Sita mahakamani kwa tuhuma za ugaidi
WATU sita waliokamatwa na polisi juzi, wakituhumiwa kuhusika na ulipuaji wa mabomu katika sehemu mbalimbali jijini Arusha, wamefikishwa mahakamani na kusomewa mashitaka ya ugaidi na kufadhili ulipuaji mabomu.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo24 Jul
Sita mahakamani kwa ugaidi
WATU sita waliokamatwa na polisi juzi, wakituhumiwa kuhusika na ulipuaji wa mabomu katika sehemu mbalimbali jijini Arusha, wamefikishwa mahakamani na kusomewa mashitaka ya ugaidi na kufadhili ulipuaji mabomu.
11 years ago
Uhuru Newspaper23 Jul
Sita mahakamani kwa matukio ya ugaidi
Ulinzi waimarishwa, wake wapigwa ‘stop’
NA SHAABAN MDOE, ARUSHA
ALIYEKUWA Imamu wa Msikiti wa Quba, Arusha, Jafari Lema na wenzake watano, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Arusha, wakikabiliwa na mashitaka manne ya ugaidi.
Katika mashitaka hayo, watuhumiwa wanadaiwa kuhusika na tukio la kulipua bomu katika mgahawa wa Vama na kuwajeruhi watu saba.
Mbali na Lema, washitakiwa wengine ni Shaaban Mmasa, Athumani Mmasa, Mohamed Nuru, Abdul Mohamed na Said Temba.
Wakili...
11 years ago
Tanzania Daima24 Jul
Sita washtakiwa kwa ugaidi Arusha
WATUHUMIWA sita wanaodaiwa kurusha bomu katika mgahawa wa Vama Tradition jijini Arusha, Julai 7, mwaka huu, na kusababisha watu wanane kujeruhiwa huku mmoja wao akikatwa mguu, wamepandishwa kizimbani na kusomewa...
11 years ago
Michuzi
watuhumiwa 25 wakamatwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za ugaidi nchini

Jinai nchini, (DCI) Kamishna Isaya Mngulu.Kufuatia tukio la mlipuko wa bomu siku ya tarehe 7/7/2014 majira ya saa 22.15 usiku katika mgahawa wa VAMA, eneo la Uzunguni Jijini Arusha, ambapo watu wanane walijeruhiwa, Jeshi la Polisi limewakamata watuhumiwa 25 kwa uchunguzi.Kufuatia uchunguzi huo kati yao watu sita watafikishwa mahakamani mapema iwezakanavyo. Watuhumiwa watakaofikishwa Mahakamani kwa tukio hilo ni: SHAABAN MUSSA MMASA @ JAMAL, Umri miaka 26...
11 years ago
Michuzi17 Jul
watu 16 wafikishwa mahakama ya kisutu kwa tuhuma za ugaidi leo
10 years ago
Habarileo06 Oct
Sita wa familia moja mbaroni kwa ugaidi
POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam inawashikilia watu saba, wakiwemo sita wa familia moja kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya ugaidi. Kukamatwa kwa watuhumiwa hao ni muendelezo wa operesheni inayoendeshwa na Polisi Kanda hiyo pamoja na mikoa jirani ya kuwatafuta watuhumiwa wote waliojihusisha na matukio ya kupanga kuvamia vituo vya polisi, kuua askari na raia na kupora silaha.
11 years ago
Mwananchi24 Jul
SHERIA: Watu sita wapandishwa kizimbani kwa ugaidi
10 years ago
CloudsFM16 Jan
MBUNGE MACHEMLI AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA KUTOMLIPA MSHAHARA MFANYAKAZI WAKE KWA MIAKA MITATU.
Machemuli amefunguliwa shauri la madai katika mahakama hiyo na kupewa nakala ya kuitwa yenye Na MCA/MZ/UK/524/2014 katika mahakama hiyo baada ya kufunguliwa kesi na Rehema Hamis (Mhudumu) kwa madai ya kutomlipa mshahara wake kwa miezi 35 ikiwa ni kiasi cha Sh milioni 3,680,000 alizotakiwa...
5 years ago
Michuzi
Maafisa watendaji 7 wafikishwa mahakamani kwa tuhuma ya wizi wa kutumia mashine za POS
Takukuru mkoa wa Njombe imewafikisha mahakamani wilaya ya Makete maafisa 7 watendaji wa vijiji kwa tuhuma ya wizi wa fedha Tshs.99,321,466/- za halmashauri ya wilaya ya Makete,ambazo zilikuwa ni makusanyo ya mapato ya halmashauri kwa kutumia mashine za POS (Point of Sale electronic Machine)
Mkuu wa Takukuru mkoa wa Njombe Bi.Domina Mukama, amesema kesi zilizofunguliwa mahakamani za maafisa watendaji hao wa vijiji ni.
1.CC.12/2020 Jamhuri dhidi ya Chrispin...