Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wasomi, wananchi wamshukia Kinana

Kauli ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kuwa wabunge wa chama hicho wanaunga mkono kila hoja inayowasilishwa na Serikali bila kutathmini matokeo yake, imekosolewa na wasomi na wananchi waliosema amechelewa, huku wabunge wake wakikiri udhaifu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Wasomi, wanaharakati wamshukia Gwajima

Baada ya Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima kuibua mambo mazito ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa juzi, wanaharakati na wasomi wametoa maoni yao na kueleza kusikitishwa na hatua za kiongozi huyo wa dini kutoa siri za waumini wake.

 

9 years ago

Mwananchi

Wanaharakati, wasomi wamshukia Magufuli kuhusu mabadiliko

Baadhi ya wasomi na wanaharakati wamekemea kauli ya mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli ambaye amekuwa akiwaonya wanaotaka mabadiliko ya haraka nchini akiwakumbusha yaliyojitokeza nchini Libya.

 

9 years ago

Mwananchi

Wasomi wamshukia Mkapa kwa kauli za kuudhi

Siku moja baada ya ufunguzi wa kampeni za CCM, wasomi na wananchi wamesema kauli ya Rais mstaafu, Benjamin Mkapa kuwa wanaosema wanataka kuikomboa Tanzania ni “wapumbavu na malofa” haikustahili kutolewa na kiongozi huyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Wananchi wamshukia Makinda, wabunge CCM

Baadhi ya wananchi wamesema Spika Anne Makinda na baadhi ya wabunge wa CCM ndiyo chanzo cha Bunge hilo kusitishwa kwa dharura, kwani walionyesha wazi kuwabeba watuhumiwa waliotajwa katika ripoti zilizowasilishwa bungeni hapo.

 

10 years ago

Mwananchi

Wasomi, wananchi waukosoa

Baadhi ya wasomi nchini, wameukosoa utafiti uliofanywa na Taasisi ya Twaweza kwamba hakuakisi uhalisia, huku wengine wakihoji mfumo wa utafiti wakisema hauwezi kuleta majawabu yanayoakisi hali halisi.

 

10 years ago

Mwananchi

Wasomi, wananchi walipongeza Bunge

Wasomi, wanasiasa na wananchi wamepongeza mapendekezo mapya ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) yanayoazimia kuwawajibisha wale wote waliohusika na kuchotwa kwa fedha kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow.

 

9 years ago

Habarileo

Wananchi, wasomi wasifu uteuzi wa Majaliwa

KUTOKANA na uteuzi wa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, watu kutoka kada tofauti katika jamii wameupongeza uteuzi huo. Jana, Rais John Magufuli kupitia Bunge, alitangaza uteuzi wa Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa 11 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Bunge lilithibitisha uteuzi wake kwa kura nyingi.

 

11 years ago

Habarileo

Wananchi wamsimamisha Kinana awasikilize

MSAFARA wa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kutoka Kata ya Karema kwenda mjini Mpanda, mkoani Katavi ulijikuta ukisimamishwa baada ya wananchi katika vijiji mbalimbali kufunga njia wakiwa na mabango wakitaka asikilize shida zao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani