Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TASWIRA ZA LIYUMBA BAADA YA KUSHINDA KESI LEO

Amatus Liyumbaakitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kushinda kesi. MKURUGENZI wa zamani wa Utawala na Utumishi (DPA) wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba leo ameshinda kesi ya kukutwa na simu gerezani iliyokuwa inamkabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam. Liyumba ameshinda kesi hiyo baada ya upande wa Jamhuri na mchunguzi wa kesi hiyo kushindwa kuithibitishia mahakama...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

TASWIRA ZA MAKUNGA, KIBANDA BAADA YA KUSHINDA KESI YAO KISUTU LEO

Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New Habari (2006), Absalom Kibanda akiongea na waandishi baada ya kushinda kesi katika Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu. Wakili wa washitakiwa, Nyaloni Mwita akiongea na waandishi wa habari nje ya mahakama.…

 

11 years ago

Habarileo

Hukumu kesi ya Liyumba leo

HUKUMU ya kesi ya kukutwa na simu gerezani inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala wa Benki Kuu (BoT), Amatus Liyumba inatolewa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Michuzi

9 years ago

Vijimambo

Picha nje ya Mahakama baada ya Mwimbaji wa Gospel Emmanuel Mbasha kushinda kesi ya kubaka



Emmanuel Mbasha akiwa amepiga magoti huku akitokwa machozi nje ya Mahakama ya Ilala, Dar es Salaam baada ya Hukumu kutolewa. Hizi hapa Picha nje ya Mahakama ya Ilala baada ya Hukumu kutolewa Mahakamani na Emmanuel Mbasha kutoka nje ya Mahakama.






millardayo.com

 

10 years ago

Bongo Movies

Baada ya Sugu Kushinda Kesi,Faiza Asema Bora Kufa Kuliko Kumuona Sasha Akilelewa na Mama Mwingine

Baada ya Mbunge wa Mbeya Mjini kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Joseph Osmund Mbilinyi ‘Sugu’ kushinda kesi mahakamani ya kutaka apewe amlee mtoto wake aitwaye Sasha,aliyekuwa mzazi mwanzake,Faiza Ally amefunguka kuwa ni bora kufa kuliko kumuona mtoto wake akilelewa na mama mwingine wakati yeye yupo hai.

Sugu alimfikisha mahamakani mzazi mwenziye kwa madai kuwa ameshindwa kumlea mtoto wao kwa kuwa mama huyo si mwadilifu.

Faiza ameandika hivi kupitia Akaunti ya...

 

10 years ago

Michuzi

TASWIRA MWANANA ZA JIJINI DAR LEO BAADA YA MVUA YA LEO


Baada ya mvua ya kubwa ya kama masaa mawili mfululizo,maeneo mengi jijini Dar yamejaa maji na kupelekea adha kubwa kwa wakazi wa jiji hili.Pichani ni eneo la Morogoro Road.
Barabara ya Bibi Titi Mohamed mambo yalikuwa namna hii,wenye magari madogo walipita kwa staili ya maji ya shingo.
Matolori ya kuuzia ice creame yakionekana kununiwa leo,huku wapita njia wakiendelea kupiga mbizi kwenye maji hayo.
Hapa ndio inakuwaga kimbebe,maana daladala ndio lishabuma tena.
Hakuna namna nyingine ya kuyakwepa...

 

11 years ago

GPL

LIYUMBA ASHINDA KESI

Amatus Liyumba. MKURUGENZI wa zamani wa Utawala na Utumishi (DPA) wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba ameshinda kesi ya kukutwa na simu gerezani iliyokuwa inamkabili hivi punde katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam. Liyumba ameshinda kesi hiyo baada ya upande wa Jamhuri na mchunguzi wa kesi hiyo kushindwa kuithibitishia mahakama kuhusu tuhuma hiyo. Hukumu hiyo imesomwa na Hakimu Mkazi,...

 

11 years ago

Mwananchi

Liyumba ana kesi ya kujibu mahakamani

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala na Utumishi (DPA), Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba anayekabiliwa na kesi ya kukutwa na simu ndani ya Gereza la Ukonga ana kesi ya kujibu.

 

11 years ago

Mwananchi

Liyumba: Kesi ya kukutwa na simu nimebambikiwa

Mkurugenzi wa zamani wa Utawala na Utumishi (DPA), Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba anayekabiliwa na kesi ya kukutwa na simu gerezani, ameiomba mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imfutie shtaka hilo na kumuachia huru kwa madai kuwa kesi hiyo ilipangwa kwa ajili ya kumkomoa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani