Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TASWIRA MWANANA ZA JIJINI DAR LEO BAADA YA MVUA YA LEO


Baada ya mvua ya kubwa ya kama masaa mawili mfululizo,maeneo mengi jijini Dar yamejaa maji na kupelekea adha kubwa kwa wakazi wa jiji hili.Pichani ni eneo la Morogoro Road.
Barabara ya Bibi Titi Mohamed mambo yalikuwa namna hii,wenye magari madogo walipita kwa staili ya maji ya shingo.
Matolori ya kuuzia ice creame yakionekana kununiwa leo,huku wapita njia wakiendelea kupiga mbizi kwenye maji hayo.
Hapa ndio inakuwaga kimbebe,maana daladala ndio lishabuma tena.
Hakuna namna nyingine ya kuyakwepa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

TASWIRA MWANANA ZA MATUMIZI YA BARABARA BAADA YA KUNYESHA KWA MVUA JIJINI DAR

Kamera ya Mdau ilimnasa Dereva huyu wa Bodaboda akiwa na abiria wake,wakinyanyua miguu kukwepa kulowa na maji ya mvua yaliyofurika kwenye barabara ya Mbozi, Chang'ombe jijini Dar es Salaam jana. Mvua ya siku mbili tu tayari imeanza kuleta balaa ndani ya jiji hili la Dar. Kama kawaida,sasa hivi mwendo ni kuning'iniza miguu juu tu.Picha kwa hisani ya K-Vis Blog

 

10 years ago

GPL

TASWIRA YA MVUA JIJINI DAR LEO

Namna hali ilivyo leo katika barabara ya Morogoro road eneo la Jangwani. Baadhi ya nyumba katika eneo la Kinondoni Mkwajuni jijini Dar zilizo bondeni zikiwa zimevamiwa na maji ya mvua.…

 

10 years ago

Michuzi

TASWIRA ZA HALI ILIVYO JIJINI DAR LEO KUTOKANA NA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA

Hivi ndivyo hali ilivyo katika maeneo mengi hapa jijini Dar,kutoka na Mvua zinazoendelea kushesha.Kwa Mujibu wa Mamlaka ya Hali ya hewa nchini,inaeleza kwamba Vipindi vya mvua hii inayozidi milimeta 50 ndani ya masaa 24 itaendelea kuwepo katika baadhi ya maeneo ya ukanda wa pwani wa nchi ikihusisha mikoa ya Lindi, Mtwara, Pwani, Dar es Salaam pamoja na kisiwa cha Unguja,hiyo ni kutokana na kuwepo na kuimarika kwa ukanda wa mvua (Inter Tropical Convergency Zone –ITCZ) katika maeneo hayo.

 

9 years ago

Michuzi

9 years ago

Michuzi

TASWIRA MBALIMBALI JIJINI DAR LEO

 Kamera ya Mtaa kwa Mtaa yanasa muendesha Bajaji akivunja sheria kwa kupita pasipo ruhusiwa kupita, hii ni pamoja na kuharibu miondo mbinu ya Barabara ya  mabasi yaendayo haraka ya Morogoro (Strabag) jijini Dar es Salaam.Madereva wa magari haya mambayo yameshindwa kupishana kwa usahihi  wakielewana mara baada ya kugongana leo katika Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, kama walivyonaswa na kamera ya Mtaa kwa Mtaa.Mchana huo marekebisho ya hali ya tumbo yakiendelea katika sehemu ya chakula...

 

10 years ago

Michuzi

Taswira ya Ubungo jijini Dar es Salaam leo.

 Taswira ya kituo cha Simu 2000 Ubungo jijini Dar es Salaam leo baada ya mgomo wa madereva wa mabasi ya abiria.Picha zote na Avila Kakingo,Globu ya Jamii. Barabara ya Sam Nujoma eneo la Ubungo jijini Dar es Salaam leo. Licha ya mgomo wa madareva Miundombinu ya maji machafu hakuna katika kituo cha Mabasi Yaendayo mikoani cha Ubungo jijini Dar es Salaam.Hakuna kukanyaga maji ni kuruka mawe tuu. Mabasi yakiwa yameegeshwa katika Stendi kuu ya Mabasi yaendayo mikoani-Ubungo jijini Dar es Salaam...

 

9 years ago

Michuzi

TASWIRA MBALIMBALI JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Uhaba wa usafiri wahatarisha usalama wa Abiria, kama walivyonaswa na kamera ya mtaa kwa mtaa leo   jijini Dar es Salaam. (Picha na Emmanue Massaka wa Globu ya jamii).

 

11 years ago

GPL

MADHARA YA MVUA ILIYONYESHA LEO JIJINI DAR

Magari yakipita katika madimbwi ya maji yaliyotokana na mvua kubwa ya maji iliyonyesha leo kwenye mitaa ya jiji la Dar es Salaam.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani