Jukwa la Katiba wakunwa uteuzi wa Majaliwa
JUKWAA la Katiba Tanzania (JUKATA) limepongeza uteuzi wa Waziri Mkuu uliofanywa na Rais John Magufuli kwa kumteua Mbunge wa Ruangwa, Kassim Majaliwa.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo20 Nov
Wananchi, wasomi wasifu uteuzi wa Majaliwa
KUTOKANA na uteuzi wa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, watu kutoka kada tofauti katika jamii wameupongeza uteuzi huo. Jana, Rais John Magufuli kupitia Bunge, alitangaza uteuzi wa Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa 11 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Bunge lilithibitisha uteuzi wake kwa kura nyingi.
9 years ago
StarTV20 Nov
Wakazi wa Mbeya waunga mkono Uteuzi Wa Kassim Majaliwa
Wakazi wa mkoa wa Mbeya wamesema wamefurahishwa na uteuzi wa Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kwa sababu ni kiongozi muadilifu, mfuatiliaji na asiyekuwa na makundi ndani ya chama na Serikali.
Wamesema, sifa hizo ndizo zitakazomuwezesha Waziri Mkuu Mteule Majaliwa kuongoza shughuli za Serikali na kuwasimamia Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na Watendaji wa Halmashauri zote nchini bila kuegemea upande wowote kwa maslahi ya watu wachache, bali atazingatia maslahi ya umma.
Katika mahojiano...
11 years ago
Habarileo09 Feb
Uteuzi Katiba umetulia
WASOMI na wanasiasa nchini wameupongeza uteuzi wa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba na kueleza kuwa Rais Jakaya Kikwete kwa kusaidiana na Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein, ametumia busara kuwajumuisha wapingaji na wakosoaji wa kila jambo, ili wakatetee hoja zao katika bunge hilo kama watakavyofanya wawakilishi wa makundi mengine.
9 years ago
CCM Blog
PICHA RASMI ZA WAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA NA MKEWE MAMA MARY MAJALIWA


11 years ago
Mwananchi23 Jan
JK kukamilisha uteuzi wa Bunge la Katiba
11 years ago
Mwananchi09 Feb
Uteuzi Wajumbe Bunge la Katiba wapondwa
11 years ago
Tanzania Daima13 Feb
JUKATA yalalamikia uteuzi Bunge la Katiba
JUKWAA la Katiba (JUKATA) limesema uteuzi wa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba uliofanywa na Rais Jakaya Kikwete umewapendelea zaidi makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Uteuzi huo uliotangazwa mwishoni...
11 years ago
GPL
UTEUZI WA WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA
11 years ago
Habarileo18 Feb
ALAT walia kuachwa uteuzi Bunge la Katiba
JUMUIYA ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), imedai haikutendewa haki kwa kutoshirikishwa na kupewa nafasi ya uwakilishi katika Bunge Maalumu la Katiba. Madai hayo yametolewa wakati ambapo tayari Bunge hilo limeanza rasmi mkutano wake mjini Dodoma.