Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mabasi ya kasi yawatisha wenye daladala

WAMILIKI wa daladala Mkoa wa Dar es Salaam (Darcoboa), wamesema mradi wa mabasi yaendayo kasi (DART), unalenga kuwaondoa katika biashara ya usafirishaji abiria. Kauli hiyo imetolewa jana jijini Dar es...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Wenye daladala Dar wahofia mabasi ya kasi

WAMILIKI wa daladala katika Jiji la Dar es Salaam wameonesha hofu ya kutupwa nje ya Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) wakati wakielekea katika mchakato wa kuingia katika ushindani wa zabuni itakayotangazwa kimataifa. Hata hivyo, Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Raymond Mushi amewataka kujiamini na kujipanga, akisisitiza hakuna kisichowezekana.

 

10 years ago

GPL

DALADALA, UDA WATAKIWA KUWEKEZA KATIKA MABASI YAENDAYO KASI DAR

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadik alizumgumza na wamiliki wa UDA na daladala.…

 

10 years ago

GPL

MGOMO WA MABASI, DALADALA WAZIDI KUTIKISA DAR

Polisi wakiwa wametanda eneo la Stendi ya Ubungo kuhakikisha hali ya usalama. Wananchi wakiwa wametaharuki katika eneo la Ubungo kutokana na mgomo unaoendelea.…

 

10 years ago

Habarileo

Miundombinu mabasi ya kasi 85%

Mtendaji Mkuu wa DART, Asteria MlamboKAZI ya ujenzi wa miundombinu ya Mradi wa Mabasi ya Kasi (DART) awamu ya kwanza, imefikia asilimia 85 na kugharimu dola za Marekani milioni 325.

 

10 years ago

Michuzi

MADEREVA WA DALADALA,MALORI, MABASI YA MIKOANI WATAKIWA KURUDI DARASANI

Na Avila Kakingo,Globu ya Jamii
KIKOSI cha polisi usalama barabarani kimewataka madereva wa mabasi ,magari makubwa pamoja na daladala kwenda kusoma ili kuongeza ujuzi wa kazi zao kutokana na kuwepo kwa teknolojia za kisasa katika magari hayo.
Hayo ameyasema,Ofisa Mnadhimu wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Johansen Kahatano wakati wa semina ya kuwajengea uwezo madereva katika kukabiliana na ajali za barabarani iliyofanyika jana katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.
Alisema...

 

10 years ago

GPL

MGOMO DALADALA, MABASI WAZIDI KUTIKISA DAR, MABOMU YA MACHOZI YALINDIMA!

Baadhi ya abiria wakionekana kurudi kwao baada ya kushindwa kusafiri. Mtetezi wa Chama cha Abiria Nchini, Gervas Lutakuzinga akizungumza na wanahabari ikiwa ni siku ya pili ya mgomo wa mabasi na daladala za jijini Dar es Salaam.…

 

9 years ago

Mwananchi

Mabasi ya kasi yaanza safari za majaribio

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia amezindua rasmi mafunzo maalumu ya madereva wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), mradi unaotekelezwa jijini hapa.

 

10 years ago

Habarileo

Mkataba wasainiwa mabasi ya kasi kuanza

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Hawa GhasiaMIEZI imeanza kuhesabika kabla ya huduma ya usafiri kupitia mradi wa mabasi yaendayo haraka jijini Dar es Salaam kuanza, baada ya mkataba kusainiwa kati ya serikali na wamiliki wa daladala kwa ajili ya kuendesha katika kipindi cha mpito.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani