MKE AMPA KIPIGO WIFI YAKE
![](http://api.ning.com:80/files/bt5BWlmh0GaE9WO8eOQ7nIxve49qEWJhgOgi4vYCyAqGq2rNZO4UKmdtmsmAKCksyWkVC72vSTkatbOnx1Kml0kI-6lMeawe/NUKSI.gif?width=650)
Waandishi wetu Idd ya nuksi! Wakati watu wakijiandaa kwa mnuso wa Sikukuu ya Idd wikiendi iliyopita, mambo yameenda kombo katika familia ya mwanamke aliyetajwa kwa jina la Ester Mjila anayedaiwa kuwapa kipigo mama mkwe na wifi yake, Mage Sibonike akiwatuhumu kumtafutia mchepuko mumewe. Ester Mjila anayedaiwa kumjeruhi wifi yake. Katika tukio hilo la kutisha lilijiri hivi karibuni maeneo ya Soweto mkoani Mbeya ilidaiwa kwamba,...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hMNECPNor9-a1N91hzbFzh3N0WCM2nXQN25dyAU-P8Zap-cnQmQsdXtgaUNU589TRPcXBvuDv5eIIjIzkXtn9X4WKycEv515/Wema.jpg?width=650)
AUNT AWAPATANISHA WEMA, WIFI YAKE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jIM5ZSWhuBYSH8bRKE*pXKLhFGuf0VTHSc1IzWazIKOFfBsGcGNEqvpBaBKzRNvZdRh6r5rqwtFIGeKdjFwIQQ6cLAhONwsZ/1.jpg)
MKE AMPA KIPONDO MUMEWE
10 years ago
Vijimambo02 Feb
POST YA ZARI KUMTAKIA HERI YA KUZALIWA WIFI YAKE YAZUA JAMBO INSTAGRAM
![](http://api.ning.com/files/2xPSDbl5pyh9l3r20vG0Iy5xgePUxs*zBI7gMtGbR-56lWab3*oRr1YfQ8LiOgvhdneGAyWNJBMmUi*cFqKQI6dZzpKzWn4Q/zari5.jpg)
Zari ambaye bado yupo Bongo, katika post yake hiyo awali aliandika 'Happy bday to my lovely shemeji wifi' ila baadaye aliamua kubadilisha baada ya baadhi ya mashabiki wake kumkosoa huku wengine wakidai anatafuta kiki na baadhi wakimtolea maneno ya kuudhi. Usahihi...
10 years ago
GPLPOST YA ZARI KUMTAKIA HERI YA KUZALIWA WIFI YAKE YAZUA UTATA INSTAGRAM
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BKb27P3JwiGP58buB3cEiQ6bzMgnDvys0ULhmdX1C5ts3JFnEdP*95Nouzv3wBOnFI0gBgg7XOuJHVUQ8xpbj7GdrbJm7Fxy/Kipigo.gif?width=650)
NJEMBA ALA KIPIGO, MKE AKIMBIA
10 years ago
Bongo529 Dec
Chris Rock ampa talaka mke wake wa miaka 20
10 years ago
Bongo Movies03 Feb
VIJIMAMBO: Dada yake Diamond, Esma Awagonganisha Wema na Zari, Moja Aita WIFI Mwingine MKWE!!
Siku ya jana ilikuwani siku ya kuzaliwa ya mwanadada Esma ambae ni dada wa msanii mkubwa wa Bongo Fleva hapa nchini, Diamond Platnumz. Kama unavyojua tena mambo mitandaoni
Alianza mwanadada Zari, ambae ni mpenzi wa sasa wa Diamond, kumtumia Esma ujume wa kumtakia furaha kwenye siku yake ya kuzaliwa na kumuita Esma kama WIFI. Watu wakaichukulia poa kwani ni kweli wifi yake.
“Happy bday to my lovely wifi @esmaplatnum. Love you doll”-Aliandika Zari na kuweka picha ya Esma
Baada ya saa...
10 years ago
Bongo Movies03 Feb
VIJIMAMBO: Dada yake Diamond, Esma Awagonganisha Wema na Zari, Moja Amuita WIFI Mwingine MKWE!!
Siku ya jana ilikuwani siku ya kuzaliwa ya mwanadada Esma ambae ni dada wa msanii mkubwa wa Bongo Fleva hapa nchini, Diamond Platnumz. Kama unavyojua tena mambo mitandaoni
Alianza mwanadada Zari, ambae ni mpenzi wa sasa wa Diamond, kumtumia Esma ujume wa kumtakia furaha kwenye siku yake ya kuzaliwa na kumuita Esma kama WIFI. Watu wakaichukulia poa kwani ni kweli wifi yake.
“Happy bday to my lovely wifi @esmaplatnum. Love you doll”-Aliandika Zari na kuweka picha ya Esma
Baada ya saa...
9 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-C4tpLo1Ef3c/Vet5MQxDmJI/AAAAAAAD6M4/0tVnSLatZis/s72-c/6568c3319ebefa401cdad832cce40a61.jpg)