Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wasomi watoa angalizo kwa wabunge

Wakati Bunge la Kumi na Moja likianza mkutano wake wa kwanza Dodoma kesho, wasomi na wachambuzi wa masuala ya siasa wametoa angalizo kwa wabunge wakisema wanatarajia kuona Bunge lililokomaa litakalokidhi matarajio ya Watanzania.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Nape abeza ushirikiano, wasomi watoa angalizo

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye amesema hatua ya viongozi wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kuingia katika makubaliano ya kushirikiana “ni kaburi la vyama hivyo.”

 

10 years ago

GPL

CHADEMA WATOA POLE KWA WABUNGE MWANAMRISHO ABAMA NA JOSHUA NASSARI

Viongozi wa Chadema wakiwa katika Kikao cha dharura cha Kamati Kuu. Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe ametuma salaamu za pole na kuwatakia uponaji wa haraka majeruhi wa ajali mbili zilizotokea maeneo tofauti leo, moja ikihusisha helkopta nyingine ikitokana na ajali ya basi. Chopa iliyokuwa imewabeba viongozi wa Chadema akiwemo Mbunge Nassari baada ya ajali. Katika salaamu hizo, Mwenyekiti Mbowe ametoa pole kwa Mbunge wa...

 

10 years ago

Habarileo

KUSAFISHWA MAWAZIRI : Wasomi watoa hoja nzito

Profesa Muhongo, amesafishwa na serikali ddhidi ya tuhuma zilizokuwa zikimkabili.WASOMI na wanasiasa wametoa hoja nzito na kupongeza uamuzi wa Tume ya Sekretarieti ya Maadili na Tume ya Uchunguzi ya Rais, kuwasafisha viongozi wakiwemo mawaziri.

 

9 years ago

Mwananchi

Wasomi watoa mitazamo tofauti uzinduzi wa kampeni za Ukawa

Wakati joto la uchaguzi mkuu likiendelea kupanda baada ya vyama vinavyounda ukawa kuzindua kampeni zake juzi, baadhi ya wasomi na wananchi wamekuwa na maoni tofauti.

 

9 years ago

Mtanzania

Wabunge, wasomi wamchambua Majaliwa

IMGS0934VERONICA ROMWALD NA ADAM MKWEPU, DAR ES SALAAM

SAA chache baada ya kuteuliwa kwa Waziri Mkuu mteule, Kassim Majaliwa, baadhi ya wabunge, wasomi na wananchi wa kawaida wamemchambua kiongozi huyo.

Wamesema  upya wake katika nafasi hiyo nyeti ya juu utasaidia kuleta mabadiliko ya kweli serikalini.

Mbunge wa Isimani, Wiliam Lukuvi (CCM),  alisema  Majaliwa amekuwa mtendaji mzuri na asiyechoka tangu alipokuwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI) anayeshughulikia elimu.

Alisema Rais Dk....

 

11 years ago

Michuzi

TAMWA WATOA ELIMU KWA WABUNGE WANAWAKE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA KUZINGATIA MASUALA YA USAWA WA KIJINSIA WAKATI WA UTUNZI WA KATIBA MPYA.

Na Tiganya Vincent-Dodoma   Mwenyekiti wa Wabunge Wanawake wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anna Abdallah ametoa wito kwa wajumbe wanawake wa Bunge Maalum la Katiba kufanya kazi kwa ushirikiano katika kuhakikisha kuwa wanaweka maslahi ya mwanamke mbele katika uandishi wa Katiba mpya na sio vinginevyo.   Mwenyekiti huyo ametoa kauli hiyo leo mjini Dodoma wakati anafungua semina ya siku moja ya wajumbe wanawake wa Bunge Maalum la Katiba iliyoandaliwa na Chama cha Waandishi wa...

 

9 years ago

Vijimambo

MALINZI AFUNGA KOZI YA MAKOCHA LESENI C’ATOA ANGALIZO KWA WAHITIMU KUYATUMIA MAFUNZO KWA VITENDO


RAIS wa Shirikisho la soka nchini (TFF), Jamal Malinzi, amefunga kozi ya wiki mbili ya makocha lesseni C inayotambuliwa na Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) na kuwataka wahitimu hao kufanyia kazi mafunzo waliyoyapata.  

 Akizungumza kwenye hafla fupi ya kufunga mafunzo hayo, Malinzi amesema kuwa anasikitika kuona makocha wanapata mafunzo kama hayo lakini wanaenda kuweka vyeti vyao ‘makabatini’ na kuacha kufanyia kazi walichojifunza.  

“Hiki mlichokipata kwenye mafunzo haya mnatakiwa...

 

9 years ago

Mtanzania

Pluijm atoa angalizo kwa wachezaji

pluijmNA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM

KOCHA Mkuu wa timu ya Yanga, Hans Van der Pluijm, amesema kuwa hafikirii kama kikosi chake kitatoka kwenye nafasi tatu za juu katika msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, hivyo ametoa angalizo kwa kila mchezaji kuhakikisha anaendana na kasi yake.

Timu hiyo juzi ilifanikiwa kuongoza ligi, baada ya kushinda mabao 4-0 dhidi ya Stand United na kufanikiwa kufikisha jumla ya pointi 30.

Akizungumza na MTANZANIA jana, Pluijm alisema tayari ameshapiga hesabu za mbali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani