Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KADA AMPA KURA YAKE MAGUFULI


Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

KADA WA DMV AJIANDIKISHA KUPIGA KURA DODOMA

 Mhudumu wa daftari la kudumu la kupiga kura akiendelea na uandikishwaji wa wapiga kura katika uchaguzi mkuu mwaka huu jijini Dodoma nchini Tanzania. Mratibu wa matawi ya CCM nchini Marekani Bi.Loveness Mamuya (wapili toka kulia) akiwa kwenye mstari wa kujiandikisha katika daftari la kudumu la kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu mwaka huu unaotarajiwa kufanyika Oktoba.Mratibu wa matawi ya CCM nchini Marekani Bi.Loveness Mamuya akisubili zamu yake ya kujiandikisha katika daftari la kudumu la...

 

5 years ago

CCM Blog

KIGOMA WAAHIDI KUMPA RAIS DK. MAGUFULI ASANTE YA KURA ZA KISHINDO 2020 KWA DHAMIRA YAKE YA KUFUFUA ZAO LA MICHIKICHI MKOANI HUMO

Na Hamis Shimye, KigomaUAMUZI wa serikali ya awamu ya tano chini ya Rais Dk. John Magufuli kudhamiria kufufua zao la mchikichiki ni hatua madhubuti inayokwenda kubadilisha hali na maisha ya mwananchi hasa wa Kigoma ambaye zao la mchikichi ni tegemeo la maisha yake.
Tumekuwa kwa zao hilo na hata wazazi wetu wamesoma shule kwa zao hilo ambalo kwa miaka ya nyuma ndio lilikuwa zao kubwa sana na ndio maana kwenye kila kaya ndani ya mkoa wa Kigoma huwezi ukakosa kukuta mashine ya kukamua mawese kwa...

 

5 years ago

Michuzi

Kada wa CCM Mohammed Hija Arejesha Fomu Yake ya Kugombea Urais leo.


Katibu wa Idara ya Oganizesheni ya CCM Zanzibar akihakiki fomu za Mgombea Urais Mhe. Mohammed Hija wakati akirejesha fomu hizo baada ya kumaliza zoezi la kutafuta wadhamini na kuzijaza, hafla hiyo imefanyika leo Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.Katibu wa Idara ya Oganizesheni ya CCM Zanzibar akihakiki fomu za Mgombea Urais Mhe. Mohammed Hija wakati akirejesha fomu hizo baada ya kumaliza zoezi la kutafuta wadhamini na kuzijaza, hafla hiyo imefanyika leo Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui...

 

10 years ago

GPL

MKE AMPA KIPIGO WIFI YAKE

Waandishi wetu
Idd ya nuksi! Wakati watu wakijiandaa kwa mnuso wa Sikukuu ya Idd wikiendi iliyopita, mambo yameenda kombo katika familia ya mwanamke aliyetajwa kwa jina la Ester Mjila anayedaiwa kuwapa kipigo mama mkwe na wifi yake, Mage Sibonike akiwatuhumu kumtafutia mchepuko mumewe. Ester Mjila anayedaiwa kumjeruhi wifi yake. Katika tukio hilo la kutisha lilijiri hivi karibuni maeneo ya Soweto mkoani Mbeya ilidaiwa kwamba,...

 

10 years ago

Michuzi

KADA WA CCM OLIVIA SANARE ATUMIA SIKU YAKE YA KUZALIWA KUWAKUMBUKA WATOTO YATIMA

Kada wa CCM,Olivia Sanare akizungumza na watoto waishio katika mazingira magumu wa kituo cha Kili Center alipotembelea kituo hicho kutoa zawadi kwa watoto wa kituo hicho.Watoto wa kituo cha Kili Center wakimuimba wimbo wa Birthday,kada wa CCM mkoa wa Kilimanjaro Olivia Sanare aliyevaa kofia. Kada wa CCM ,Olivia akisakata Kwaito na watoto wa kituo cha Kili Center.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

GPL

STEVE NYERERE AMPA JK ZAWADI YA BETHIDEI YAKE

Stori: Ojuku Abraham
WAKATI Rais Jakaya Mrisho Kikwete Jumanne wiki hii alisherehekea kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa kwa kutimiza miaka 64,  Mchekeshaji Steven Mengere ‘Steve Nyerere’, Jumatano iliyopita alimpa zawadi baada ya kumvunja mbavu wakati wa hafla ya makabidhiano ya Katiba Mpya Inayopendekezwa iliyofanyika katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.… ...

 

10 years ago

GPL

KIM KARDASHIAN AMPA KAMPANI DADA YAKE

Mwanamitindo ambaye kwa sasa ni mama kijacho, Kim Kardashian. New York, Marekani
MWANAMITINDO ambaye kwa sasa ni mama kijacho, Kim Kardashian hivi karibuni ameonyesha upendo wa hali ya juu baada ya kutoka ‘out’ na mtoto wa dada yake, Kourtney Kardashian, Mason Disick ambaye kwa sasa yuko katika kipindi kigumu baada ya kumwagana na mzazi mwenzake, Scott Disick. Kim alionekana sehemu mbalimbali za mitaa ya New York...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani