MKE AKIRI MUMEWE BWANA BALENGA KUMUUZIA NYUMBA MFANYABIASHARA HANS MACHA KUTOKANA NA KULEMEWA NA MADENI YA MAMILIONI YA FEDHA ALIZOKOPA
DAR ES SALAAM, Tanzania
MKE wa mlalamikaji katika kesi ya kughushi dhidi ya Mfanyabiashara Hans Macha (pichani), amedai mahakamani kwamba mumewe anadaiwa fedha nyingi na mshtakiwa, alishindwa kulipa akaamua kumuuzia nyumba.
Mke huyo Nurya Ahmad (34),ambaye ni shahidi wa upande wa utetezi, amedai hayo leo Desemba Mosi, katika Mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu,Dar es Salaam, mbele ya Hakimu Mkazi Devotha Kisoka, kwa kuongozwa na wakili wa utetezi, Deo Ringia.
Nurya amedai mahakamani hapo kwamba...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog07 Feb
Mahakama: Macha mnunuzi halali nyumba ya Balenga
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imethibitisha kwamba mfanyabiashara Hans Macha (pichani) alinunua nyumba kwa kufuata utaratibu na kihalali kutoka kwa Ramadhani Balenga.
Hayo yalithibitishwa jana kupitia hukumu iliyosomwa na Hakimu Mkazi Frank Moshi kwa niaba ya Hakimu Mkazi Devotha Kisoka, ambaye alisikiliza kesi ya kughushi inayomkabili Macha.
Katika kesi hiyo, Macha alikuwa akikabiliwa na mashitaka matatu ya kughushi hati ya umiliki wa kiwanja kilichopo eneo ya Kigogo, Dar es Salaam,...
10 years ago
Habarileo22 Oct
Mke akiri kumsaliti mumewe miaka 7
SHAHIDI wa kwanza katika kesi ya kulawiti na kutuma picha katika mitandao ya kijamii inayowakabili wakazi wawili wa Mbagala, Dar es Salaam, alidai kwamba alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na mlalamikaji kwa miaka saba huku akiwa na mume wake ambaye ni mshitakiwa namba moja katika kesi hiyo.
10 years ago
Bongo522 Sep
Mke wa Robin Thicke apata bwana mpya, mumewe Thicke aendelea kuumia
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-qwjdQuP_SQs/VGtnXe79S5I/AAAAAAABNFw/slaYHdZmJPg/s72-c/macha.jpg)
Mahakama ya Kisutu yasema Hans Macha ana kesi ya kujibu
![](http://4.bp.blogspot.com/-qwjdQuP_SQs/VGtnXe79S5I/AAAAAAABNFw/slaYHdZmJPg/s1600/macha.jpg)
Uamuzi huo, umetolewa na Hakimu Mkazi wa mahakama hiyo, Devotha Kisoka katika kesi inayomkabili mfanyabiashara huyo ya kugushi hati ya kiwanja cha Ramadhan Balenga chenye namba 183 kilichopo Kigogo, mkataba wa mauziano na hati ya uhamishaji miliki.
Akitoa uamuzi huo jana, Hakimu Devotha alisema baada...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-m_XVvS1gIRY/VCwCQNGuXSI/AAAAAAAAOEE/Hecxlxw23pc/s72-c/1.jpg)
NDOA NDOANO:MKE AMWAGIA MUMEWE MAJI YA MOTO BAADA YA KUULIZWA NA MUMEWE KWANINI AMECHELEWA KURUDI NYUMBANI!!
![](http://1.bp.blogspot.com/-m_XVvS1gIRY/VCwCQNGuXSI/AAAAAAAAOEE/Hecxlxw23pc/s640/1.jpg)
10 years ago
BBCSwahili05 Jul
Watawa wakataa kumuuzia nyumba Katy Perry
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Apuk65MO0R3SmqNAo5G4PPrmCsTIWvVABrI8O7cY1EtImxlmTxgz2Hw3FOWFDb9zIEEaqT4-nnnSeO-eTSR4n06LW43jKcLw/aunt.jpg?width=650)
AUNT EZEKIEL AKIRI MUMEWE KUKAMATWA DUBAI
10 years ago
Bongo Movies17 Dec
HAPA NA PALE:Chuchu Hans Adaiwa Kumsaliti Ray kwa Mfanyabiashara….Chuchu Afunguka
Inasemekana penzi kati ya waigizaji Chuchu Hans na Visent Kigosi “Ray” limeingia mtegoni baada ya Chuchu Hans kusemekana kumsaliti mpenzi wake Ray kwa jamaa anayedaiwa kuwa ni mfanyabiashara anayeishi maeneo ya Mbezi Beach Dar.
Chanzo kinasema pamoja na Chuchu kuwa na Ray kwa muda wote, lakini inadaiwa kuwa muda fulani amekuwa akitoka na kwenda Mbezi anapoishi kijana huyo.
Hata hivyo paparazi wetu aliamua kumvutia waya Chuchu na kuzungumza naye ishu hiyo ambapo alidai stori hizo...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-bcAy7o_O9_I/U87BhaKPqmI/AAAAAAAF4zc/S1OBpgFijHk/s72-c/e7d84f8a303d24b1035843c2a1b80eb6.jpg)
Ratiba ya mazishi ya marehemu mzee john fedha macha dar es salaam na moshi
![](http://1.bp.blogspot.com/-bcAy7o_O9_I/U87BhaKPqmI/AAAAAAAF4zc/S1OBpgFijHk/s1600/e7d84f8a303d24b1035843c2a1b80eb6.jpg)