Majaliwa ataka mabasi ya kasi yawe barabarani
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, ameagiza Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), kuhakikisha Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart), unaanza kufanya kazi Januari 10, mwakani. Kadhalika, ameagiza wizara hiyo kupitia upya mikataba ya wadau wa mradi huo, wakiwemo Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) na wadau wengine kwenye mradi huo, ili kurekebisha kasoro zilizopo kwa lengo la kuhakikisha Serikali inanufaika.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi20 Dec
Majaliwa ataka viyoyozi vituo vya mabasi ya Dart
9 years ago
MillardAyo07 Jan
Waziri Mkuu Majaliwa Kaibuka na hili jingine kwenye mabasi ya mwendo kasi Dar…!(+Audio)
Baada ya siku chache kupita tangia Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa kutembelee vituo vya mabasi ya mwendo kasi Dar na kuamuru mabasi hayo kuanza kazi kabla ya Jan 10 2016, leo kaibukana hili lingine. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu […]
The post Waziri Mkuu Majaliwa Kaibuka na hili jingine kwenye mabasi ya mwendo kasi Dar…!(+Audio) appeared first on...
11 years ago
Habarileo17 Jun
'Mabasi UDA lazima yawe na mistari'
MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) imesisitiza kwamba, mabasi ya Shirika la Usafirishaji Dar es Salaam (UDA) yanatakiwa kupaka rangi kulingana na njia na si kuweka vibao pekee.
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/vdXfYFOgkyQ/default.jpg)
9 years ago
Habarileo18 Sep
Mabasi ya haraka kuwa barabarani Oktoba 2
HATIMAYE mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (BRT) katika jiji la Dar es Salaam unatarajiwa kuanza Oktoba 2 mwaka huu kwa njia moja.
10 years ago
Habarileo04 Jul
Miundombinu mabasi ya kasi 85%
KAZI ya ujenzi wa miundombinu ya Mradi wa Mabasi ya Kasi (DART) awamu ya kwanza, imefikia asilimia 85 na kugharimu dola za Marekani milioni 325.
10 years ago
Mwananchi14 Apr
Wamiliki wa mabasi waeleza sababu za ajali barabarani
11 years ago
Tanzania Daima25 May
Mabasi ya kasi yawatisha wenye daladala
WAMILIKI wa daladala Mkoa wa Dar es Salaam (Darcoboa), wamesema mradi wa mabasi yaendayo kasi (DART), unalenga kuwaondoa katika biashara ya usafirishaji abiria. Kauli hiyo imetolewa jana jijini Dar es...
11 years ago
Habarileo20 May
Wawekezaji wa mradi wa mabasi ya kasi kukutana
RAIS Jakaya Kikwete, anatarajiwa kuongoza mkutano wa mashauriano ya uwekezaji wa awamu ya kwanza ya Mradi wa Mabasi ya Haraka (DART), utakaowakutanisha wawekezaji mbalimbali wa ndani na nje kwenye kituo cha mikutano Mlimani City jijini Dar es Salaam.