Wananchi, wasomi wasifu uteuzi wa Majaliwa
KUTOKANA na uteuzi wa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, watu kutoka kada tofauti katika jamii wameupongeza uteuzi huo. Jana, Rais John Magufuli kupitia Bunge, alitangaza uteuzi wa Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa 11 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Bunge lilithibitisha uteuzi wake kwa kura nyingi.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo28 Apr
Wasomi, viongozi wa dini wasifu hotuba ya JK
WASOMI na viongozi wa dini wamesifu hotuba ya Rais Jakaya Kikwete aliyotoa kwa wananchi, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano na kusema itasaidia wanaopinga Muungano kujirudi na kuona mafanikio yake.
9 years ago
Mtanzania20 Nov
Wabunge, wasomi wamchambua Majaliwa
VERONICA ROMWALD NA ADAM MKWEPU, DAR ES SALAAM
SAA chache baada ya kuteuliwa kwa Waziri Mkuu mteule, Kassim Majaliwa, baadhi ya wabunge, wasomi na wananchi wa kawaida wamemchambua kiongozi huyo.
Wamesema upya wake katika nafasi hiyo nyeti ya juu utasaidia kuleta mabadiliko ya kweli serikalini.
Mbunge wa Isimani, Wiliam Lukuvi (CCM), alisema Majaliwa amekuwa mtendaji mzuri na asiyechoka tangu alipokuwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI) anayeshughulikia elimu.
Alisema Rais Dk....
9 years ago
Habarileo20 Nov
Jukwa la Katiba wakunwa uteuzi wa Majaliwa
JUKWAA la Katiba Tanzania (JUKATA) limepongeza uteuzi wa Waziri Mkuu uliofanywa na Rais John Magufuli kwa kumteua Mbunge wa Ruangwa, Kassim Majaliwa.
9 years ago
StarTV20 Nov
Wakazi wa Mbeya waunga mkono Uteuzi Wa Kassim Majaliwa
Wakazi wa mkoa wa Mbeya wamesema wamefurahishwa na uteuzi wa Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kwa sababu ni kiongozi muadilifu, mfuatiliaji na asiyekuwa na makundi ndani ya chama na Serikali.
Wamesema, sifa hizo ndizo zitakazomuwezesha Waziri Mkuu Mteule Majaliwa kuongoza shughuli za Serikali na kuwasimamia Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na Watendaji wa Halmashauri zote nchini bila kuegemea upande wowote kwa maslahi ya watu wachache, bali atazingatia maslahi ya umma.
Katika mahojiano...
10 years ago
Mwananchi14 Nov
Wasomi, wananchi waukosoa
10 years ago
Mwananchi30 Nov
Wasomi, wananchi walipongeza Bunge
10 years ago
Mwananchi30 Jun
Wasomi, wananchi wamshukia Kinana
9 years ago
CCM Blog![](http://3.bp.blogspot.com/-slj5kZenQ3E/VmG0l_MVMzI/AAAAAAAA1b4/FHGu_bGtYuo/s72-c/1.jpg)
PICHA RASMI ZA WAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA NA MKEWE MAMA MARY MAJALIWA
![](http://3.bp.blogspot.com/-slj5kZenQ3E/VmG0l_MVMzI/AAAAAAAA1b4/FHGu_bGtYuo/s640/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-Vd0xHojhppo/VmG0lexvtUI/AAAAAAAA1b0/iW1seV--6-0/s640/2.jpg)
10 years ago
Vijimambo12 Jul