Mke akiri kumsaliti mumewe miaka 7
SHAHIDI wa kwanza katika kesi ya kulawiti na kutuma picha katika mitandao ya kijamii inayowakabili wakazi wawili wa Mbagala, Dar es Salaam, alidai kwamba alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na mlalamikaji kwa miaka saba huku akiwa na mume wake ambaye ni mshitakiwa namba moja katika kesi hiyo.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo01 Dec
MKE AKIRI MUMEWE BWANA BALENGA KUMUUZIA NYUMBA MFANYABIASHARA HANS MACHA KUTOKANA NA KULEMEWA NA MADENI YA MAMILIONI YA FEDHA ALIZOKOPA

MKE wa mlalamikaji katika kesi ya kughushi dhidi ya Mfanyabiashara Hans Macha (pichani), amedai mahakamani kwamba mumewe anadaiwa fedha nyingi na mshtakiwa, alishindwa kulipa akaamua kumuuzia nyumba.
Mke huyo Nurya Ahmad (34),ambaye ni shahidi wa upande wa utetezi, amedai hayo leo Desemba Mosi, katika Mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu,Dar es Salaam, mbele ya Hakimu Mkazi Devotha Kisoka, kwa kuongozwa na wakili wa utetezi, Deo Ringia.
Nurya amedai mahakamani hapo kwamba...
11 years ago
Michuzi06 May
MKE AZIRAI BAADA YA KUHUKUMIWA KWENDA JELA MIAKA MITANO YEYE NA MUMEWE
baada ya kuhukumiwa miaka mitano jela
Watu wawili wa familia moja Frank Charles na mkewe Asia Khamis wamehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela au kulipa faini ya shilingi milioni moja kila mmoja kwa kosa la kukutwa na madawa ya kulevya aina ya bangi. Hakimu wa mahakama ya wilaya ya Mbeya Maria Batulaine amewatia hatiani wanandoa hao baada ya kuridhishwa na ushahidi usio shaka wa mashahidi wanne wa upande wa mashitaka. Imedaiwa na Mwendesha mashitaka...
11 years ago
Bongo526 Sep
Amber Rose aamua kujisafisha kwa kukana kumsaliti mumewe Wiz Khalifa
Baada ya Amber Rose kudai talaka kwa mumewe na baby dady wake Wiz Khalifa, sababu ambazo zimekuwa zikitajwa kuwa chanzo ni kuwa wawili hao walisalitiana na kupelekea ndoa yao iliyodumu kwa mwaka mmoja kufika ukingoni. Amber Rose ameamua kuweka mambo sawa upande wake kwa kujitetea kuwa hakuwahi kumsaliti mumewe. “Please stop with the fake stories. […]
11 years ago
Vijimambo
NDOA NDOANO:MKE AMWAGIA MUMEWE MAJI YA MOTO BAADA YA KUULIZWA NA MUMEWE KWANINI AMECHELEWA KURUDI NYUMBANI!!

11 years ago
GPL
AUNT EZEKIEL AKIRI MUMEWE KUKAMATWA DUBAI
Na Hamida Hassan
STAA wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel amekiri mumewe kukamatwa na kupata misukosuko lakini si kufungwa kama baadhi ya watu wanavyoeneza uzushi. Aunt Ezekiel. Akipiga stori na mwandishi wetu hivi karibuni, Aunt alisema mumewe, Sunday Demonte alikamatwa kutokana na viza yake kuisha ambapo alishikiliwa kwa muda na alipokamilisha taratibu za ‘kurinyuu’, aliachiwa. “Nashangaa sana mambo haya...
10 years ago
GPL
MKE AMZABUA MUMEWE
Stori: MASHAKA KASUSI, Mwanza/Risasi
KUNA kasumba ya kizamani kuwa wanaume ndiyo waliokuwa wanawapiga wake zao lakini inavyoonekana sasa kibao kimegeuka baada ya mwanamke aliyejitambulisha kwa jina la Irene Edwin kudaiwa kumzaba mumewe, Amani Joseph, wote wakazi wa maeneo ya Misungwi mkoani hapa kisa kikielezwa kuwa ni wivu wa kimapenzi. Irene Edwin akimshushia kichapo mumewe. Tukio hilo lililoshuhudiwa mchana kweupe lilijiri...
11 years ago
GPL
MKE ADAIWA KUMUUA MUMEWE!
Na Mwandishi Wetu
SHETANI anazidi kuuatamia ulimwengu! Mama mmoja aliyetajwa kwa jina moja la Farida mkazi wa Mburahati jijini Dar, amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kudaiwa kumuua mumewe aliyetajwa kwa jina la Amosi Joseph kwa kumpiga kwa kukombe kichwani, Ijumaa linaidondosha kama ilivyo. Akisimulia mbele ya gazeti hili mkasa mzima, mtoa habari hii aliyetajwa kuwa dada wa marehemu anayejulikana kwa jina la Khadija,...
11 years ago
GPL
MKE AKATWA MKONO NA MUMEWE
Na Imelda Mtema
NI mkasa wa kusikitisha kama siyo kutisha, unaowafanya wanaume wengi wa siku hizi waonekane ni makatili na majanga matupu mbele ya jamii. Akizungumza na Joyce Kiria(kulia), Leah (kushoto) alisema kwamba siku zote aliishi na mumewe kwa uvumilivu mkubwa. Kitendo hicho cha kinyama, kimemkuta mwanamke Leah Benard mkazi wa Kijiji cha Kifufu, mkoani wa Geita baada ya kukatwa kiganja chake cha mkono...
10 years ago
GPL
MKE AMPA KIPONDO MUMEWE
waandishi wetu/mchanganyiko11 UPEPO umegeuka! Imani ya kwamba wanaume ndiyo wamekuwa wakiwapa kipondo wake zao imegeuka, safari hii mwanamke aliyejulikana kwa jina la Naomi Peter akimpa kipondo ‘hevi’ mumewe John Shila mchana kweupe! Naomi Peter akitoa kipondo kwa mumewe. Wawili hao wakazi wa Misheni, jijini Mwanza waliibua timbwili la aina yake ambalo liliwavuta watu wengi chanzo kikiwa ni mwanaume huyo kumkataa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania