Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanaharakati, wasomi wamshukia Magufuli kuhusu mabadiliko

Baadhi ya wasomi na wanaharakati wamekemea kauli ya mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli ambaye amekuwa akiwaonya wanaotaka mabadiliko ya haraka nchini akiwakumbusha yaliyojitokeza nchini Libya.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Wasomi, wanaharakati wamshukia Gwajima

Baada ya Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima kuibua mambo mazito ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa juzi, wanaharakati na wasomi wametoa maoni yao na kueleza kusikitishwa na hatua za kiongozi huyo wa dini kutoa siri za waumini wake.

 

10 years ago

Mwananchi

Wasomi, wananchi wamshukia Kinana

Kauli ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kuwa wabunge wa chama hicho wanaunga mkono kila hoja inayowasilishwa na Serikali bila kutathmini matokeo yake, imekosolewa na wasomi na wananchi waliosema amechelewa, huku wabunge wake wakikiri udhaifu.

 

9 years ago

Mwananchi

Wasomi wamshukia Mkapa kwa kauli za kuudhi

Siku moja baada ya ufunguzi wa kampeni za CCM, wasomi na wananchi wamesema kauli ya Rais mstaafu, Benjamin Mkapa kuwa wanaosema wanataka kuikomboa Tanzania ni “wapumbavu na malofa” haikustahili kutolewa na kiongozi huyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Wasomi, wanaharakati waeleza dosari zilivyoathiri uchaguzi

Baadhi ya wasomi na wanaharakati wamesikitishwa na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulivyokuwa na dosari zinazofanana katika maeneo mengi ya nchi na kueleza wasiwasi wao kuwa huenda kulikuwa na njama za kuvuruga uchaguzi huo.

 

10 years ago

Mwananchi

Wasomi, wanaharakati walipongeza Bunge, wataka hatua zaidi kisheria

Wasomi mbalimbali nchini wamelipongeza Bunge kwa kufanya uamuzi kwa maridhiano na kutoa mapendekezo manane kwa Serikali ili ichukue hatua dhidi ya wote waliohusika katika wizi wa fedha kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ni wakati wa wasomi kushiriki mabadiliko chanya

KIONAMBALI alikuwa akisoma kitu kwenye mtandao. Mwandishi wa kitu kile alikuwa anasema kwamba wanafunzi wenye akili nyingi husoma na kuwa wahandisi. Wenye akili za wastani husoma na kuwa wahasibu na...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mabadiliko boraa ndiyo wanainchi wanayohitaji na sio bora mabadiliko-Dkt Magufuli

 Baadhi ya Wakazi wa mji wa Musoma waliojitokeza kwa wingi wakimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa  akiwahutubia jioni ya leo kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye uwanja wa Mkendo,Dkt Magufuli aliwaambia wananchi hao ifikapo oktoba 25 wajitokeze kwa wingi wakampigie kura kwani anataka kuwatumikia Watanzania kwa kuwaletea maendeleo.   Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Musoma mjini kwenye mkutano...

 

5 years ago

Michuzi

WANAHARAKATI WAZALENDO WATUMA UJUMBE KWA WAPINZANI KUHUSU BERNARD MEMBE

Na Ripota  Wetu, Michuzi Globu

MWENYEKITI wa Umoja wa Wanaharakati Wazalendo Siasa Tanzania(UWASAT) umevitaka vyama vya upinzani nchini kuwa makini na aliyekuwa kada wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Bernard Membe ambaye kwa sasa amefukuzwa kwenye Chama hicho.

Kwa mujibu wa UWASAT ni kwamba huenda Membe ameondolewa CCM kama mtego kwa wapinzani na hivyo iwapo wataamua kumchukua inaweza kusababisha upinzani nchini kumalizwa kwa urahsi zaidi.

Akizungumza leo jijini Dar es Salaam Mwenyekiti wa Umoja huo...

 

9 years ago

Michuzi

DKT MAGUFULI ALIVYOITEKA MUSOMA, ASEMA MABADILIKO BORA NDIYO WANAINCHI WANAYOHITAJI NA SIO BORA MABADILIKO

 Baadhi ya Wakazi wa mji wa Musoma waliojitokeza kwa wingi wakimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa  akiwahutubia jioni ya leo kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye uwanja wa Mkendo,Dkt Magufuli aliwaambia wananchi hao ifikapo oktoba 25 wajitokeze kwa wingi wakampigie kura kwani anataka kuwatumikia Watanzania kwa kuwaletea maendeleo.  Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Musoma mjini kwenye mkutano wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani