Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwalimu wa Madrasa anaswa

MWALIMU wa Madrasa, Alhaji Maulana Shiraz (71) wa Jumuiya za Wi’yatu LiQadria iliyoko kijiji cha Chikundi wilayani Masasi mkoa wa Mtwara, anashikiliwa na Jeshi la Polisi wilaya ya Masasi kwa tuhuma za kukutwa na watoto wadogo wapatao 11, wa kike na wa kiume, kinyume na taratibu na sheria za nchi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Mwalimu wa madrasa atupwa jela miaka 7

PinguMWALIMU wa Chuo cha Madrasa kilichopo Chake Chake, Pemba, Said Khamis Salum (31) ameanza kutumikia chuo cha mafunzo jela miaka 7 baada ya kutiwa hatiani kwa kumpa ujauzito mwanafunzi wake mwenye umri wa miaka 15 jina (linahifadhiwa).

 

10 years ago

Bongo Movies

Jokate Aangushiwa Dua na Watoto wa Madrasa!

Mwanamitindo, mtangazaji muimbaji na muigizaji wa filamu, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’, ametembelea kituo cha watoto yatima kilichopo maeneo ya Ubungo jijini Dar kisha kuangushiwa dua ya nguvu na watoto wa madrasa.

Wikiendi iliyopita Jokate alifika kituoni hapo kutoa misaada mbalimbali huku akiwa amejitanda kichwa chake ambapo alijumuika na watoto hao naye akakaa kwenye mkeka ndipo akazungukwa na watoto hao yatima kisha kuombewa dua ili abarikiwe na mambo yake yaende vizuri.

“Nilifurahi...

 

9 years ago

BBCSwahili

Waalimu wa madrasa wakuhumiwa jela Uingereza

Waalimu 2 wa madrasa wahukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela baada ya kumpiga mtoto ambaye hakujua kusema maandiko ya Koran kikamilifu

 

10 years ago

Vijimambo

MADRASA RAHMAN SEGEREA INAWAPA MKONO WA EID MUBARAK

Madrasa Rahaman na Nurysery School iliyopo Segerea mwisho jiji Dar-Es-Salaam,inawatakia waumini wote Eid Mubarak.Mnakaribishwa sana Madrasa Rahaman na Nurysery School kituo kinachotoa Elimu yenye maadili mema kwa watoto. Eid Mubarak.
usikose kujumuika
simu +255(0) 757 608303 au 0712840960

 

10 years ago

Michuzi

MADRASA RAHMAN YA SEGEREA JIJINI DAR INAWAPA MKONO WA EID MUBARAK

Madrasa Rahaman na Nurysery School iliyopo Segerea mwisho jiji Dar-Es-Salaam,inawatakia waumini wote Eid Mubarak.Mnakaribishwa sana Madrasa  Rahaman na Nurysery School kituo kinachotoa Elimu yenye maadili mema kwa watoto. Eid Mubarak. usikose kujumuika nasi kwa simu +255(0) 757 608303 au 0712840960

 

5 years ago

Michuzi

KATIBU WA MUFTI ZANZIBAR AIFUNGA MADRASA KWA KUKITHIRI VITENDO VICHAFU.

Na Issa Mzee –Maelezo.

Ofisi ya Mufti Zanzibar imeifungia Madrasati Ridhwa Madihi-Rassuli iliyopo maeneo ya uwanja wa timu ya Taifa ya Jang’ombe kutokana na kukithiri vitendo vya udhalilishaji.

Uamuzi huo umechukuliwa na Ofisi ya Mufti kufuatia malalamiko ya baadhi ya wazazi kuharibiwa watoto wao na walimu wa Madrasa hiyo na wanafunzi kwa wanafunzi wenyewe.

Akitoa uamuzi huo Katibu wa Mufti Zanzibar, Sheikh Khalid Ali Mfaume, alisema udhalilishaji huo unafanywa hata kinyume cha maumbile na...

 

11 years ago

Michuzi

Dkt. Shein afungua Madrasa Qamaria Matemwe,Mkoa wa Kaskazini Unguja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt .Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Sheikh Yakob Mfadhili wa Madrasa Qamaria wakati alipowasili katika Kijiji cha Kijini Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja leo kuifungua rasmin Madrasa hiyo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt .Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kuashiri ufunguzi wa Madrasa Qamaria katika kijiji cha Kijini Matemwe Kaskazini Unguja leo,madrasa hito iliyojengwa na Jumuiya ya ALFATAH...

 

10 years ago

Michuzi

msaada tutani: mwalimu wa kiswahili sweden anatafuta mwalimu mwenzie kubadilishana nondo

Mimi ni mwalimu wa Kiswahili Sweden natafuta mwalimu yoyote anayefundisha kiswahili hapa ili tuweze badilishana materials. Nashindwa kufundisha kwa ufasaha vile sijapata mwenzangu.Email yangu ni linda.johansson5@kungsbacka.se
Kwa mawasiliano nitumie email.

 

11 years ago

Michuzi

Mwalimu Dodoma matatani kwa tuhuma za kuua mwalimu mwenzake kisa deni la buku moja

JESHI la Polisi Mkoani Dodoma linamshikilia Mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Hombolo Justus Jackson (28) kwa tuhuma ya kumuua mwalimu mwenzie kwa kukataa kulipa sh. 1,000 ya bili ya umeme aliyotakiwa kuchangia marehemu.  Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma, David Missime amemtaja mwalimu aliyeuwawa kuwa ni Freddy Ndahani (29) mwalimu wa shule ya Hombolo.Kamanda  Misime amesema walimu hao wote wawili wanalikuwa wakiishi katika nyumba moja na walikuwa wakichangia bili ya umeme katika nyumba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani