Liyumba: Kesi ya kukutwa na simu nimebambikiwa
Mkurugenzi wa zamani wa Utawala na Utumishi (DPA), Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba anayekabiliwa na kesi ya kukutwa na simu gerezani, ameiomba mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imfutie shtaka hilo na kumuachia huru kwa madai kuwa kesi hiyo ilipangwa kwa ajili ya kumkomoa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo17 Jan
Liyumba aachiwa huru kesi ya simu
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo imemuachia huru aliyekuwa Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala wa Benki Kuu (BoT), Amatus Liyumba baada ya kumuona hana hatia katika mashitaka yaliyokuwa yanamkabili.
11 years ago
Habarileo17 Dec
Liyumba- Sikuwa na simu gerezani
ALIYEKUWA Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba amekana kukutwa na simu gerezani na kudai amebambikiwa kesi hiyo ili aendelee kukaa gerezani.
11 years ago
GPLLIYUMBA SIKUWA NA SIMU GEREZANI
11 years ago
GPLLIYUMBA ASHINDA KESI
11 years ago
Habarileo15 Jan
Hukumu kesi ya Liyumba leo
HUKUMU ya kesi ya kukutwa na simu gerezani inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala wa Benki Kuu (BoT), Amatus Liyumba inatolewa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.
11 years ago
Mwananchi13 Dec
Liyumba ana kesi ya kujibu mahakamani
11 years ago
Habarileo12 Dec
Liyumba ana kesi ya kujibu- Mahakama
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imemuona aliyekuwa Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala wa Benki Kuu (BoT), Amatus Liyumba ana kesi ya kujibu.
11 years ago
GPLTASWIRA ZA LIYUMBA BAADA YA KUSHINDA KESI LEO
11 years ago
Mwananchi14 Mar
Kesi ya kukutwa na sare za polisi yaahirishwa