Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mke wa Robin Thicke apata bwana mpya, mumewe Thicke aendelea kuumia

Paula Patton anadaiwa kuendelea na maisha yake baada ya kuachana na mumewe, Robin Thicke kwa kuanzisha uhusiano na mwanamuziki, Zak Waters. Muigizaji huyo mwenye miaka 38, aliyeachana na mumewe mwezi February baada ya kuwa kwenye ndoa kwa miaka tisa na miaka 20 pamoja, alionekana na Zak Waters, 27 wakiwa wameshikana mikono wakitembea jijini Los Angeles. […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MKE AKIRI MUMEWE BWANA BALENGA KUMUUZIA NYUMBA MFANYABIASHARA HANS MACHA KUTOKANA NA KULEMEWA NA MADENI YA MAMILIONI YA FEDHA ALIZOKOPA


DAR ES SALAAM, Tanzania
MKE wa mlalamikaji katika kesi ya kughushi dhidi ya Mfanyabiashara Hans Macha (pichani), amedai mahakamani kwamba mumewe anadaiwa fedha nyingi na mshtakiwa, alishindwa kulipa akaamua kumuuzia nyumba.

Mke huyo Nurya Ahmad (34),ambaye ni shahidi wa upande wa utetezi, amedai hayo leo Desemba Mosi, katika Mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu,Dar es Salaam, mbele ya Hakimu Mkazi Devotha Kisoka, kwa kuongozwa na wakili wa utetezi, Deo Ringia.

Nurya amedai mahakamani hapo kwamba...

 

10 years ago

Vijimambo

NDOA NDOANO:MKE AMWAGIA MUMEWE MAJI YA MOTO BAADA YA KUULIZWA NA MUMEWE KWANINI AMECHELEWA KURUDI NYUMBANI!!

Mwanamke mmoja katika wilaya ya Bunda, mkoani Mara, amemfanyia ukatili mume wake kwa kumwagia maji ya moto yaliyokuwa yametengwa kwa ajili ya kupikia ugali.Kwa mujibu wa jeshi la polisi wilayani hapa, tukio hilo lilitokea juzi, saa 4:30 usiku, katika mtaa wa Nyamakokoto, mjini Bunda, baada ya kuzuka ugomvi ulitokana na mwanamke huyo (jina linahifadhiwa) kuchelewa kurudi nyumbani.Mwanaume huyo amejeruhiwa vibaya mume wake sehemu mbalimbali za mwili wake, hali iliyopelekea kulazwa katika...

 

10 years ago

GPL

JORDIN SPARK APATA BWANA

Mwanamuziki Jordin Spark. Miezi kadhaa baada ya kubwagana na Jason Derulo, mwanamuziki Jordin Spark ameonekana kuhamishia majeshi kwa rapa Dominic Woods. Jordin Spark akipozi kimahaba na Dominic Woods. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Sparks alitumia picha inayowaonyesha wawili hao wakiwa katika pozi la kimahaba.Huenda Sparks ameweka moyo wake kwa kijana huyo baada ya kutengana na Derulo kwa kile alichodai kuwa mwanaume huyo...

 

10 years ago

GPL

MKE AMZABUA MUMEWE

Stori: MASHAKA KASUSI, Mwanza/Risasi
KUNA kasumba ya kizamani kuwa wanaume ndiyo waliokuwa wanawapiga wake zao lakini inavyoonekana sasa kibao kimegeuka baada ya mwanamke aliyejitambulisha kwa jina la Irene Edwin kudaiwa kumzaba mumewe, Amani Joseph, wote wakazi wa maeneo ya Misungwi mkoani hapa kisa kikielezwa kuwa ni wivu wa kimapenzi. Irene Edwin akimshushia kichapo mumewe. Tukio hilo lililoshuhudiwa mchana kweupe lilijiri...

 

10 years ago

GPL

MKE AMPA KIPONDO MUMEWE

waandishi wetu/mchanganyiko11 UPEPO umegeuka! Imani ya kwamba wanaume ndiyo wamekuwa wakiwapa kipondo wake zao imegeuka, safari hii mwanamke aliyejulikana kwa jina la Naomi Peter akimpa kipondo ‘hevi’ mumewe John Shila mchana kweupe! Naomi Peter akitoa kipondo kwa mumewe. Wawili hao wakazi wa Misheni, jijini Mwanza waliibua timbwili la aina yake ambalo liliwavuta watu wengi chanzo kikiwa ni mwanaume huyo kumkataa...

 

11 years ago

GPL

MKE ADAIWA KUMUUA MUMEWE!

Na Mwandishi Wetu
SHETANI anazidi kuuatamia ulimwengu! Mama mmoja aliyetajwa kwa jina moja la Farida mkazi wa Mburahati jijini Dar, amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kudaiwa kumuua mumewe aliyetajwa kwa jina la Amosi Joseph kwa kumpiga kwa kukombe kichwani, Ijumaa linaidondosha kama ilivyo. Akisimulia mbele ya gazeti hili mkasa mzima, mtoa habari hii aliyetajwa kuwa dada wa marehemu anayejulikana kwa jina la Khadija,...

 

11 years ago

GPL

MKE AKATWA MKONO NA MUMEWE

Na  Imelda Mtema
NI mkasa wa kusikitisha kama siyo kutisha, unaowafanya wanaume  wengi wa siku hizi  waonekane ni makatili na majanga matupu mbele ya jamii. Akizungumza na Joyce Kiria(kulia), Leah (kushoto) alisema kwamba siku zote aliishi na mumewe kwa uvumilivu mkubwa. Kitendo hicho cha kinyama, kimemkuta mwanamke Leah  Benard mkazi wa Kijiji cha Kifufu, mkoani wa Geita baada ya kukatwa kiganja chake cha mkono...

 

10 years ago

GPL

MKE KUMCHUNA MUMEWE, IPO SANA-2

NI Jumanne nyingine, karibuni wapenzi wasomaji wangu katika safu hii ya Mapenzi na Maisha, safu inayoelimisha, kukosoa, sanjari na kuelekeza.Mada hii inatoka wiki iliyopita. Inasema; Mke Kumchuna Mume Ipo Sana.
Wiki iliyopita niliishia pale kwenye kundi nililolilenga la mwanamke anaishi na mumewe lakini kila senti anayopewa anaibana ili akafanyie maendeleo yake kwa siri na mumewe asijue!
Nilisema mke mwenye sifa za kumchuna...

 

10 years ago

BBCSwahili

Sura ya mke yamtisha mumewe harusini

Mume amkataa bi harusi kwakuwa ana sura mbaya na hafai kuolewa katika siku yake ya kwanza ya kuonana naye.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani