Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wasomi, viongozi wa dini wasifu hotuba ya JK

WASOMI na viongozi wa dini wamesifu hotuba ya Rais Jakaya Kikwete aliyotoa kwa wananchi, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano na kusema itasaidia wanaopinga Muungano kujirudi na kuona mafanikio yake.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Viongozi wa dini wasifu usikivu wa JK

VIONGOZI wa dini waliopewa nafasi kusoma dua, licha ya kuchomekea mahitaji ya taasisi zao, baadhi walisifu usikivu na upole wa Rais Jakaya Kikwete na kusisitiza washauri wake kumshauri vyema.

 

10 years ago

Habarileo

Wazee, viongozi wa dini wasifu amani Tarime

Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalumu ya Tarime/Rorya, Lazaro MambosasaWAZEE wa kimila wa koo 13 za kabila la Wakurya, viongozi wa madhehebu ya dini na makundi ya kijamii wilayani Tarime, wameupongeza Uongozi wa wilaya ya Tarime na Jeshi la Polisi kwa kudumisha amani.

 

9 years ago

Habarileo

Wananchi, wasomi wasifu uteuzi wa Majaliwa

KUTOKANA na uteuzi wa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, watu kutoka kada tofauti katika jamii wameupongeza uteuzi huo. Jana, Rais John Magufuli kupitia Bunge, alitangaza uteuzi wa Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa 11 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Bunge lilithibitisha uteuzi wake kwa kura nyingi.

 

9 years ago

Habarileo

Wabunge wasifu hotuba ya Magufuli

WABUNGE wamesifu hotuba ya ufunguzi wa Bunge la 11 iliyotolewa bungeni jana na Rais wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli. Hotuba hiyo ni ufunguzi rasmi wa Bunge la 11, ambapo mkutano wa kwanza wa bunge hilo ulianza Jumanne wiki hii mjini hapa.

 

10 years ago

Michuzi

VIONGOZI WA DINI WAKEMEA MAOVU YANAYOFANYWA KWA MGONGO WA DINI

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii Dar
Viongozi wa dini za kiislaam na kikristo wamesema dini ni za unyenyekevu na sio za kufanya maovu,ikitokea mtu mmoja katika imani anafanya maovu ni lazima akemewe ndani ya imani yake kwanza.
Wameyasema hayo leo katika kongamano la kujadili madhara ya misimamo mikali ya imani za kidini (Tafkiri) katika jamii na taifa lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Lamada jijini Dar es Salaam.
Akizungumza wakati wa kufungua kongamano hilo Katibu wa Taasisi za...

 

10 years ago

Michuzi

Mangula awataka viongozi wa dini wasiwapotoshe wananchi kuhusiana na kuwapo kwa masuala ya dini katika katiba pendekezwa

Makamu Mwenyekiti wa CCM bara, Philip Mangulla akizungumza na wanafunzi na waalimu wa shule ya Hagafilo mkoani Njombe kuhusiana na katiba pendekezwa na utofauti kati ya katiba pendekezwa na ya sasa. wanafunzi na waalimu wakimsikiliza Makamu mwenyekiti wa CCM bara Philip Mangula juzi wakati akiwapa ufafanuzi wa katiba Pendekezwa.(picha na furaha eliabu wa www.eliabu.blogspot.com)
Na Furaha Eliab, Njombe
MAKAMU mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) - Bara, Philip Mangula amesema kuwa viongozi...

 

10 years ago

Habarileo

Viongozi wasifu staili ya Karume

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) na viongozi wengine wakiitikia dua iliyoombwa na Mufti wa Zanzibar, Shehe Saleh Omar Kabi (kulia) baada ya kisomo cha hitma, iliyosomwa jana katika ukumbi wa Ofisi ya CCM Kisiwandui mjini Unguja. (Picha na Ikulu).VIONGOZI wa Serikali na kidini, wamesifu staili ya uongozi wa Shekhe Abeid Amaan Karume kwa uzalendo na kuweka mbele maslahi ya Taifa na kuwatumikia wananchi.

 

10 years ago

GPL

WAZIRI MEMBE ATOA RAI KWA VIONGOZI WA DINI ZOTE KUHIMIZA VIJANA WAIPENDE DINI ILI KUDUMISHA AMANI, UTULIVU NA UADILIFU‏

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe ambaye alikuwa mgeni rasmi akiongea katika Tamasha la kumi na tano la Pasaka ililofanyika katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam, Jumapili 5, 2015. Pembeni ni Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama. Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama akiwapungia watu waliohudhuria katika Tamasha la kumi na tano la Pasaka, lililofanyika katika Uwanja wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani