Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Miundombinu mabasi ya kasi 85%

Mtendaji Mkuu wa DART, Asteria MlamboKAZI ya ujenzi wa miundombinu ya Mradi wa Mabasi ya Kasi (DART) awamu ya kwanza, imefikia asilimia 85 na kugharimu dola za Marekani milioni 325.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Dkt Kigwangalla aridhishwa na kasi ya ukarabati wa Miundombinu ya Utalii.


Mwandishi wetu NCAA.

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla ameridhishwa na kasi ya ukarabati wa barabara za Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) zilizokuwa zimeathiriwa na mvua na kuwahakikishia wadau wa utalii kuwa eneo hilo liko salama kwa wageni kufanya utalii bila shida yoyote.

Dkt. Kigwangalla ametoa kauli hiyo wakati wa ziara yake ya kukagua utekelezaji wa majukumu mbalimbali ya NCAA ambapo ametumia fursa hiyo kutembelea kreta ya Ngorongoro iliyokuwa na changamoto ya...

 

9 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu Tamisemi akagua miundombinu ya mfumo wa Mabasi yaendayo haraka

 Katibu Mkuu Ofisini ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Bw. Jumanne Sagini (kushoto) akimweleza jambo Mwenyekiti wa Kampuni ya UDA-RT, Bw. Robert Kisena wakati alipofanya ziara kwenye miundombinu ya mfumo wa Mabasi yaendayo haraka kabla kipindi cha mpito hakijaanza mwezi ujao mwisho mwa wiki. UDA-RT ndiyo kampuni itayotoa huduma ya usafiri katika kipindi hicho na tayari imeshanunua mabasi 140.Katibu Mkuu Ofisini ya Waziri Mkuu anayeshughulikia...

 

10 years ago

Michuzi

Tanzania kuboresha Miundombinu yake ili kuongeza kasi ya Uwekezaji

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) Mhe. Mhandisi Christopher Chiza, akitoa hotuba yake baada ya ufunguzi wa kongamano la Biashara na Uwekezaji kati ya nchi ya Comoro na Tanzania kwa wadau na wafanyabiashara kutoka Tanzania (hawapo pichani). Kongamano hilo limeanza tarehe 23 Aprili, 2015 likiwa na lengo la kufungua fursa mpya za biashara na uwekezaji nchini Tanzania na Comoro. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) Mhe. Mhandisi ...

 

11 years ago

Habarileo

Wawekezaji wa mradi wa mabasi ya kasi kukutana

RAIS Jakaya Kikwete, anatarajiwa kuongoza mkutano wa mashauriano ya uwekezaji wa awamu ya kwanza ya Mradi wa Mabasi ya Haraka (DART), utakaowakutanisha wawekezaji mbalimbali wa ndani na nje kwenye kituo cha mikutano Mlimani City jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mabasi ya kasi yawatisha wenye daladala

WAMILIKI wa daladala Mkoa wa Dar es Salaam (Darcoboa), wamesema mradi wa mabasi yaendayo kasi (DART), unalenga kuwaondoa katika biashara ya usafirishaji abiria. Kauli hiyo imetolewa jana jijini Dar es...

 

9 years ago

Mwananchi

Mabasi ya kasi yaanza safari za majaribio

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia amezindua rasmi mafunzo maalumu ya madereva wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), mradi unaotekelezwa jijini hapa.

 

10 years ago

Habarileo

Mkataba wasainiwa mabasi ya kasi kuanza

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Hawa GhasiaMIEZI imeanza kuhesabika kabla ya huduma ya usafiri kupitia mradi wa mabasi yaendayo haraka jijini Dar es Salaam kuanza, baada ya mkataba kusainiwa kati ya serikali na wamiliki wa daladala kwa ajili ya kuendesha katika kipindi cha mpito.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani