Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mabasi ya haraka kuwa barabarani Oktoba 2

HATIMAYE mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (BRT) katika jiji la Dar es Salaam unatarajiwa kuanza Oktoba 2 mwaka huu kwa njia moja.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MHANDISI RONALD LWAKATARE ATEULIWA KUWA KAIMU MTENDAJI MKUU WA WAKALA WA MABASI YAENDAYO HARAKA DAR ES SALAAM (DART).

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAOFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA - TAMISEMITAARIFA KWA UMMAWaziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. George Boniface Simbachawene (Mb) kwa Mamlaka aliyopewa chini ya Kifungu cha 2(2) cha Amri ya kuanzisha Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), (The Executive Agencies) (The Dar Rapid Transit Agency) (Establishment) Order ) Tangazo la Serikali namba 120 la 2007, amemteua Mhandisi Ronald Lwakatare kuwa...

 

10 years ago

Michuzi

Mabasi 138 ya Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) yawasili bandarini Dar es salaam

TATIZO la usafiri katika jiji la Dar es Salaam linatarajia kupungua kufuatia kuanza kupindi cha mpito cha mabasi Yaendayo Haraka (BRT) mwezi ujao kufuatia kuwasili kwa mabasi 138 katika Bandari ya Dar es Salaam kutoa China tayari kwa huduma ya usafiri.  Mkuu wa Mkowa Dar es Salaam, Bw. Saidi Meck Sadiki aliwaambia waandishi wa habari jana wakati alipofanya ziara katika Bandari ya Dar es Salaam kujionea kuwasili kwa mabasi hayo, kuwa wakazi wa Dar es Salaama kwa sasa wataanza kutumia...

 

11 years ago

Michuzi

wazee wa bodaboda na haraka zao barabarani

Huu utaratibu wa hawa waendesha pikipiki kutofuata taratibu katika mataa ya kuongozea magari na vyombo hivyo,umekuwa ukishika kasi siku hadi siku.hapa huyu mwendesha pikipiki akiwa na abiria wake wakijaribu kuikwepa basi iliyokuwa ikipita kwa kwenye mataa hayo baada kuruhusiwa,hali hii imekuwa ni kero kubwa hapa jijini Dar.hii imetokea mchana huu kwenye Mataa ya Buguruni Sheli.Huyu nae bila kujali kuwa amewapakia abiria zaidi ya wawili nae kaingia barabarani kwa haraka zake na kuendelea na...

 

10 years ago

Mwananchi

Mabasi 138 yaendayo haraka yatua Dar

Mwezi mmoja baada ya kuanza kutolewa kwa mafunzo kwa madereva maalumu, awamu ya kwanza ya mabasi 138 ya Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart) imewasili nchini kutoka China.

 

11 years ago

Michuzi

Serikali yalidhishwa na maendelea ya mradi wa mabasi yaendayo haraka

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Bi. Hawa Ghasia ameridhishwa na tathimini ya mkutano wa mashauriaono wa awamu ya kwanza wa Mradi wa Mabasi yaendeyo Haraka (DART) uliofanyika hivi karibuni na wa kampuni ya Simon Group inayomiliki mabasi ya UDA na wamiliki wa usafirishaji jijini Dar es Salaa( Daladala) kuungana kwani italeta maendeleo katika sekta ya usafiri jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam hivi...

 

10 years ago

Habarileo

Uzinduzi mabasi yaendayo haraka pigo kwa wapinzani

UZINDUZI wa mabasi yaendayo haraka katika Jiji la Dar es Salaam, umetibua mpango wa vyama vya upinzani kumchafua mgombea wa ubunge katika Jimbo la Ubungo kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Didas Masaburi na chama hicho, imefahamika.

 

9 years ago

Mwananchi

Siku nane pasua kichwa za mabasi yaendayo haraka

Agizo la Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa la kuwataka watendaji wa mradi wa mabasi yaendayo haraka (Dart) kuhakikisha unaanza kazi ifikapo Januari 10 (siku nane zijazo), linaonekana kuwanyima usingizi baadhi ya wahusika wakiwamo mawaziri wa Ofisi ya Rais, Utumishi, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi).

 

10 years ago

GPL

MABASI YA MWENDO WA HARAKA JIJINI DAR YAZINDULIWA RASMI

...Akikata utepe kama ishara ya uzinduzi huo.  ...Akiwa tayari amepanda gari la mwendo wa haraka baada ya uzinduzi. Mgeni rasmi, Hawa Ghasia, akizungumza jambo.…

 

10 years ago

Michuzi

DART YARIDHISHWA MAENDELEO YA MRADI WA MABASI YAENDAYO HARAKA

Mkuu wa kitengo cha Ufundi, Strabag International, Bw. Peter Simoneit (kulia) akielezea jambo kwa ujumbe wa maafisa waliotembelea kituo kilichokamilika cha Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka eneo la Kimara Resort jana jijini Dar es Salaam. Wanaomsikiliza ni Mkurugenzi wa Uendeshaji na Usimamizi wa Miundombinu wa Wakala wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), Mhandisi John Shauri (wa pili kulia), Meneja Usimamizi na Uendeshaji Barabara, DART, Mhandisi Mohamed Kuganda na Mhandisi wa Mradi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani