Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKE AMPA KIPONDO MUMEWE

waandishi wetu/mchanganyiko11 UPEPO umegeuka! Imani ya kwamba wanaume ndiyo wamekuwa wakiwapa kipondo wake zao imegeuka, safari hii mwanamke aliyejulikana kwa jina la Naomi Peter akimpa kipondo ‘hevi’ mumewe John Shila mchana kweupe! Naomi Peter akitoa kipondo kwa mumewe. Wawili hao wakazi wa Misheni, jijini Mwanza waliibua timbwili la aina yake ambalo liliwavuta watu wengi chanzo kikiwa ni mwanaume huyo kumkataa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

NDOA NDOANO:MKE AMWAGIA MUMEWE MAJI YA MOTO BAADA YA KUULIZWA NA MUMEWE KWANINI AMECHELEWA KURUDI NYUMBANI!!

Mwanamke mmoja katika wilaya ya Bunda, mkoani Mara, amemfanyia ukatili mume wake kwa kumwagia maji ya moto yaliyokuwa yametengwa kwa ajili ya kupikia ugali.Kwa mujibu wa jeshi la polisi wilayani hapa, tukio hilo lilitokea juzi, saa 4:30 usiku, katika mtaa wa Nyamakokoto, mjini Bunda, baada ya kuzuka ugomvi ulitokana na mwanamke huyo (jina linahifadhiwa) kuchelewa kurudi nyumbani.Mwanaume huyo amejeruhiwa vibaya mume wake sehemu mbalimbali za mwili wake, hali iliyopelekea kulazwa katika...

 

10 years ago

BBCSwahili

Bi harusi wa miaka 14 ampa sumu mumewe

Bi harusi wa miaka 14 nchini Nigeria ameshtakiwa kwa kuwaua watu wanne akiwemo mumewe wa miaka 35

 

10 years ago

GPL

LUCY KOMBA AMPA MUMEWE SHARTI LA KUZAA NAYE

Stori: Imelda Mtema
SIKU chache baada ya kufunga ndoa, mwigizaji Lucy Komba amempa sharti mumewe ambaye ni raia wa Dernmark, Janus Stanley Landrock kwamba hatozaa naye hadi atakapokamilisha suala la uraia wake. Mwigizaji Lucy Komba akipozi. Akizungumza na paparazi wetu, Lucy alisema amemwambia mumewe akamilishe taratibu zote za nchini kwao ili yeye awe na uhalali wa kuishi nchini humo ndipo wazae watoto. “Unajua napenda...

 

10 years ago

GPL

MKE AMZABUA MUMEWE

Stori: MASHAKA KASUSI, Mwanza/Risasi
KUNA kasumba ya kizamani kuwa wanaume ndiyo waliokuwa wanawapiga wake zao lakini inavyoonekana sasa kibao kimegeuka baada ya mwanamke aliyejitambulisha kwa jina la Irene Edwin kudaiwa kumzaba mumewe, Amani Joseph, wote wakazi wa maeneo ya Misungwi mkoani hapa kisa kikielezwa kuwa ni wivu wa kimapenzi. Irene Edwin akimshushia kichapo mumewe. Tukio hilo lililoshuhudiwa mchana kweupe lilijiri...

 

11 years ago

GPL

MKE ADAIWA KUMUUA MUMEWE!

Na Mwandishi Wetu
SHETANI anazidi kuuatamia ulimwengu! Mama mmoja aliyetajwa kwa jina moja la Farida mkazi wa Mburahati jijini Dar, amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kudaiwa kumuua mumewe aliyetajwa kwa jina la Amosi Joseph kwa kumpiga kwa kukombe kichwani, Ijumaa linaidondosha kama ilivyo. Akisimulia mbele ya gazeti hili mkasa mzima, mtoa habari hii aliyetajwa kuwa dada wa marehemu anayejulikana kwa jina la Khadija,...

 

11 years ago

GPL

MKE AKATWA MKONO NA MUMEWE

Na  Imelda Mtema
NI mkasa wa kusikitisha kama siyo kutisha, unaowafanya wanaume  wengi wa siku hizi  waonekane ni makatili na majanga matupu mbele ya jamii. Akizungumza na Joyce Kiria(kulia), Leah (kushoto) alisema kwamba siku zote aliishi na mumewe kwa uvumilivu mkubwa. Kitendo hicho cha kinyama, kimemkuta mwanamke Leah  Benard mkazi wa Kijiji cha Kifufu, mkoani wa Geita baada ya kukatwa kiganja chake cha mkono...

 

10 years ago

GPL

MKE AMPA KIPIGO WIFI YAKE

Waandishi wetu
Idd ya nuksi! Wakati watu wakijiandaa kwa mnuso wa Sikukuu ya Idd wikiendi iliyopita, mambo yameenda kombo katika familia ya mwanamke aliyetajwa kwa jina la Ester Mjila anayedaiwa kuwapa kipigo mama mkwe na wifi yake, Mage Sibonike akiwatuhumu kumtafutia mchepuko mumewe. Ester Mjila anayedaiwa kumjeruhi wifi yake. Katika tukio hilo la kutisha lilijiri hivi karibuni maeneo ya Soweto mkoani Mbeya ilidaiwa kwamba,...

 

11 years ago

Habarileo

Mke adaiwa kuhusika kumuua mumewe

MKAZI wa kijiji cha Vikonge wilayani Mpanda, Kitola Jeremia (45) ameuawa kwa kupasuliwa tumbo lake kwa kisu na utumbo wake wote kutolewa nje na watu wawili wanaodaiwa kukodishwa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Sura ya mke yamtisha mumewe harusini

Mume amkataa bi harusi kwakuwa ana sura mbaya na hafai kuolewa katika siku yake ya kwanza ya kuonana naye.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani