Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wabunge, wasomi wamchambua Majaliwa

IMGS0934VERONICA ROMWALD NA ADAM MKWEPU, DAR ES SALAAM

SAA chache baada ya kuteuliwa kwa Waziri Mkuu mteule, Kassim Majaliwa, baadhi ya wabunge, wasomi na wananchi wa kawaida wamemchambua kiongozi huyo.

Wamesema  upya wake katika nafasi hiyo nyeti ya juu utasaidia kuleta mabadiliko ya kweli serikalini.

Mbunge wa Isimani, Wiliam Lukuvi (CCM),  alisema  Majaliwa amekuwa mtendaji mzuri na asiyechoka tangu alipokuwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI) anayeshughulikia elimu.

Alisema Rais Dk....

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Wananchi, wasomi wasifu uteuzi wa Majaliwa

KUTOKANA na uteuzi wa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, watu kutoka kada tofauti katika jamii wameupongeza uteuzi huo. Jana, Rais John Magufuli kupitia Bunge, alitangaza uteuzi wa Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa 11 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Bunge lilithibitisha uteuzi wake kwa kura nyingi.

 

9 years ago

Mwananchi

Wasomi watoa angalizo kwa wabunge

Wakati Bunge la Kumi na Moja likianza mkutano wake wa kwanza Dodoma kesho, wasomi na wachambuzi wa masuala ya siasa wametoa angalizo kwa wabunge wakisema wanatarajia kuona Bunge lililokomaa litakalokidhi matarajio ya Watanzania.

 

9 years ago

Habarileo

Wabunge- Majaliwa hana kashfa

BAADA ya wabunge kuthibitisha jina la Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (55) aliyeteuliwa na Rais John Magufuli jana, wabunge wameelezea kufurahishwa na uteuzi huo na kusema anastahili kwa kuwa hana kashfa za kimaadili.

 

9 years ago

Habarileo

Majaliwa ataka wabunge wasitafute mchawi

WAZIRI Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa, amesema uchaguzi umekwisha na kuwataka wabunge waende wakashirikiane na wananchi kufanya kazi badala ya kutafuta mchawi.

 

9 years ago

CCM Blog

PICHA RASMI ZA WAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA NA MKEWE MAMA MARY MAJALIWA

 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa
Mke wa waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKABIDHI MAGARI 10 YA KUBEBEA WAGONJWA KWA WABUNGE

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Dodoma Mjini ambaye pia ni Naibu Waziri , Ofisi ya Waziri Mkuu, Anthony Mavunde wakati alipokabidhi magari 50 ya kubebea wagonjwa kwa wabunge yenye thamani ya shilingi bilioni 6, Aprili 29, 2020. Makabidhiano hayo yalifanyika kwenye viwanja vya Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma. Wa pili kulia ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu na wa tatu kulia ni Mbunge wa Nyasa ambaye pia ni Naibu...

 

10 years ago

GPL

WAALIMU WAMCHAMBUA MKE WA MAGUFULI

Waandishi wetu KUMEKUCHA! Siku chache baada ya Waziri wa Ujenzi, Dk. John Pombe Magufuli kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa mgombea urais kupitia chama hicho, mkewe, Janeth Pombe amechambuliwa vilivyo na walimu wenzake, Amani lina kila kitu. ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1CFj11i

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA KWENYE MCHAPALO WA KUZINDUA BUNGE

 Waziri  Mkuu Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa  akizungumza na  Mke wa Rais Mstaafu wa  Awamu ya Nnne , Mama Salma Kikwete katika hafla fupi  iliyoyofanyika kwenye viwanja vya Bunge mjiniDodoma  baada ya Rais John Magufuli kuzindua Bunge Novemba 2015 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa  akisalimiana na  Rais Mstaafu wa  Zanzibar, Aman Abeid Karume katika hafla fupi  iliyofuatia  kuzinduliwa kwa Bunge na Rais John Magufuli kwenye  mjini Dodoma Novemba 20, 2015. Hafla hiyo ilifanyika kwenye...

 

9 years ago

Michuzi

Waziri Mkuu Mteule Mheshimiwa Majaliwa Kassim Majaliwa kuapishwa kesho


Sherehe za kumuapisha Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa (pichani), Waziri Mkuu Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zitafanyika katika Ikulu ndogo ya Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Novemba, 2015 kuanzia saa   4.00 Asubuhi. Sherehe hizo zinafanyika siku moja  baada ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitisha jina lake kwa kura nyingi kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuatia uteuzi uliofanywa na Mhe. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani