Mahakama ya Kisutu yasema Hans Macha ana kesi ya kujibu
![](http://4.bp.blogspot.com/-qwjdQuP_SQs/VGtnXe79S5I/AAAAAAABNFw/slaYHdZmJPg/s72-c/macha.jpg)
Na Mwandishi WetuMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imetoa uamuzi katika kesi inayomkabili mfanyabiashara maarufu jijini Dar es Salaam, Hans Aingaya Macha (pichani) kuwa ana kesi ya kujibu.
Uamuzi huo, umetolewa na Hakimu Mkazi wa mahakama hiyo, Devotha Kisoka katika kesi inayomkabili mfanyabiashara huyo ya kugushi hati ya kiwanja cha Ramadhan Balenga chenye namba 183 kilichopo Kigogo, mkataba wa mauziano na hati ya uhamishaji miliki.
Akitoa uamuzi huo jana, Hakimu Devotha alisema baada...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo12 Dec
Liyumba ana kesi ya kujibu- Mahakama
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imemuona aliyekuwa Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala wa Benki Kuu (BoT), Amatus Liyumba ana kesi ya kujibu.
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-qwjdQuP_SQs/VGtnXe79S5I/AAAAAAABNFw/slaYHdZmJPg/s72-c/macha.jpg)
Mahakama ya Kisutu yamtia hatiani Macha
![](http://4.bp.blogspot.com/-qwjdQuP_SQs/VGtnXe79S5I/AAAAAAABNFw/slaYHdZmJPg/s1600/macha.jpg)
Uamuzi huo, umetolewa na Hakimu Mkazi wa mahakama hiyo, Devotha Kisoka katika kesi inayomkabili mfanyabiashara huyo ya kugushi hati ya kiwanja cha Ramadhan Balenga chenye namba 183 kilichopo Kigogo, mkataba wa mauziano na hati ya uhamishaji miliki.
Akitoa uamuzi huo jana, Hakimu Devotha alisema baada...
10 years ago
Tanzania Daima09 Nov
Mahakama Kisutu kutoa uamuzi dhidi ya Macha
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu kesho inatarajia kutoa uamuzi juu ya mfanyabiashara maarufu jijini Dar es Salaam, Hans Macha iwapo ana kesi ya kujibu au la. Macha anakabiliwa na mashitaka...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-YrtQDIlRVJU/Xs-COYu25UI/AAAAAAALr00/7Qi37PD-jSY-Z7uDznoOpzh-FHoZuStGgCLcBGAsYHQ/s72-c/images.jpg)
MBUNGE WA KAWE ANAKESI YA KUJIBU-MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU
![](https://1.bp.blogspot.com/-YrtQDIlRVJU/Xs-COYu25UI/AAAAAAALr00/7Qi37PD-jSY-Z7uDznoOpzh-FHoZuStGgCLcBGAsYHQ/s400/images.jpg)
Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba ametoa uamuzi huo leo Mei 28, 2010 wakati kesi hiyo ilipokuja kwa ajili ya kutolewa uamuzi.
Hatua hiyo imekuja baada ya Februari 20, mwaka huu upanda wa mashtaka kufunga ushahidi wao kufuatia mashahidi watatu waliofika mahakamani hapo kutoa ushahidi ambao...
11 years ago
Mwananchi13 Dec
Liyumba ana kesi ya kujibu mahakamani
11 years ago
Habarileo26 Jun
Aliyekuwa Mkurugenzi TBS ana kesi ya kujibu
ALIYEKUWA Mkurugenzi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Charles Ekelege anayekabiliwa na mashitaka ya matumizi mabaya ya madaraka na kulisababishia shirika hilo hasara ya Sh milioni 68, amepatikana na kesi ya kujibu.
5 years ago
BBCSwahili18 Feb
Zitto Kabwe: Mahakama yamkuta na kesi ya kujibu kiongozi wa ACT-Wazalendo
10 years ago
Vijimambo01 Dec
MKE AKIRI MUMEWE BWANA BALENGA KUMUUZIA NYUMBA MFANYABIASHARA HANS MACHA KUTOKANA NA KULEMEWA NA MADENI YA MAMILIONI YA FEDHA ALIZOKOPA
![](https://2.bp.blogspot.com/-OXrYJ5VzmsA/VHyR7L4bomI/AAAAAAAAr3Y/AzHwj8wPwKc/s1600/MACHA%2BHANS.jpg)
MKE wa mlalamikaji katika kesi ya kughushi dhidi ya Mfanyabiashara Hans Macha (pichani), amedai mahakamani kwamba mumewe anadaiwa fedha nyingi na mshtakiwa, alishindwa kulipa akaamua kumuuzia nyumba.
Mke huyo Nurya Ahmad (34),ambaye ni shahidi wa upande wa utetezi, amedai hayo leo Desemba Mosi, katika Mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu,Dar es Salaam, mbele ya Hakimu Mkazi Devotha Kisoka, kwa kuongozwa na wakili wa utetezi, Deo Ringia.
Nurya amedai mahakamani hapo kwamba...
10 years ago
Dewji Blog10 Feb
Wakili: Mahakama imemtendea haki Macha
Na Mwandishi Wetu
UPANDE wa utetezi katika kesi iliyokuwa ikimkabili mfanyabiashara Hans Macha (pichani), umesema Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetenda haki kwa kuthibitisha kuwa mteja wao alinunua nyumba kihalali kutoka kwa mlalamikaji Ramadhani Balenga.
Kauli hiyo ya upande wa utetezi, imekuja ikiwa ni siku chache baada ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Kisutu, Devotha Kisoka kutoa hukumu iliyothibitisha kwamba Macha alinunua nyumba kihalali kutoka kwa Balenga.
Wakili wa Macha, Deo...