Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UVCCM yataka Ukawa wasitafute mchawi

Katibu Hamasa, Sera, Utafiti na Mawasiliano Umoja wa Vijana wa CCM, Egla Mamoto amesema Ukawa wasitafute mchawi kwa kuwa wanavurugana wenyewe kwa wenyewe.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Majaliwa ataka wabunge wasitafute mchawi

WAZIRI Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa, amesema uchaguzi umekwisha na kuwataka wabunge waende wakashirikiane na wananchi kufanya kazi badala ya kutafuta mchawi.

 

9 years ago

Mwananchi

UVCCM yataka Magufuli asiteue ‘mbu na inzi’

Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), umemtahadharisha Rais John Magufuli kwenye uteuzi wa mawaziri ukisema anaweza kuingiza ‘mbu na inzi’ wakaharibu utamu wote wa Serikali.

 

9 years ago

Habarileo

UVCCM yataka uchunguzi wa kina uchaguzi uliofutwa

UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umeitaka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuunda tume huru kuchunguza kwa kina suala la uchaguzi uliofutwa. Kadhalika umetaka tume hiyo ichunguze uendeshwaji wa zabuni ya karatasi za kupigia kura ulivyofanyika hadi kupatikana mzabuni na taarifa yake itolewe kwa umma.

 

5 years ago

CCM Blog

UVCCM YATAKA VYAMA KUSHIRIKIANA KUKABILIANA NA CORONA

UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dar es Salaam, umeitaka jamii vikiwamo vyama vya siasa nchini kushikama na serikali ili kusaidia katika mapambano ya kutokomeza janga la virusi vya corona ambalo limeendelea kusumbua dunia.

Wito huo ulitolewa juzi jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa UVCCM wa mkoa huo, Mussa Kilakala wakati akikabidhi vifaa vya kujikinga na virusi hivyo kwa viongozi wa wilaya yakiwamo matenki kwa ajili ya kuhifadhia maji ya kunawia, sabuni, vitakasa...

 

10 years ago

Habarileo

UVCCM yataka wanaoua albino wasakwe kila kona

BARAZA Kuu la Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) mkoa wa Lindi limeitaka Serikali kuendelea kuchukua hatua kali kwa watakaobainika kuhusika na mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino) nchini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

UVCCM: JK usiwabembeleze UKAWA

JUMUIYA ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) imesema inaamini katiba mpya itapatikana bila kuwepo kwa wajumbe wa Bunge la Katiba wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA). Hivyo, jumuiya...

 

10 years ago

Daily News

UVCCM leader takes swipe at UKAWA


Daily News
UVCCM leader takes swipe at UKAWA
Daily News
THE Chama Cha Mapinduzi's Youth Wing (UVCCM) Publicity and Pioneers Secretary, Mr Paul Makonda, said that the move by some opposition parties to boycott the Constituent Assembly sessions is manifestation of a high level of selfishness. Mr Makonda ...

 

9 years ago

Mtanzania

UVCCM walia na Ukawa kumsusa Magufuli

hamduNA TUNU NASSOR, DAR ES SALAAM

UMOJA wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi(UVCCM), umesikitishwa na vitendo vya  wabunge wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) bungeni muda mfupi kabla ya Rais Dk. Magufuli kulifungua rasmi Bunge la 11 mwishoni mwa wiki.

Wabunge hao wa Ukawa waliwazomea baadhi ya viongozi walioongozana na Rais Dk. John Magufuli na kuamriwa  na Spika wa Bunge Job Ndugai watoke nje.

Wabunge hao wa upinznai walifanya hivyo kama hatua ya   kutokubaliana na   kufutwa  ...

 

11 years ago

Mwananchi

UVCCM: Green Guard iwashughulikie Ukawa ikiwa...

Katibu wa Uhamashaji na Chipukizi wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Paul Makonda amekiagiza kikundi cha Ulinzi cha CCM (Green Guard) ‘kuwashughulikia’ wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) watakaowatukana waasisi wa Taifa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani