Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEWZ ALERT : MBUNGE ZITTO KABWE AKUTWA NA KESI YA KUJIBU

 Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu jijini Dar leo,Jumanne Februari 18,2020 imemkuta na kesi ya kujibu  Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia tiketi ya chama cha ACT  WAZALENDO,Mhe. Zitto Kabwe.Kufautia uamuzi huo Mhe.Zitto ataanza kujitetea.

Zitto anakabiliwa na  kesi ya  uchochezi namba 237 ya mwaka 2018.
Taarifa kamili tutawaletea baadae.......

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Zitto Kabwe: Mahakama yamkuta na kesi ya kujibu kiongozi wa ACT-Wazalendo

Zitto anakabiliwa na mashtaka matatu ya uchochezi anayodaiwa kuyatenda Oktoba 2018.

 

5 years ago

Michuzi

'HOUSE BOY'ANAYETUHUMIWA KUMUIBIA SHILINGI MILIONI 7/- MBUNGE WA ZAMANI WA BUNGE LA AFRIKA MASHIRIKI AKUTWA NA KESI YA KUJIBU

 Na Woinde Shizza ,Michuzi TV- ARUSHA

MAHAKAMA  ya Mwanzo Maromboso jijini Arusha imemkuta na kesi ya kujibu mtuhumiwa wa kesi ya wizi wa sh.milioni saba inayomkabili kijana wa kazi (House boy) William Mlewa(22) anayetuhumiwa kumwibia Mwajiri wake Anjela Kizigha ambaye ni Mbunge wa zamani wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA).

Hakimu Neema Mchomvu anayesikiliza kesi hiyo alidai kuwa Mahakama imemkuta na kesi ya kujibu na kumtaka mshtakiwa kujipanga kwa ajili ya utetezi wake.

Akisoma mashtaka kwa...

 

10 years ago

Michuzi

NEWZ ALERT:JOHNSON LUKAZA WA KESI YA EPA ASHINDA KESI

Johnson LukazaMwesigwa Lukaza 

Na Happiness Katabazi (UB)HATIMAYE Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, imemwachilia huru Mwenyekiti  wa Makampuni ya Proin, Johnson Lukaza na mdogo wake Mwesiga Lukaza waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya wizi wa Sh.Bilioni Sita Katika Akaunti ya Madeni ya Nje ya Benki Kuu(EPA), baada ya kumuona Hana hatia Katika Kesi iliyokuwa ikimkabili.
Hukumu hiyo Imetolewa Jaji wa Mahakama Kuu Edson Mkasimongwa aliyekuwa alisaidia na Hakimu Mkazi Pamela Mazengo....

 

5 years ago

Michuzi

NEWZ ALERT: MBUNGE WA JIMBO LA SUMVE RICHARD NDASA AFARIKI DUNIA

Spika wa Bunge, Job Ndugai amethibitisha kutokea kwa kifo cha Mbunge wa Jimbo la Sumve, Richard Ndasa kilichotokea usiku wa kumkia leo jijini Dodoma. Spika Ndugai amehairisha shughuli za Bunge ikiwa ni kanuni za maombelezo.

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: CHADEMA YAMFUTIA UWANACHAMA MH. ZITTO KABWE

Mwanasheria mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu (pichano) mapema leo hii ametangaza kuvuliwa uanachama kwa mbunge wa Jimbo la Kigoma Kasikani,Zitto Kabwe baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Dar es Salaam kutupilia mbali pingamizi la mbunge huyo la kuzuia asijadiliwe.
"Kwa mujibu wa katiba ya chama cha CHADEMA, mwanachama yoyote anapofungua kesi mahakamani dhidi ya chama chake, endapo atashindwa katika kesi hiyo atakuwa amejiondoa uanachama wake, kwahiyo...

 

11 years ago

Michuzi

News alert: Mama Mzazi wa Mhe Zitto Kabwe Afariki dunia

Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mhe Zitto Kabwe akiwa na mama yake Mama  Bi. Shida Salum, enzi za uhai wake. Mhe. Zitto kupitia mtandao wa Twitter amearifu kuwa mama amefariki dunia leo.

 

11 years ago

GPL

ZITTO KABWE ASHINDA HUKUMU YA KESI YAKE

Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe. Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, leo imetoa hukumu ya kesi ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe ambapo imempa kinga ya muda kutojadiliwa uanachama wa ke na Kamati Kuu ya…

 

10 years ago

Mwananchi

Maswali kumi kwa Mbunge wangu: Zitto Kabwe

Vijana wengi wamekuwa wakijishughulisha na kazi mbalimbali za kujiajiri kama vile kilimo, kuchimba mawe na mchanga, uvuvi na nyinginezo. Vijana wa Msimba walioamua kujiajiri kwa kufyatua matofali wanatozwa ushuru eti tofali ni

 

10 years ago

Vijimambo

MBUNGE CHIKU ABWAO WA CHADEMA AMFUATA ZITTO KABWE ACT-WAZALENDO

 Katibu wa Mipango na Mikakati wa Chama cha ACT-Wazalendo, Habibu Mchange (kushoto), akimkabidhi kadi ya chama hicho, aliyekuwa mbunge wa Viti maalumu kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Iringa mjini, Chiku Abwao baada ya kuhamia rasmi ACT-Wazalendo Dar es Salaam leo mchana. Mbunge Chiku Abwao (kulia), akionesha kadi ya chama cha ACT-Wazalendo baada ya kukabidhiwa.
  Mbunge Chiku Abwao (kulia), akizungumza na wanahabari baada ya kukabidhiwa kadi ya chama cha ACT-Wazalendo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani