KIM KARDASHIAN AMPA KAMPANI DADA YAKE
![](http://api.ning.com:80/files/zvxMwCoWaaqQuAcPbfei9fv7mvk7vLvTRNPvNCUBQvzxc73zWAZ*u5TBpgMNguuGUYKq8JoJVhcuBj6NQwbBO0hB0giJ8FiS/article02079182400000578426_634x969.jpg?width=650)
Mwanamitindo ambaye kwa sasa ni mama kijacho, Kim Kardashian. New York, Marekani MWANAMITINDO ambaye kwa sasa ni mama kijacho, Kim Kardashian hivi karibuni ameonyesha upendo wa hali ya juu baada ya kutoka ‘out’ na mtoto wa dada yake, Kourtney Kardashian, Mason Disick ambaye kwa sasa yuko katika kipindi kigumu baada ya kumwagana na mzazi mwenzake, Scott Disick. Kim alionekana sehemu mbalimbali za mitaa ya New York...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo515 Dec
Tetesi: Justin Bieber na dada yake Kim Kardashian mwenye watoto watatu ni wapenzi?
![justin-kourtney-435](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/justin-kourtney-435-300x194.jpg)
Huenda Justin Bieber akawa amechoka kuwa na uhusiano na wasichana wenye umri sawa na wake na sasa anataka kulelewa.
Kuna tetesi kuwa Justin Bieber na dada yake Kim Kardashian, Kourtney ni wapenzi. Kourtney ana watoto watatu aliozaa na Scott Dissick.
Bieber, 21 na Kourtney, 36, wameonekana kuwa karibu kuliko kawaida siku za hivi karibuni.
Bieber alizikuza zaidi tetesi hizo baada ya kuweka picha hiyo chini na kuandika, “Lord knows” na wengi kutafsiri kama ni diss kwa Dissick ambaye hujiita...
10 years ago
Bongo516 Oct
Kanye West ampiga marafuku mume wa dada yake na Kim Kardashian kumsogelea mwanae North
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tVyYDnk4ZvPBFiY6iKLFGkWpz24Li*hfwRlRMxXXQJ7h06Q8ZKYRTqJKFb0N*2yEWOGs2RaLRUlmKcq5joIEgD3ONcHWfNS9/27E28B74000005783051610imagea54_1429757160337.jpg?width=650)
KIM KARDASHIAN ATINGA VAZI LA AINA YAKE
10 years ago
Bongo513 Nov
(18+): Kumbe Kim Kardashian alionesha hadi ‘nanihii’ yake kwenye jarida la Paper (Picha)
5 years ago
Showbiz Cheat Sheet27 Mar
Kardashian Fans Think Kourtney and Kim Kardashian are the Most 'Naturally Beautiful' of Their Sisters
5 years ago
Cosmopolitan.Com05 Apr
Kim Kardashian and Kourtney Kardashian Are "Embarrassed" About Their 'KUWTK' Fight
10 years ago
BBCSwahili01 Jun
Kim kardashian ni mjamzito
9 years ago
Mtanzania24 Aug
Kim Kardashian: Tumbo linanisumbua
NEW YORK, Marekani
MKE wa msanii wa hip hop, Kanye West, Kim Kardashian, amesema kwa sasa tumbo lake linaanza kumsumbua kutokana na ujauzito wake wa mtoto mpya.
Kim anatarajia kupata mtoto wa pili huku mtoto wa kwanza akijulikana kwa jina la North, hivyo ujauzito alionao unaelekea mwishoni kupata mtoto wa pili.
“Nguo zangu nyingi kwa sasa zinanibana kutokana na tumbo kuwa kubwa, hiyo ni dalili ya kuwa mtoto anaendelea vizuri.
“Natarajia kuwa na mtoto wa pili muda wowote Mungu akipenda na...