Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HUKUMU YA LIYUMBA YAANZA KUSIKILIZWA

Amatus Liyumba. HUKUMU ya kesi ya kukutwa na simu gerezani inayomkabili Mkurugenzi wa zamani wa Utawala na Utumishi (DPA) wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba imeanza kusomwa muda huu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam. Hukumu hiyo inasomwa na Hakimu Mkazi, Augustina Mmbando. Liyumba ameingia mahakamani hapo kwa siri… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Hukumu kesi ya Liyumba leo

HUKUMU ya kesi ya kukutwa na simu gerezani inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala wa Benki Kuu (BoT), Amatus Liyumba inatolewa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

GPL

HUKUMU YA LIYUMBA YAAHIRISHWA HADI KESHO

Amatus Liyumba. HUKUMU ya kesi ya kukutwa na simu gerezani inayomkabili Mkurugenzi wa zamani wa Utawala na Utumishi (DPA) wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba imeahirishwa hadi kesho katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam. Hukumu hiyo inatarajiwa kutolewa na Hakimu Mkazi, Augustina Mmbando baada ya leo…

 

10 years ago

GPL

HUKUMU YA YONA, MRAMBA NA MGONJA KUSIKILIZWA MUDA MFUPI UJAO

Gray Mgonja (mbele) akiwa na Basil Mramba (wa pili kushoto) wakiwa eneo la mahakama. HUKUMU ya aliyekuwa Waziri wa Fedha, Basil Mramba, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Gray Mgonja na aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Daniel Yona, itaanza kusikilizwa muda mfupi ujao katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam. Watuhumiwa wote watatu tayari wamewasili mahakamani wakisubiri hukumu yao kuanza kusomwa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Maombi ya Sheikh Farid yaanza kusikilizwa

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, imeanza kusikiliza maombi ya Kiongozi wa Jumuiya za Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (Jumiki), Sheikh Farid Hadi Ahmed (43) na wenzake yaliyoomba Mahakama ipitie kesi...

 

11 years ago

BBCSwahili

Kesi ya Liz yaanza kusikilizwa Kenya

Mshukiwa wa ubakaji aliyekuwa miongoni mwa genge la watu waliombaka Liz na kumtupa ndani ya shimo, inaanza kusikilizwa leo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kesi ya Rita Jeptoo yaanza kusikilizwa

Kesi ya matumizi ya dawa za kuongeza nguvu ya bingwa mara tatu wa Boston Marathon Rita Jeptoo wa Kenya imeanza leo hii mjini Nairobi lakini chama cha riadha kimesema hakitatangaza hukumu ya Jeptoo hadi wiki ijayo.

 

5 years ago

Michuzi

MASHAURI 157 YAANZA KUSIKILIZWA NA MAHAKAMA YA RUFANI NCHINI

Mawakili wa Serikali na wa kujitegemea wakiwa kwenye chumba cha Mahakama ya wazi kilichopo katika Mahakama ya Rufani Tanzania, Jijini Dar es salaam, kwa ajili kuendeshea mashauri kwa njia ya “Mahakama Mtandao” (kulia) ni Wakili Msomi wa kujitegemea Bw. Clement Kihoko na (kushoto) ni Wakili wa Serikali Mwandamizi Bi. Jenipha Masue.Kifaa maalumu kinachotumika kuendeshea mashauri kwa njia ya Mahakama Mtandao kilicho andaliwa kwa ajili ya kusikilizia mashauri wakati wa vikao vya Mahakama ya...

 

10 years ago

Michuzi

KESI YA MAUAJI YA ALBINO AARON NONGO YAANZA KUSIKILIZWA TENA

Na Daniel Mbega, Mwanza
KESI ya mauaji ya Aaron Nongo mwenye ulemavu wa ngozi (albino) imeanza kusikilizwa tena leo hii kwenye Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza baada ya kusimama kwa miezi takriban mitano.
Shauri hilo namba 213 la mwaka 2014 liko mbele ya Jaji Robert Makaramba, ambaye ndiyo kwanza ameanza kulisikiliza baada ya jaji wa awali, Ashery Sumari, kupewa uhamisho.
Washtakiwa katika kesi hiyo walikuwa watano, lakini leo hii mahakama imearifiwa kwamba mmoja – Paulo Budeba Genji maarufu kama...

 

10 years ago

GPL

HUKUMU YA OSCAR PISTORIUS YAANZA

Oscar Pistorius akiwasili mahakamani jijini Pretoria. KESI inayomkabili mwanariadha wa Afrika Kusini, Oscar Pistorius (27) ya kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp inatolewa hukumu leo jijini Pretoria na Jaji Thokosile Masipa. Matundu manne ya risasi zilizopigwa na Pistorius, ambapo tatu kati yake zilimpiga Reeva - mkononi, kichwani na kwenye paja. Tayari hukumu hiyo imeanza kusomwa na Jaji Thokosile Masipa  ikiwa ni baada...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani