Viongozi wasifu staili ya Karume
VIONGOZI wa Serikali na kidini, wamesifu staili ya uongozi wa Shekhe Abeid Amaan Karume kwa uzalendo na kuweka mbele maslahi ya Taifa na kuwatumikia wananchi.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo09 Oct
Viongozi wa dini wasifu usikivu wa JK
VIONGOZI wa dini waliopewa nafasi kusoma dua, licha ya kuchomekea mahitaji ya taasisi zao, baadhi walisifu usikivu na upole wa Rais Jakaya Kikwete na kusisitiza washauri wake kumshauri vyema.
11 years ago
Habarileo28 Apr
Wasomi, viongozi wa dini wasifu hotuba ya JK
WASOMI na viongozi wa dini wamesifu hotuba ya Rais Jakaya Kikwete aliyotoa kwa wananchi, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano na kusema itasaidia wanaopinga Muungano kujirudi na kuona mafanikio yake.
10 years ago
Habarileo05 Jan
Wazee, viongozi wa dini wasifu amani Tarime
WAZEE wa kimila wa koo 13 za kabila la Wakurya, viongozi wa madhehebu ya dini na makundi ya kijamii wilayani Tarime, wameupongeza Uongozi wa wilaya ya Tarime na Jeshi la Polisi kwa kudumisha amani.
10 years ago
Habarileo24 Dec
Siha waapisha viongozi kwa staili ‘yake’
MAMIA ya wananchi wa wilaya ya Siha juzi walifurika kwa wingi kushuhudia viapo vya kutumikia wananchi vikitolewa na viongozi waliochaguliwa ngazi ya wenyeviti wa vijiji, vitongoji na wajumbe wa halmashauri za vijiji.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-C0p1uBUQa2Q/XowRoqRH2SI/AAAAAAALmUw/d5suSC8vw88z5NglDNMOG74AhDcUCAQuACLcBGAsYHQ/s72-c/9edacecc-d70c-45eb-98aa-f6e2513480ef.jpg)
KARUME DAY KUMBUKIZI YA MIAKA 48 YA KIFO CHA SHEIKH ABEID AMANI KARUME.
![](https://1.bp.blogspot.com/-C0p1uBUQa2Q/XowRoqRH2SI/AAAAAAALmUw/d5suSC8vw88z5NglDNMOG74AhDcUCAQuACLcBGAsYHQ/s640/9edacecc-d70c-45eb-98aa-f6e2513480ef.jpg)
By MZEE WA ATIKALI ✍️✍️✍️
1. USULI:
Jumanne ya leo, tarehe 7.4.2020, imetimia miaka 48 toka aliyekuwa Rais wa kwanza wa Zanzibar, ndugu SHEIKH ABEID AMANI KARUME, alipouawa kwa kumiminiwa risasi nane na Luteni HOMOUD MOHAMMED BARWAN katika Afisi Kuu ya Afro Shiraz Party, Kisiwandui, Zanzibar.
Kwa mujibu wa "The Public Holidays Act, Cap. 35 (RE 2002)", sikukuu za kitaifa nchini ziko 17 na mojawapo ya sikukuu hizo ni "KARUME DAY". Hivyo, leo ni siku ya mapumziko.
Je, Mwanamapinduzi huyu...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-fOPdXHGg36o/Vd2v7g9NK6I/AAAAAAAH0K4/e3s6pin_3Hc/s72-c/1.jpg)
TIMU YA KAMATI YA AMANI YA VIONGOZI WA DINI MKOA WA DAR, YAENDELEA KUJIFUA UWANJA WA KARUME KUJIANDAA KUWASAMBARATISHA WENZAO WA ARUSHA MWEZI UJAO.
![](http://1.bp.blogspot.com/-fOPdXHGg36o/Vd2v7g9NK6I/AAAAAAAH0K4/e3s6pin_3Hc/s640/1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-Z36_hzm3vZs/Vd2v-5x7SzI/AAAAAAAH0Lw/cnDEx-rvP4k/s640/3.jpg)
9 years ago
VijimamboMAMA KARUME AZINDUA MICHUANO YA KARUME CUP
10 years ago
BBCSwahili05 Aug
9 years ago
BBCSwahili09 Oct
Wasifu wa Bi Anna Mghirwa