KINANA ALIPOWASALIMU WANANCHI STENDI YA DODOMA
![](http://img.youtube.com/vi/iS7bCzi87WQ/default.jpg)
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM Blog5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-v4Pm5L_ygMw/XusS7kvLu1I/AAAAAAABMdI/KtOQELa4y5YHk5umyQOOmpDHlWlK3Lf3ACLcBGAsYHQ/s72-c/vichura.jpeg)
JPM APIGA SIMU, AAMURU ASKARI WA SUMA JKT WANAOPIGISHA VICHURACHURA WANANCHI STENDI MPYA YA DODOMA WAONDOLEWE MARA MOJA
![](https://1.bp.blogspot.com/-v4Pm5L_ygMw/XusS7kvLu1I/AAAAAAABMdI/KtOQELa4y5YHk5umyQOOmpDHlWlK3Lf3ACLcBGAsYHQ/s400/vichura.jpeg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-nY7zc2FvKic/Xs4Y98FiuKI/AAAAAAALrq8/-uJWKnjhTUc21KSmgQ5NHdaVxRsHeioJQCLcBGAsYHQ/s72-c/furaha.jpg)
KAMPUNI YA ASAS YAKABIDHI STENDI KUU YA IGUMBILO NA STENDI YA ZAMANI MTAMBO WA KUNAWIA MIKONO
NA DENIS MLOWE,IRINGA
STENDI kuu ya Igumbilo na stendi ya zamani zimekabidhiwa msaada wa mashine ya kunawia mikono ya kisasa kutoka kwa kampuni ya Asas ya mjini Iringa ikiwa ni mwendelezo wa kampuni hiyo kusaidia jamii kupambana na kuenea kwa virusi vya coroni mkoani hapa.
Msaada huo wa mashine mbili za kisasa ambazo zinazinatumia miguu kuweza kutoa maji na vitakasa mikono ni kubwa zinazoweza kuhudumia watu zaidi ya watano kwa wakati mmoja zimekabidhiwa na mwakilishi wa kampuni hiyo, Afisa...
10 years ago
Vijimambo05 Jan
5 years ago
MichuziRAIS MAGUFULI ATOA MAAGIZO STENDI MPYA YA MABASI DODOMA,AKATAZA WAPIGA DEBE,SUMA JKT KUPIGISHA RAIA VICHURA
RAIS Dk.John Magufuli ametoa maelekezo kadhaa kwa Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma kuhusu Stendi Kuu ya mabasi ya jijini humo yakiwemo ya kuhakikisha wajasiriamali wadogo,Mama Lishe, waendesha bodaboda na daladala kufika kituoni hapo bila kusumbuliwa.
Pia ametoa maelekezo ya askari wa Suma JKT wenye tabia ya kupigisha watu vichura kuacha mara moja, kwani hayuko tayari kuona Watanzania waliohuru kwenye nchi wakirushwa vichura na ametumia nafasi hiyo kumwambia Mkurugenzi...
11 years ago
Habarileo16 Apr
Wananchi wamsimamisha Kinana awasikilize
MSAFARA wa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kutoka Kata ya Karema kwenda mjini Mpanda, mkoani Katavi ulijikuta ukisimamishwa baada ya wananchi katika vijiji mbalimbali kufunga njia wakiwa na mabango wakitaka asikilize shida zao.
10 years ago
Mtanzania12 Mar
Wananchi wazuia msafara wa Kinana
NA ELIYA MBONEA, BAHI
MAMIA ya wananchi katika Kata ya Msisi, Wilaya ya Bahi, Mkoa wa Dodoma, wamesimamisha msafara wa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, wakitaka kupata ufafanuzi wa majengo ya Shule ya Msingi Msisi yaliyoezuliwa na mvua mwaka 2011.
Kinana alikutana na hali hiyo juzi saa 12:30 jioni alipokuwa akitoka katika vijiji vya Kongogo, Chonde, Irindi, Nguju na Lamaiti akielekea mjini Dodoma.
Kinana yuko mkoani Dodoma kushiriki shughuli za maendeleo, kukagua utekelezaji wa ilani...
10 years ago
Mwananchi30 Jun
Wasomi, wananchi wamshukia Kinana