'HOUSE BOY'ANAYETUHUMIWA KUMUIBIA SHILINGI MILIONI 7/- MBUNGE WA ZAMANI WA BUNGE LA AFRIKA MASHIRIKI AKUTWA NA KESI YA KUJIBU
![](https://1.bp.blogspot.com/-3BeEOJxpbOU/Xt0TCw0GCgI/AAAAAAALs7U/yIurxAf6ZOIhlpw8aI7lX5njhKvBGvPxwCLcBGAsYHQ/s72-c/index.jpg)
Na Woinde Shizza ,Michuzi TV- ARUSHA
MAHAKAMA ya Mwanzo Maromboso jijini Arusha imemkuta na kesi ya kujibu mtuhumiwa wa kesi ya wizi wa sh.milioni saba inayomkabili kijana wa kazi (House boy) William Mlewa(22) anayetuhumiwa kumwibia Mwajiri wake Anjela Kizigha ambaye ni Mbunge wa zamani wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA).
Hakimu Neema Mchomvu anayesikiliza kesi hiyo alidai kuwa Mahakama imemkuta na kesi ya kujibu na kumtaka mshtakiwa kujipanga kwa ajili ya utetezi wake.
Akisoma mashtaka kwa...
Michuzi