Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Liyumba- Sikuwa na simu gerezani

ALIYEKUWA Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba amekana kukutwa na simu gerezani na kudai amebambikiwa kesi hiyo ili aendelee kukaa gerezani.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

LIYUMBA SIKUWA NA SIMU GEREZANI

Aliyekuwa Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba. ALIYEKUWA Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba amekana kukutwa na simu gerezani na kudai amebambikiwa kesi hiyo ili aendelee kukaa gerezani. Liyumba anakabiliwa na kesi ya kukutwa na simu wakati alipokuwa gerezani, kutumikia kifungo chake cha miaka miwili baada ya kupatikana na hatia ya kosa la...

 

11 years ago

Habarileo

Liyumba aachiwa huru kesi ya simu

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo imemuachia huru aliyekuwa Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala wa Benki Kuu (BoT), Amatus Liyumba baada ya kumuona hana hatia katika mashitaka yaliyokuwa yanamkabili.

 

11 years ago

Mwananchi

Liyumba: Kesi ya kukutwa na simu nimebambikiwa

Mkurugenzi wa zamani wa Utawala na Utumishi (DPA), Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba anayekabiliwa na kesi ya kukutwa na simu gerezani, ameiomba mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imfutie shtaka hilo na kumuachia huru kwa madai kuwa kesi hiyo ilipangwa kwa ajili ya kumkomoa.

 

11 years ago

BBCSwahili

Giggs ;Sikuwa tayari kuwa mkufunzi

Ryan Giggs amesema hakuwa tayari kuwa mkufunzi.

 

9 years ago

GPL

DK. SLAA: SIKUWA LIKIZO, NILIAMUA KUACHANA NA SIASA

DK. Wilbroad Slaa. KATIBU Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), DK. Wilbroad Slaa amesema hakuwa likizo ila aliamua kuachana na siasa baada ya kutokubaliana na maamuzi ya chama chake yaliyotokea Julai 28,2015 saa 3 usiku. Wanahabari wa Kampuni ya Global Publishers wakifuatilia hotuba ya DK. Slaa leo katika Hoteli ya Serena jijini Dar. -Asema lazima ajitokeze kusema na kuweka ukweli hadharani -Asema sina tabia ya...

 

11 years ago

GPL

LIYUMBA ASHINDA KESI

Amatus Liyumba. MKURUGENZI wa zamani wa Utawala na Utumishi (DPA) wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba ameshinda kesi ya kukutwa na simu gerezani iliyokuwa inamkabili hivi punde katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam. Liyumba ameshinda kesi hiyo baada ya upande wa Jamhuri na mchunguzi wa kesi hiyo kushindwa kuithibitishia mahakama kuhusu tuhuma hiyo. Hukumu hiyo imesomwa na Hakimu Mkazi,...

 

11 years ago

IPPmedia

Court exonerates Liyumba


Daily News
Court exonerates Liyumba
IPPmedia
The Kisutu Resident Magistrate court yesterday acquitted former Bank of Tanzania (BOT) Personnel and Administration Director, Amatus Liyumba who was facing charges of possession of prohibited items while serving a jail sentence. Liyumba was acquitted ...
Liyumba beats 'mobile phone in prison' rapDaily News

all 3

 

11 years ago

GPL

HUKUMU YA LIYUMBA YAANZA KUSIKILIZWA

Amatus Liyumba. HUKUMU ya kesi ya kukutwa na simu gerezani inayomkabili Mkurugenzi wa zamani wa Utawala na Utumishi (DPA) wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba imeanza kusomwa muda huu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam. Hukumu hiyo inasomwa na Hakimu Mkazi, Augustina Mmbando. Liyumba ameingia mahakamani hapo kwa siri… ...

 

11 years ago

Mwananchi

Liyumba aibuka kidedea Dar

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemwachia huru Mkurugenzi wa zamani wa Utawala na Utumishi (DPA), Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba kutokana na upelelezi uliofanywa kuwa mbovu na wakili aliyekuwa akiiendesha kesi hiyo kuwa mzembe.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani