UVCCM walia na Ukawa kumsusa Magufuli
NA TUNU NASSOR, DAR ES SALAAM
UMOJA wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi(UVCCM), umesikitishwa na vitendo vya wabunge wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) bungeni muda mfupi kabla ya Rais Dk. Magufuli kulifungua rasmi Bunge la 11 mwishoni mwa wiki.
Wabunge hao wa Ukawa waliwazomea baadhi ya viongozi walioongozana na Rais Dk. John Magufuli na kuamriwa na Spika wa Bunge Job Ndugai watoke nje.
Wabunge hao wa upinznai walifanya hivyo kama hatua ya kutokubaliana na kufutwa ...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi23 Nov
Wabunge wa Ukawa walia na Spika
11 years ago
Tanzania Daima09 May
UVCCM: JK usiwabembeleze UKAWA
JUMUIYA ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) imesema inaamini katiba mpya itapatikana bila kuwepo kwa wajumbe wa Bunge la Katiba wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA). Hivyo, jumuiya...
10 years ago
Mtanzania02 Jun
Ukawa walia kuibiwa sera yao ya elimu
Na Arodia Peter, Dodoma
KAMBI Rasmi ya Upinzani bungeni imesema Serikali inayoongozwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) imeiba sera yake ya elimu inayozungumzia elimu bure kuanzia shule za msingi hadi chuo kikuu.
Mbali na hilo, wapinzani wameonya makada wa chama hicho wanaotangaza nia ya kuwania urais kuacha kutumia sera hiyo ya upinzani kwa sababu walikuwa Serikalini tangu uhuru na wameshindwa kufanya hivyo.
Akiwasilisha hotuba ya kambi hiyo bungeni jana kwa mwaka wa fedha 2015/2016, Msemaji...
10 years ago
Daily News15 Aug
UVCCM leader takes swipe at UKAWA
Daily News
Daily News
THE Chama Cha Mapinduzi's Youth Wing (UVCCM) Publicity and Pioneers Secretary, Mr Paul Makonda, said that the move by some opposition parties to boycott the Constituent Assembly sessions is manifestation of a high level of selfishness. Mr Makonda ...
9 years ago
Mwananchi05 Sep
UVCCM yataka Ukawa wasitafute mchawi
11 years ago
Mwananchi22 Apr
UVCCM: Green Guard iwashughulikie Ukawa ikiwa...
9 years ago
Mtanzania06 Jan
TGNP walia na uteuzi wa Rais Magufuli
Na Veronica Romwald, Dar es Salaam
MTANDAO wa Wanawake wa Katiba na Uchaguzi, umemwomba Rais Dk. John Magufuli, kusimamia kikamilifu utekelezwaji wa mikataba mbalimbali iliyosainiwa na Tanzania hasa ile ya usawa wa kijinsia ili kupunguza pengo lililopo kuelekea usawa wa 50/50 katika nafasi za uongozi.
Mikataba hiyo ni pamoja na Mpango Kazi wa Beijing (1995), Mkataba wa Maputo, Mkataba wa Nyongeza wa Jinsia na Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC ...
9 years ago
Habarileo20 Dec
UVCCM yampa tano Rais Magufuli
UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), umesema unaunga mkono kasi ya utekelezaji kazi wa serikali ya awamu ya tano, chini ya Rais John Magufuli na kwamba anachofanyika sasa ndio kiu ya Watanzania.
9 years ago
Mwananchi07 Dec
UVCCM yataka Magufuli asiteue ‘mbu na inzi’