Ukawa walia kuibiwa sera yao ya elimu
Na Arodia Peter, Dodoma
KAMBI Rasmi ya Upinzani bungeni imesema Serikali inayoongozwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) imeiba sera yake ya elimu inayozungumzia elimu bure kuanzia shule za msingi hadi chuo kikuu.
Mbali na hilo, wapinzani wameonya makada wa chama hicho wanaotangaza nia ya kuwania urais kuacha kutumia sera hiyo ya upinzani kwa sababu walikuwa Serikalini tangu uhuru na wameshindwa kufanya hivyo.
Akiwasilisha hotuba ya kambi hiyo bungeni jana kwa mwaka wa fedha 2015/2016, Msemaji...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog24 Feb
Mratibu wa Elimu Kigamboni; Sera mpya ya elimu yahitaji maandalizi kwanza
Kaimu Afisa Elimu Manispaa ya Temeke, Angelina Ngasazwa akizungumza kwenye hafla ya kukabidhi madawati 50 na majengo mawili yaliyokarabatiwa na umoja wa jamii ya watu kutoka India Bengali waliopo hapa Tanzania, BANGO SANGHO katika shule ya msingi Kibugumo iliyopo Kigamboni jijini Dar hivi karibuni.
Na modewji blog team
Sera mpya ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi ya mwaka 2014, iliyozinduliwa na Rais Dk. Jakaya Kikwete, Februari 13 mwaka huu, wadau mbalimbali wameanza kuonyesha wasiwasi wao juu...
10 years ago
Tanzania Daima08 Dec
Wadau elimu walia na serikali
WADAU wa elimu nchini wameilaumu serikali kwa kubadilisha mara kwa mara viwango vya ufaulu bila kufanya tathimini ya kutosha, mpango uliofananishwa na upanuzi wa magoli ili kumwezesha kila mchezaji kufunga...
9 years ago
Mwananchi23 Nov
Wabunge wa Ukawa walia na Spika
9 years ago
Mtanzania23 Nov
UVCCM walia na Ukawa kumsusa Magufuli
NA TUNU NASSOR, DAR ES SALAAM
UMOJA wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi(UVCCM), umesikitishwa na vitendo vya wabunge wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) bungeni muda mfupi kabla ya Rais Dk. Magufuli kulifungua rasmi Bunge la 11 mwishoni mwa wiki.
Wabunge hao wa Ukawa waliwazomea baadhi ya viongozi walioongozana na Rais Dk. John Magufuli na kuamriwa na Spika wa Bunge Job Ndugai watoke nje.
Wabunge hao wa upinznai walifanya hivyo kama hatua ya kutokubaliana na kufutwa ...
10 years ago
Habarileo23 Feb
NCCR-Mageuzi bado‘walia’ na Tume ya Elimu
CHAMA cha NCCR-Mageuzi kimeshauri Serikali kuunda Tume ya Kudumu ya Elimu itakayoshughulikia pamoja na mambo mengine, ubora wa elimu na kudhibiti mambo yote yanayosababisha kutetereka kwa ubora huo.
10 years ago
Vijimambo14 Feb
10 years ago
VijimamboJK ALIVYOZINDUA SERA YA ELIMU NA MAFUNZO
10 years ago
Mwananchi15 Feb
Sera ya Elimu safi, sasa utekelezaji
11 years ago
Mwananchi23 Mar
Sera mbovu kiini kuporomoka elimu