WAALIMU WAMCHAMBUA MKE WA MAGUFULI
Waandishi wetu KUMEKUCHA! Siku chache baada ya Waziri wa Ujenzi, Dk. John Pombe Magufuli kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa mgombea urais kupitia chama hicho, mkewe, Janeth Pombe amechambuliwa vilivyo na walimu wenzake, Amani lina kila kitu. ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1CFj11i
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania20 Nov
Wabunge, wasomi wamchambua Majaliwa
VERONICA ROMWALD NA ADAM MKWEPU, DAR ES SALAAM
SAA chache baada ya kuteuliwa kwa Waziri Mkuu mteule, Kassim Majaliwa, baadhi ya wabunge, wasomi na wananchi wa kawaida wamemchambua kiongozi huyo.
Wamesema upya wake katika nafasi hiyo nyeti ya juu utasaidia kuleta mabadiliko ya kweli serikalini.
Mbunge wa Isimani, Wiliam Lukuvi (CCM), alisema Majaliwa amekuwa mtendaji mzuri na asiyechoka tangu alipokuwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI) anayeshughulikia elimu.
Alisema Rais Dk....
10 years ago
Mwananchi19 Jul
Mke wa Magufuli awaliza walimu, wanafunzi Mbuyuni
9 years ago
BBCSwahili10 Sep
Mgomo wa waalimu Kenya waendelea
9 years ago
MillardAyo31 Dec
Shule za DC Makonda? Prof. Lipumba na Rais Magufuli? Padri kuzaa na mke wa mtu? Madini gerezani? #StoriKUBWA
Kwenye stori kubwa December 31 2015 ziko na hizi zilizoguswa na uchambuzi wa redioni kama ulipitwa. Mgonjwa aliyelipiwa gharama za matibabu na Rais Magufuli hospitali ya Muhimbili agoma kutoka baada ya kuruhusiwa, gereza la Songwe liko kwenye mchakato wa kuvunjwa baada ya kugundulika kuwepo madini chini yake. Mtu mmoja ajinyonga Kenya huku akiacha ujumbe kuwa […]
The post Shule za DC Makonda? Prof. Lipumba na Rais Magufuli? Padri kuzaa na mke wa mtu? Madini gerezani? #StoriKUBWA appeared...
9 years ago
BBCSwahili11 Sep
Waalimu wa madrasa wakuhumiwa jela Uingereza
10 years ago
BBCSwahili15 Apr
Waalimu Congo watishia kugoma endapo..!
10 years ago
BBCSwahili11 Jun
Waalimu 100 Kenya wasimamishwa kazi
11 years ago
MichuziMfuko wa LAPF, Wawapongeza Waalimu Wapya
Mfuko wa Pensheni wa LAPF, Umewapongeza walimu wote kwa kupata ajira huku ikiwakumbusha kuwa huu ndio mwanzo wa maisha yao ya ajira hivyo ni muhimu kujipanga vizuri kimaisha kwa kuchagua mfuko wa pensheni wenye maslahi bora!.
Hayo yameelezwa na Meneja wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, Kanda ya Dar es Salaam, Bi. Amina...
10 years ago
Dewji Blog08 Oct
Matokeo makubwa sasa ni kwa wanafunzi sio Waalimu
Na Mwandishi wetu
CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT) wilayani Njombe mkoani Njombe kimeitaka serikali kufanya tafiti za kutosha katika miradi yake ukiwemo wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), wakidai unawazidishia mzigo wa kuwajibika bila kuongezwa ujira.
Chama hicho pia kimeitaka Serikali kusitisha biashara holela ya vitabu vya kiada kutokana na kupingana kwa baadhi ya vipengele hivyo; kusababisha ugumu katika ufundishaji.
Katibu wa CWT wilaya ya Njombe, Salama Lupenza, aliyasema hayo mwishoni...