UVCCM yataka Magufuli asiteue ‘mbu na inzi’
Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), umemtahadharisha Rais John Magufuli kwenye uteuzi wa mawaziri ukisema anaweza kuingiza ‘mbu na inzi’ wakaharibu utamu wote wa Serikali.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi05 Sep
UVCCM yataka Ukawa wasitafute mchawi
9 years ago
Habarileo01 Nov
UVCCM yataka uchunguzi wa kina uchaguzi uliofutwa
UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umeitaka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuunda tume huru kuchunguza kwa kina suala la uchaguzi uliofutwa. Kadhalika umetaka tume hiyo ichunguze uendeshwaji wa zabuni ya karatasi za kupigia kura ulivyofanyika hadi kupatikana mzabuni na taarifa yake itolewe kwa umma.
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-vQkUiWH6VIM/Xp6j2rfYjHI/AAAAAAAAyTw/94a9X8uvhNkZkfLcrALwEOXzwz3Yu9rSQCLcBGAsYHQ/s72-c/download.jpg)
UVCCM YATAKA VYAMA KUSHIRIKIANA KUKABILIANA NA CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-vQkUiWH6VIM/Xp6j2rfYjHI/AAAAAAAAyTw/94a9X8uvhNkZkfLcrALwEOXzwz3Yu9rSQCLcBGAsYHQ/s400/download.jpg)
Wito huo ulitolewa juzi jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa UVCCM wa mkoa huo, Mussa Kilakala wakati akikabidhi vifaa vya kujikinga na virusi hivyo kwa viongozi wa wilaya yakiwamo matenki kwa ajili ya kuhifadhia maji ya kunawia, sabuni, vitakasa...
10 years ago
Habarileo24 Feb
UVCCM yataka wanaoua albino wasakwe kila kona
BARAZA Kuu la Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) mkoa wa Lindi limeitaka Serikali kuendelea kuchukua hatua kali kwa watakaobainika kuhusika na mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino) nchini.
9 years ago
Mtanzania23 Nov
UVCCM walia na Ukawa kumsusa Magufuli
NA TUNU NASSOR, DAR ES SALAAM
UMOJA wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi(UVCCM), umesikitishwa na vitendo vya wabunge wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) bungeni muda mfupi kabla ya Rais Dk. Magufuli kulifungua rasmi Bunge la 11 mwishoni mwa wiki.
Wabunge hao wa Ukawa waliwazomea baadhi ya viongozi walioongozana na Rais Dk. John Magufuli na kuamriwa na Spika wa Bunge Job Ndugai watoke nje.
Wabunge hao wa upinznai walifanya hivyo kama hatua ya kutokubaliana na kufutwa ...
9 years ago
Habarileo20 Dec
UVCCM yampa tano Rais Magufuli
UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), umesema unaunga mkono kasi ya utekelezaji kazi wa serikali ya awamu ya tano, chini ya Rais John Magufuli na kwamba anachofanyika sasa ndio kiu ya Watanzania.
10 years ago
Michuzi21 Aug
BARAZA LA VIJANA UVCCM MKOANI ARUSHA WALAKUTANA KUMJADILI NAIBU KATIBU UVCCM MKOA HUO
![???????????????????????????????](http://pamelamollel.files.wordpress.com/2014/08/ccm-4-robinson1.jpg?w=300&h=225)
Mwenyekiti UVCCM mkoa wa Arusha Robinson Meitinyiku akitoa taarifa ya ufafanuzi kwa waandishi wa habari juu ya taarifa za upotoshaji zilizotolewa na baadhi ya vyombo vya habari na baadhi ya viongozi wa UVCCM mkoani hapa. Ambao Mkutano huo ulitanguliwa na Kikao cha Baraza la UVCCM Mkoa wa Arusha waliaofikiana kutoa maamuzi juu ya mgogoro wao na Kaimu Katibu wa UVCCM Mkoa wa Arusha Gerald Mwadalu anayetuhumiwa kufunga ofisi na matumizi mabaya ya fedha za umoja huo.
![???????????????????????????????](http://pamelamollel.files.wordpress.com/2014/08/ccm-6.jpg?w=300&h=225)
Katibu wa UVCCM wilaya ya...
10 years ago
BBCSwahili15 Jul
Je,wajua mbu husherehekewa Urusi?
11 years ago
BBCSwahili21 May
Mbu waanza kuvamia Uingereza