Wakazi wa Mbeya waunga mkono Uteuzi Wa Kassim Majaliwa
Wakazi wa mkoa wa Mbeya wamesema wamefurahishwa na uteuzi wa Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kwa sababu ni kiongozi muadilifu, mfuatiliaji na asiyekuwa na makundi ndani ya chama na Serikali.
Wamesema, sifa hizo ndizo zitakazomuwezesha Waziri Mkuu Mteule Majaliwa kuongoza shughuli za Serikali na kuwasimamia Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na Watendaji wa Halmashauri zote nchini bila kuegemea upande wowote kwa maslahi ya watu wachache, bali atazingatia maslahi ya umma.
Katika mahojiano...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
CCM BlogPICHA RASMI ZA WAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA NA MKEWE MAMA MARY MAJALIWA
Mke wa waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa
9 years ago
Dewji Blog19 Nov
Breaking News: Waziri Mkuu mteule ni Kassim Majaliwa Kassim!
Kassim Majaliwa
Tayari dakika chache zilizopita kutoka ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Dk, John Pombe Magufuli ametuma jina la Waziri Mkuu, ambaye ni Kassim Majaliwa aliyekuwa Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).
Jina hilo limefikishwa kwa mbwembwe likiwa ndani ya bahasha tatu huku likiwa limeandikwa kwa mkono. Kwa hatua hiyo sasa Bunge limeenda mapumziko na dakika chache kutoka sasa litarejea kwa ajili ya kupigia kura na wabunge...
9 years ago
MichuziWaziri Mkuu Mteule Mheshimiwa Majaliwa Kassim Majaliwa kuapishwa kesho
Sherehe za kumuapisha Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa (pichani), Waziri Mkuu Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zitafanyika katika Ikulu ndogo ya Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Novemba, 2015 kuanzia saa 4.00 Asubuhi. Sherehe hizo zinafanyika siku moja baada ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitisha jina lake kwa kura nyingi kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuatia uteuzi uliofanywa na Mhe. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
9 years ago
MichuziWAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA KWENYE MCHAPALO WA KUZINDUA BUNGE
9 years ago
Michuzi9 years ago
CCM BlogMHE.MAJALIWA KASSIM MAJALIWA APATA ZAIDI YA ASILIMIA 73.5%
Apigiwa kura 258Zilizoharibika ni kura 2Kura za hapana 91
Waziri Mkuu Mteule Majaliwa Kassim Majaliwa apata asilimia 73.5 ya kura zilizopigwa na wapunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
9 years ago
Michuzi21 Dec
WAZIRI MKUU MAJALIWA, KASSIM MAJALIWA AHUTUBIA RUANGWA
9 years ago
MichuziJINA LA WAZIRI MKUU MTEULE MHE. MAJALIWA KASSIM MAJALIWA LILIPOWASILISHWA BUNGENI DODOMA LEO
Mpambe wa Rais Kanali Mkeremi akiingia bungeni mjini Dodoma leo asubuhi akiwa na bahasha yenye jina la Waziri Mkuu mteule lililowasilishwa na Rais Dkt.John Pombe Joseph Magufuli ili kupigiwa kura na hatimaye kuridhiwa na wabunge, Mpambe wa Rais Kanali Mkeremi akimkabidhi Spika Job Ndugai bahasha yenye jina la Waziri Mkuu mteule lililowasilishwa na Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ili kupigiwa kura na hatimaye kuridhiwa na wabunge, Spika Job Ndugai akiinua bahasha kabla ya kusoma...
9 years ago
MichuziWAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA ASAFIRI KWA GARI TOKA DODOMA KWENDA DAR ES SALAAM