Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wasomi, wananchi waukosoa

Baadhi ya wasomi nchini, wameukosoa utafiti uliofanywa na Taasisi ya Twaweza kwamba hakuakisi uhalisia, huku wengine wakihoji mfumo wa utafiti wakisema hauwezi kuleta majawabu yanayoakisi hali halisi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Wasomi, wananchi wamshukia Kinana

Kauli ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kuwa wabunge wa chama hicho wanaunga mkono kila hoja inayowasilishwa na Serikali bila kutathmini matokeo yake, imekosolewa na wasomi na wananchi waliosema amechelewa, huku wabunge wake wakikiri udhaifu.

 

10 years ago

Mwananchi

Wasomi, wananchi walipongeza Bunge

Wasomi, wanasiasa na wananchi wamepongeza mapendekezo mapya ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) yanayoazimia kuwawajibisha wale wote waliohusika na kuchotwa kwa fedha kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow.

 

9 years ago

Habarileo

Wananchi, wasomi wasifu uteuzi wa Majaliwa

KUTOKANA na uteuzi wa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, watu kutoka kada tofauti katika jamii wameupongeza uteuzi huo. Jana, Rais John Magufuli kupitia Bunge, alitangaza uteuzi wa Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa 11 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Bunge lilithibitisha uteuzi wake kwa kura nyingi.

 

11 years ago

Mwananchi

Wasomi wampinga JK

Wasomi na wachambuzi wa masuala ya kisiasa wameikosoa hotuba ya Rais Jakaya Kikwete aliyoitoa bungeni juzi, huku wengine wakisema inaweza kulivunja Bunge Maalumu la Mabadiliko ya Katiba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani