Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANAHARAKATI WAZALENDO WATUMA UJUMBE KWA WAPINZANI KUHUSU BERNARD MEMBE

Na Ripota  Wetu, Michuzi Globu

MWENYEKITI wa Umoja wa Wanaharakati Wazalendo Siasa Tanzania(UWASAT) umevitaka vyama vya upinzani nchini kuwa makini na aliyekuwa kada wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Bernard Membe ambaye kwa sasa amefukuzwa kwenye Chama hicho.

Kwa mujibu wa UWASAT ni kwamba huenda Membe ameondolewa CCM kama mtego kwa wapinzani na hivyo iwapo wataamua kumchukua inaweza kusababisha upinzani nchini kumalizwa kwa urahsi zaidi.

Akizungumza leo jijini Dar es Salaam Mwenyekiti wa Umoja huo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Balozi Mdogo Mhe. Omar Mjenga na Mama Mjenga wamwandalia futari Mhe. Bernard Membe na ujumbe wake Dubai

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard  Membe  akiwa na Balozi Mdogo wa Tanzania Dubai Mhe. Omar Mjenga wakisubiri muda wa  futari mjini Dubai leo. Mhe. Membe alikuea njiani  kuelekea Colombo, Sri Lanka kwenye mkutano wa Jumuiya ya Madola. Mheshimiwa Membe  akiwa na Mheshimiwa Balozi Mdogo Omar Mjenga kwenye futari.
 Mheshimiwa Membe  akiwa na Mheshimiwa Balozi Mdogo Omar Mjenga kwenye futari.Mheshimiwa Membe pamoja na Mhe. Mjenga, wakiwa katika mazungumzo kwenye...

 

10 years ago

Vijimambo

MWANZA WAJITOKEZA KWA WINGI KUMDHAMINI BERNARD MEMBE

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akizungumza na umati wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi waliofurika nje ya viwanja vya ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza Juni 21.2015, wakati akitafuta wadhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo wanaCCM zaidi ya 2,300 walimdhamini. Picha zote na John BadiWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge...

 

10 years ago

Vijimambo

MOROGORO WAJITOKEZA KWA WINGI KUMDHAMINI WAZIRI BERNARD MEMBE

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (mwenye miwani), akilakiwa na umati wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi waliofurika nje ya viwanja vya ofisi ya CCM ya Morogoro Mjini Juni 24.2015, wakati akitafuta wadhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo wanaCCM zaidi ya 950 walimdhamini. Picha zote na John BadiWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa...

 

10 years ago

Mtanzania

Watanzania waishio nje watuma ujumbe Bunge la Katiba

Samuel Sitta

Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta

Na Debora Sanja, Dodoma

WATANZANIA walioko nje ya nchi, wametuma waraka maalumu kwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba.

Katibu wa Bunge hilo, Yahya Khamis Hamad, alisema raia hao wameomba waraka huo ujadiliwe na wajumbe wakati huu ambapo mchakato wa kuandika Katiba unaendelea katika kamati.

“Raia walioko nje ya nchi, wametuma waraka maalumu ambao waliomba ujadiliwe ndani ya kamati kuhusiana na uraia...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI BERNARD MEMBE APOKELEWA KWA KISHINDO MBEYA NA KUPATA WADHAMINI


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akiwapungia mkono wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), na wananchi waliofika kumpokea nje ya Ofisi ya CCM Mkoa wa Mbeya leo June 10, 2015 baada ya kuwasili mkoani humo kwa ajili ya kutafuta wadhamini watakaotia saini fomu zake za kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho. Picha zote na John Badi.Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la...

 

10 years ago

Vijimambo

MKOA WA MARA WAJITOKEZA KWA WINGI KUMDHAMINI WAZIRI BERNARD MEMBE

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (mwenye miwani) akilakiwa na umati wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Mara, waliofika katika Ofisi ya CCM ya mkoa huo mjini Musoma Jana, kwa ajili ya kumdhamini iliaweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 1,800 mkoani humo. Picha zote na John BadiWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Bernard Membe: CCM yamfukuza mwanachama wake mwandamizi kwa 'makosa ya maadili'

Bernard Membe ni waziri wa zamani wa Mambo ya Nje nchini Tanzania.

 

11 years ago

Habarileo

Membe: Tuwe wazalendo kwa nchi

KITENDO cha Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni kutetea Rwanda, kimeelezwa kuwa ni kukosa uzalendo. Pia, kitendo hicho kimeonekana ni uchonganishi wa nchi hizo mbili na kinaweza nchi hizo kukosa maelewano. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe alisema hayo wakati akijibu hoja mbalimbali za wabunge, kuhusu bajeti ya wizara hiyo, bungeni mjini Dodoma jana.

 

10 years ago

Vijimambo

MHE. BERNARD MEMBE AKABIDHI HUNDI YA $ 100,000 KWA MTOTO WA BRIGEDIA JEN. MSTAAFU HASHIM MBITA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe Bernard K. Membe (Mb) (katikati) akikabidhi hundi yenye thamani ya Dola za Marekani laki moja kwa mtoto wa Brigedia Jen. Mstaafu Hashim Mbita, Bibi Shella Mbita. Bibi Mbita alipokea zawadi hiyo kwa niaba ya Baba yake ambayo imetolewa na Rais wa Zimbabwe, Mhe. Robert Mugabe kutokana mchango mkubwa alioutoa Brig. Jen. Mbita katika harakati za ukombozi Kuisini mwa Afrika. Mwingine katika picha ni Balozi wa Zimbabwe nchini Tanzania, Mhe....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani