakama yamkuta na kesi ya kujibu kiongozi wa ACT-Wazalendo
11 years ago
Mwananchi08 Jan
Chadema kumpinga Zitto Mahakama ya Rufani
11 years ago
Tanzania Daima04 Jan
Zitto, CHADEMA ngoma nzito Mahakama Kuu
WAKILI wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, Albert Msando na Tundu Lissu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), jana walichuana vikali katika kesi namba 1/2014 iliyofunguliwa na Zito...
11 years ago
Tanzania Daima07 Jan
Ulinzi uimarishwe kesi ya Zitto, CHADEMA leo
MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam leo inatarajia kutoa uamuzi wa kesi iliyofunguliwa na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, dhidi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
11 years ago
MichuziKesi ya Zitto Kabwe dhidi ya Baraza la Wadhamini la CHADEMA,Dkt. Slaa kusikilizwa Julai 31
MAHAKAMA Kuu Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, imepanga kusikiliza mapingamizi ya awali ya pande zote mbili katika kesi iliyofunguliwa na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe dhidi ya Baraza la Wadhamini la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Katibu Mkuu, Willbrod Slaa, Julai 31, mwaka huu.
Mheshimiwa, Jaji John Utamwa alisema kesi ilipangwa jana kwa ajili ya kutajwa na kwamba itasikilizwa mapongamizi ya awali ya pande zote mbili...