Majaliwa ataka wabunge wasitafute mchawi
WAZIRI Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa, amesema uchaguzi umekwisha na kuwataka wabunge waende wakashirikiane na wananchi kufanya kazi badala ya kutafuta mchawi.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi05 Sep
UVCCM yataka Ukawa wasitafute mchawi
9 years ago
Mtanzania20 Nov
Wabunge, wasomi wamchambua Majaliwa
VERONICA ROMWALD NA ADAM MKWEPU, DAR ES SALAAM
SAA chache baada ya kuteuliwa kwa Waziri Mkuu mteule, Kassim Majaliwa, baadhi ya wabunge, wasomi na wananchi wa kawaida wamemchambua kiongozi huyo.
Wamesema upya wake katika nafasi hiyo nyeti ya juu utasaidia kuleta mabadiliko ya kweli serikalini.
Mbunge wa Isimani, Wiliam Lukuvi (CCM), alisema Majaliwa amekuwa mtendaji mzuri na asiyechoka tangu alipokuwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI) anayeshughulikia elimu.
Alisema Rais Dk....
9 years ago
Habarileo20 Nov
Wabunge- Majaliwa hana kashfa
BAADA ya wabunge kuthibitisha jina la Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (55) aliyeteuliwa na Rais John Magufuli jana, wabunge wameelezea kufurahishwa na uteuzi huo na kusema anastahili kwa kuwa hana kashfa za kimaadili.
10 years ago
Habarileo19 Dec
Majaliwa ataka halmashauri kukamilisha madarasa
NAIBU Waziri wa Elimu, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Kassim Majaliwa ametaka halmashauri kushirikiana na wadau wote wa elimu, kukamilisha majengo na kuandaa mazingira ya kuwapokea wanafunzi wote waliochaguliwa kuanza kidato cha kwanza mwaka 2015.
9 years ago
Habarileo30 Dec
Majaliwa ataka weledi Serikali za Mitaa
WATUMISHI wa Serikali za Mitaa wametakiwa kufanya kazi kwa kujituma wakizingatia maadili na taaluma zao badala ya kufanya kazi kwa woga na kwamba hakuna mtumishi yeyote atakayeadhibiwa akifanya kazi yake kwa weledi.
9 years ago
Habarileo24 Nov
Majaliwa ataka watumishi wa ofisi yake kujitambua
WAZIRI Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa amewataka wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu watambue jukumu walilonalo la kuwahudumia wananchi kutokana na majukumu ya ofisi hiyo yanayogusa maisha ya kila siku ya Watanzania.
9 years ago
Habarileo20 Dec
Majaliwa ataka mabasi ya kasi yawe barabarani
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, ameagiza Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), kuhakikisha Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart), unaanza kufanya kazi Januari 10, mwakani. Kadhalika, ameagiza wizara hiyo kupitia upya mikataba ya wadau wa mradi huo, wakiwemo Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) na wadau wengine kwenye mradi huo, ili kurekebisha kasoro zilizopo kwa lengo la kuhakikisha Serikali inanufaika.
9 years ago
Mwananchi20 Dec
Majaliwa ataka viyoyozi vituo vya mabasi ya Dart
9 years ago
CCM Blog![](http://3.bp.blogspot.com/-slj5kZenQ3E/VmG0l_MVMzI/AAAAAAAA1b4/FHGu_bGtYuo/s72-c/1.jpg)
PICHA RASMI ZA WAZIRI MKUU MAJALIWA KASSIM MAJALIWA NA MKEWE MAMA MARY MAJALIWA
![](http://3.bp.blogspot.com/-slj5kZenQ3E/VmG0l_MVMzI/AAAAAAAA1b4/FHGu_bGtYuo/s640/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-Vd0xHojhppo/VmG0lexvtUI/AAAAAAAA1b0/iW1seV--6-0/s640/2.jpg)