Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waalimu wa madrasa wakuhumiwa jela Uingereza

Waalimu 2 wa madrasa wahukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela baada ya kumpiga mtoto ambaye hakujua kusema maandiko ya Koran kikamilifu

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Mwalimu wa madrasa atupwa jela miaka 7

PinguMWALIMU wa Chuo cha Madrasa kilichopo Chake Chake, Pemba, Said Khamis Salum (31) ameanza kutumikia chuo cha mafunzo jela miaka 7 baada ya kutiwa hatiani kwa kumpa ujauzito mwanafunzi wake mwenye umri wa miaka 15 jina (linahifadhiwa).

 

11 years ago

BBCSwahili

Taylor hataki kufungwa jela Uingereza

Rais wa zamani wa Liberia, Charles Taylor ameanzisha harakati za kisheria kupinga amri ya kutumikia kifungo chake cha jela nchini Uingereza.

 

11 years ago

GPL

WAISLAM WENYE ITIKADI KALI UINGEREZA WAHUKUMIWA JELA MAISHA KWA KUUA

Gemini Donnelly-Martin, 20, na mama yake Amanda (kulia) wakiongea na Adebolajo wakati Ingrid Loyau-Kennett (kushoto) akiongea na Adebowale. Pembeni kushoto ni mwili wa Lee Rigby baada ya kuuawa. Lee Rigby enzi za uhai wake akiwa na mpenzi wake Aimee West.…

 

10 years ago

Habarileo

Mwalimu wa Madrasa anaswa

MWALIMU wa Madrasa, Alhaji Maulana Shiraz (71) wa Jumuiya za Wi’yatu LiQadria iliyoko kijiji cha Chikundi wilayani Masasi mkoa wa Mtwara, anashikiliwa na Jeshi la Polisi wilaya ya Masasi kwa tuhuma za kukutwa na watoto wadogo wapatao 11, wa kike na wa kiume, kinyume na taratibu na sheria za nchi.

 

10 years ago

Bongo Movies

Jokate Aangushiwa Dua na Watoto wa Madrasa!

Mwanamitindo, mtangazaji muimbaji na muigizaji wa filamu, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’, ametembelea kituo cha watoto yatima kilichopo maeneo ya Ubungo jijini Dar kisha kuangushiwa dua ya nguvu na watoto wa madrasa.

Wikiendi iliyopita Jokate alifika kituoni hapo kutoa misaada mbalimbali huku akiwa amejitanda kichwa chake ambapo alijumuika na watoto hao naye akakaa kwenye mkeka ndipo akazungukwa na watoto hao yatima kisha kuombewa dua ili abarikiwe na mambo yake yaende vizuri.

“Nilifurahi...

 

10 years ago

Vijimambo

MADRASA RAHMAN SEGEREA INAWAPA MKONO WA EID MUBARAK

Madrasa Rahaman na Nurysery School iliyopo Segerea mwisho jiji Dar-Es-Salaam,inawatakia waumini wote Eid Mubarak.Mnakaribishwa sana Madrasa Rahaman na Nurysery School kituo kinachotoa Elimu yenye maadili mema kwa watoto. Eid Mubarak.
usikose kujumuika
simu +255(0) 757 608303 au 0712840960

 

10 years ago

GPL

WAALIMU WAMCHAMBUA MKE WA MAGUFULI

Waandishi wetu KUMEKUCHA! Siku chache baada ya Waziri wa Ujenzi, Dk. John Pombe Magufuli kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa mgombea urais kupitia chama hicho, mkewe, Janeth Pombe amechambuliwa vilivyo na walimu wenzake, Amani lina kila kitu. ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1CFj11i

 

9 years ago

BBCSwahili

Mgomo wa waalimu Kenya waendelea

Muungano wa vyama vya wafanyakazi nchini Kenya kimetoa ilaani ya siku 7 kwa serikali kutekeleza agizo la nyongesa ya mishahara kwa waalimu

 

5 years ago

Michuzi

KATIBU WA MUFTI ZANZIBAR AIFUNGA MADRASA KWA KUKITHIRI VITENDO VICHAFU.

Na Issa Mzee –Maelezo.

Ofisi ya Mufti Zanzibar imeifungia Madrasati Ridhwa Madihi-Rassuli iliyopo maeneo ya uwanja wa timu ya Taifa ya Jang’ombe kutokana na kukithiri vitendo vya udhalilishaji.

Uamuzi huo umechukuliwa na Ofisi ya Mufti kufuatia malalamiko ya baadhi ya wazazi kuharibiwa watoto wao na walimu wa Madrasa hiyo na wanafunzi kwa wanafunzi wenyewe.

Akitoa uamuzi huo Katibu wa Mufti Zanzibar, Sheikh Khalid Ali Mfaume, alisema udhalilishaji huo unafanywa hata kinyume cha maumbile na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani