Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UVCCM YATAKA VYAMA KUSHIRIKIANA KUKABILIANA NA CORONA

UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dar es Salaam, umeitaka jamii vikiwamo vyama vya siasa nchini kushikama na serikali ili kusaidia katika mapambano ya kutokomeza janga la virusi vya corona ambalo limeendelea kusumbua dunia.

Wito huo ulitolewa juzi jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa UVCCM wa mkoa huo, Mussa Kilakala wakati akikabidhi vifaa vya kujikinga na virusi hivyo kwa viongozi wa wilaya yakiwamo matenki kwa ajili ya kuhifadhia maji ya kunawia, sabuni, vitakasa...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

VYAMA 200 DUNIANI VIMESAINI TAARIFA KWA KUSHIRIKIANA DHIDI YA VIRUSI VYA CORONA

Vyama 200 duniani vimesaini taarifa kwa ajili ya kushirikiana dhidi ya virusi vya corona
Harakati ya An Nahdhah ya Tunisia imetangaza kuwa zaidi ya vyama 200 duniani vimesaini taarifa kwa lengo la kushrikiana katiak mapambano dhidi ya maambukizi ya virusi vya coronaHarakati ya An Nahdhah ya Tunisia imeeleza kuwa harakati hiyo pamoja na vyama zaidi ya 200 kote ulimwenguni vikiwemo chama tawama cha Afrika Kusini cha African National Congress(ANC), chama cha Uadilifu na Ustawi cha Uturuki na chama cha Umoja cha Russia vimesiistiza katika taarifa yao ya pamoja juu ya kuimarisha...

 

5 years ago

Michuzi

IKUPA ATOA MSAADA WA VIFAA KWA AJILI YA KUKABILIANA NA UGONJWA WA CORONA KWA SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WATU WENYE ULEMAVU (SHIVYAWATA)

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Watu Wenye Ulemavu Mhe. Stella Ikupa akinawa mikono kwa mashine maalum ya kunawia pasipo kutumia koki “Free Hand Water Tape” ikiwa ni hatua moja wapo ya kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa hatari wa homa ya Mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona (Covid-19).

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Watu Wenye Ulemavu Mhe. Stella Ikupa (katikati) akimwangalia Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu (SHIVYAWATA)...

 

9 years ago

Mwananchi

UVCCM yataka Ukawa wasitafute mchawi

Katibu Hamasa, Sera, Utafiti na Mawasiliano Umoja wa Vijana wa CCM, Egla Mamoto amesema Ukawa wasitafute mchawi kwa kuwa wanavurugana wenyewe kwa wenyewe.

 

9 years ago

Mwananchi

UVCCM yataka Magufuli asiteue ‘mbu na inzi’

Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), umemtahadharisha Rais John Magufuli kwenye uteuzi wa mawaziri ukisema anaweza kuingiza ‘mbu na inzi’ wakaharibu utamu wote wa Serikali.

 

9 years ago

Habarileo

UVCCM yataka uchunguzi wa kina uchaguzi uliofutwa

UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umeitaka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuunda tume huru kuchunguza kwa kina suala la uchaguzi uliofutwa. Kadhalika umetaka tume hiyo ichunguze uendeshwaji wa zabuni ya karatasi za kupigia kura ulivyofanyika hadi kupatikana mzabuni na taarifa yake itolewe kwa umma.

 

10 years ago

Habarileo

UVCCM yataka wanaoua albino wasakwe kila kona

BARAZA Kuu la Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) mkoa wa Lindi limeitaka Serikali kuendelea kuchukua hatua kali kwa watakaobainika kuhusika na mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (albino) nchini.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Je magari yenye huduma za 'kukabiliana' na corona China ni 'njama'?

Watengenezaji magari nchini China wanaangazia wasiwasi wa kiafya kupitia uzinduzi wa magari ambayo yana huduma za kukabiliana na virusi vya virusi.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Iran yaamua kufungua misikiti licha masharti ya kukabiliana na corona

Misikiti kote nchini Iran imepangiwa kufunguliwa Jumanne hatua inayowadia licha ya kwamba baadhi ya maeneo bado yanaathirika vibaya na janga la virusi vya corona.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Jinsi ‘mazishi ya kisiri’ Afrika Kusini huenda ikasaidia kukabiliana na corona

Hatua ya Afrika Kusini kupiga marufuku mikusanyiko mikubwa ya watu mazishini imesaidia kuvumbuliwa tenda kwa tamaduni za jadi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani